wake zetu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Equation x

    JamiiForums Tanzania Wanaume tupambane kwa nguvu zote tuwafungulie wake zetu biashara wajiajiri

    Wanaume tupambane kwa nguvu zote tufungue biashara ili wake zetu waweze kuzisimamia. Hii hali ya kuoa mwanamke aliye ajiriwa kuna changamoto zake kama ifuatavyo:- Kazi ndio mme wake Mumewe ni chaguo la pili baada ya kazi Anaiheshimu ile kazi na anaitii kuliko anavyomtii mme wake Kazi inamfanya...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Tulioacha wake zetu kwa sababu ya usaliti waliotufanyia tukutane hapa

    Habari wana JF. Leo na leta kisa changu hiki kilichonitokea, nina miaka 38 sasa. Ni Baba wa watoto 2 nilizaa na wanawake wawili. Wa kwanza mke wangu wa pili niseme kama mchumba tuu. Miaka kama 12 hivi iliyopita nilikutana na mdada mmoja kanisani, nilimpenda kwa muonekano wake hasa mavazi yake...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Watibeli Hatupigagi Wake Zetu, na Binti zetu hawapigwi

    WATIBELI HATUPIGI WAKE ZETU, na BINTI ZETU HAWAPIGWAJI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Sisi Watibeli bhana ukiishi na Sisi unaweza fikiri hatuna hasira. Yaani mambo yetu tunayasuluhisha simple simple tuu. Yaani mpaka ugombane na Taikon basi ujue umemchokoa Sana, tena Sana. Hii ni Kwa sababu...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hizi Taarifa za Makahaba wengi Dar zinatuchosha mnataka Waondolewe hivi kwa Kero za Wake zetu tutakuwa tunajipoza wapi?

    Kama mna Agenda yenu ya kutaka Kukiimarisha Chama Cha Wapiga Punyeto Tanzania na kiwe na Wanachama wengi zaidi semeni tu tujue moja sawa? Makahaba wengi walioko Mkoani Dar es Salaam (tena GENTAMYCINE naona hawatoshi) kiukweli wanasaidia mno Kutuondolea Wanaume wengi Stress ambazo Kutwa tunapata...
  5. Desierto

    JamiiForums Tanzania Wale ambao wake zetu bila kuwaomba mzigo hatupewi tukutane hapa

    Yaani hata ukikaa wiki bila kushiriki mechi hauulizwi chochote wala haukumbushwi
  6. Stroke

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini nyie wake zetu hamsemi Asante

    Daah. Yaani hata ufanye nini huwa wanakuwa kama ni haki yao vile. Sura kaavu.
  7. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Kwa wale tuliyowaacha wake zetu bila kuwapa talaka au kuvunja ndoa tujadili maendeleo yetu tafadhari

    Heheee hii Dunia ni raha sana, nilipata bahati ya kuoa mwanamke kimasihara tu mwaka 2019 nikiwa hapa Dodoma niliishi nae maeneo ya mjimpya,. Basi bwana nikawa na route nyingi za kwenda Kilosa, na Turiani huko kwenye kilimo Cha mpunga. Home naacha mazaga zaga yote gunia la mpunga safeti la...
  8. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Tujuane tuliochapiwa Wake zetu, wachumba, wapenzi wetu baada ya Kuyumba Kiuchumi

    Hii Dunia acha iitwe Dunia pamoja na usiku na mchana ila kuna rangi nyingi sana hapa duniani, mwaka 2020 nilipigwa matukio ya hatari sana, Gari ikabondwa na ajali, Pesa nikayumba kibiashara, demu nikachapiwa mbaya sana, madharau kama yote, upepo wa pesa ulipotea, viazi hola, mpunga hola...
  9. NetMaster

    JamiiForums Tanzania TUMECHOKA: Sheria mpya zitungwe kuwabana Lecturers vyuoni wanaowalaghai kingono watoto wetu wa kike, mama zetu, wake zetu na wachumba wetu

    Kwenye hili tusiangalie tu malecturer kutumia vitisho kulazimisha kichanuliwa mapaja ya mabinti zetu, wake zetu, mama zetu, dada zetu, n.k. bali tulaumu pia nguvu aliyo nayo lecturer inayofanya mabinti kuingia tamaa ya kujitupa wenyewe kwa ma lecturer ili wapewe majibu ya mitihani, kuongezewa...
  10. mangosongoo

    JamiiForums Tanzania Kwa hii mibinuko wake zetu watapona kweli kwenye hizo gym?

    Kwa namna hii wake zetu watakuwa wanaliwa sana. Nini kifanyike, maana imeshakuwa ni tatizo kubwa mno, mwanaume unamruhusuje mke wako akabinuke hivyo, eti mazoezi?
  11. Ulongupanjala

    JamiiForums Tanzania Vicoba vitamaliza wake zetu

    Habari za Jumapili, Vikoba vimekuwa ni chanzo cha ugomvi katika familia nyingi. Imefikia wanawake kuliwa na bodaboda nk. kwa lengo la kupata pesa kwa ajili ya kulipa marejesho, wengine kutokuwa na hamu ya mapenzi kwa kuwa na stress za kutosha kutokana na madeni ya vikoba, wengine hunyang'anywa...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu sana kuishi na Binti asiye ndugu yako wa damu pamoja. Hivi wake zetu mnalitambua hili?

    Habari wana JF, Waanaume tumeumbwa na macho ya matamanio na ndio mara nyingi hutupelekea kufanya maamuzi mengi ambayo yanakuwa sio sahihi. Hivi mwanaume rijali anawezaje kaa na binti wa kazi ambaye amekomaa na kakamilika vizuri? Kihalisia ni ngumu sana na wengi huishia kuwafanya wake wenza, je...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wazazi acheni kulaumu wake zetu, Sisi hatuna Pesa za kuwapa wala hatujalogwa

    Assalamu alyekum! Sina maneno mengi leo si mnajua ni weekend. Nijikite kwenye mada. Wazazi nataka kuwaambia kuwa mnawaonea wake zetu(ambao mi wakamwana wenu) Kwa kuwatuhumu wametuloga, wametufumbata, wametuweka kiganjani Kama online business kisa tunashindwa kuwahudumia na kuwatumia pesa huko...
  14. Billie

    JamiiForums Tanzania Hizi tabia za wake zetu wakiwa wajawazito ni tabia zao, maigizo, visasi ama malipizi?

    Poleni na majukumu na COVID 19 ambayo sisi kama taifa ya JMT tumeamua kukana kuwa kinachotusumbua sio COVID bali na tatizo la upumuaji almaarufu kizungu kama pneumonia.Anyway tuachane na hilo twende kwenye mada. MADA: Wifi yenu ni mjamzito wa miezi 6 ila cha kushangaza amekuwa na matabia ya...
  15. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Wachungaji na walokole, tunagongewa sana wake zetu

    Shalom walokole wenzangu na wana JamiiForums wote kwa ujumla. Sisi walokole wengi tumekuwa kama manyumbu, Nadhani wengi mliona ile video iliyo leak ya baba askofu, ambayo baadae kitengo cha Forensic cha Polisi na UDOM vikatutonya kuwa eti sio video halisi ila fabricated. Askofu alipiga show...
Back
Top Bottom