wake zenu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sifi Leo

    Mahakamani kuu itisheni kesi ya Lissu,LASIVYO nanyi usiku huu wa saa KUMI waachemi wake zenu mkalale na walioukumiwa kunyongwa walau kwa lisaa limoja.

    Mahakama kuu itisheni kesi ya Lissu la sivyo nanyi waacheni wake zenu mkalale na walioukumiwa kunyongwa ya walau kwa lisaa limoja Ili. Mwone uchungu
  2. D

    Chungeni wake zenu au mademu zenu. Leo wanajeshi na walimu wamepata midhahara yao.

    Nawasihi sana mke au demu wako akikuaga anaenda sokoni usikubali. Hiyo ni appointment anaenda kupata ukimwi huko
  3. mbasa ya konge

    Kero: Muwe mnawanyoa wake zenu wakikaribia kujifungua

    Sisi madakitari na manesi mnatupa changamoto sana pale mnapowaleta wake zenu kujifungua. Mara nyingi wajawazito wengi wanakuja na mavuzi mengi sehemu zao za Siri. Unakuta wengine amenyoa lakin ameacha acha mavuzi yaani kakondo ya papuchi.sehemu nyingine kipara na sehemu nyingine inakuwa na...
  4. Pdidy

    Wanaume ishini na wake zenu kwa akili hawajawahi kuishi kirohoo. Jipe moyo

    1petr 2.3 Wanaume muishi na wake zenu kwa akili na muwapeeee heshima Ukisoma utaonaa kinachowapa heshima wanawake n akiliiii kama utapata mwanamke asie na akili ndugu umeumiaaa jamboo muhimu unapoelekea kwenye ndoawambiee MUNGU AKUPE Mwsnamke MWENYE AKILI WANAUME MWANAMKE AJAWAHI KUISHI...
  5. Liverpool VPN

    Mabraza Mlioa Njoo NIWASANUE:- Hivi ndivyo mabraza wenzenu wavyowafanyia wake zenu huko Marathon..!!!

    INTRODUCTION. Haloo mpoooo .... Wotee tusemee watumishi wa umma msiwe mabwege wa kudanganywa na increament za 50k, MAMA HAFAI na HAFAI KABISAA. Vingapi ni haki zenu tena zipo kisheria na HAWAJATEKELEZA?? Kwanini watudanganye na kipande cha mti walichotupa wakati haki yetu ni saizi ya...
  6. Komeo Lachuma

    Allah alitoa kibali cha kufaidi wake zenu vyovyote tutakavyo. Tusipangiane matumizi ya mashamba yetu

    ALLAH AMEWARUHUSU WAISLAM KUNYONYA MATITI YA WAKE ZAO NA KUNYWA MAZIWA YAO NA KUWAINGILIA KATIKA TUPU ZAO WATAKAVYO. Allaah Kamhalalishia mume kufurahi kwa mkewe atakavyo. Anaweza hata kufanya naye mapenzi kwa njia mbalimbali. Allaah (Ta´ala) Kasema: نسآؤكم حرث لكم فأتوا حرثكم أنى شئتم "Wake...
  7. Kigilagilagatirumo

    Kuna design wife kama anafanya mambo ya hovyo hivi au na wake zenu pia wapo hivo

    .
  8. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Wanaume wenzetu Msiwape uhuru usio na mipaka wake zenu. Majuto ni mjukuu

    Sikumbuki kama niliwahi leta Uzi humu unao muhusu bro mmoja Hivi ni mtoto wa baba mdogo kiukoo ila ki umri ana nizidi kama miaka 9 Hivi. Huyu bro mke wake (shemeji) amempa uhuru sana.Iwe kwenye nguo, kuzurula nk. Yaani mwanamke ukikutana nae kitaa huwezi amini ni mke wa mtu. Mavazi anayo vaa...
  9. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Wanaume wenzetu ninyi mnaweza vipi kushona sare za vitenge na wake zenu? Ni nini siri ya hili?

    Huenda ni malezi niliyokulia maana sikuwahi kabisa kumuona mzee wangu akivaa sare na mama yangu. Ziwe sare za kanisani ama popote pale kwakweli sijawahi Ona hadi sasa wana zaidi ya miaka80! Ninyi wanaume wenzetu ni Mahaba/upendo sana kwa wake zenu au ni limbwata pamoja na kupandwa kichwani na...
  10. Genius Man

    Imeandikwa waume wapendeni wake zenu kama nafsi zenu wenyewe kwa maana sasa mmekuwa mwili mmoja

    Waefeso 5:28-33 28 Vivyo hivyo imewapasa waume nao kuwapenda wake zao kama miili yao wenyewe. Ampendaye mkewe hujipenda mwenyewe. 29 Maana hakuna mtu anayeuchukia mwili wake po pote; bali huulisha na kuutunza, kama Kristo naye anavyolitendea Kanisa. 30 Kwa kuwa tu viungo vya mwili wake. 31...
  11. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Kwenu wanaume ambao wake zenu wanafanya kazi. Kipi bora mke wako kulea watoto na kutunza familia ama kazi?

    Wakuu huu mwaka 2025 hakuna jiwe litabaki juu ya jiwe yote yatabomolewa na kugeuzwa kwa wakati wake. Leo mtuambie wanaume ambao wake zenu wanafanya kazi na majukumu yote ya nyumbani kuwaachiwa wadada wa kazi. JE NI KIPI BORA KATI YA KULEA FAMILIA NA KUFANYA KAZI?. Pengine sisi tulioa wamama...
  12. Mwachiluwi

    Lengo lenu nini mnao wakataz wake zenu kufanya kazi?

    Mnafact ipi inayo wafanya kuwazuia wake zenu kufanya kazi au kufanya biashara wengine mme waachisha wake zenu kazi mliwakuta wameajiriwa lakini baada ya kuwaoa mmewapiga pini wasijushugulishe na kazi. Mnaongeza idadi ya magoli kipa kuwa wengi mwisho wa siku mkija kufa mashemeji na mawifi ndio...
  13. Pdidy

    Muache kuitana wake zenu blood pressure hatakama n utani

    Pitapita hapa Nimekutana na jamaa zangu karume kijiwen Nafika naonaa wanaambiana hahaa wewee leoo umekuja blood pressure wakoo kakuruhusu leo MMmhnkawaza nani... Mwingine akajibu hahaa blood pressure wangu hana shida anatumia 3g yaan yeye urudi usirudi kabisa nyumban hata hasumbuki na wewe...
  14. Maleven

    Nyie wenzangu wake zenu wanaomba msamaha?

    Mi akijitahidi sana anasema "basi sawa yameisha" Au "tufanye yaishe" Na likiwa more obvious anajifanya kulia, lakini hawez sema " Nimekosa mume wangu sitarudia" Kwanini?
  15. Loading failed

    Wenzangu mkiambiwa hamna utu na wake zenu huwaga mnafanyaje ili maisha yaendelee?

    Ndugu zangu.. Japo wanaume tuna mioyo migumu ya kuvumilia kila jambo ila hakuna kauli inayouma na kujeruhi sana kama kuambiwa huna "UTU" na mkeo Sasa . Hivi nyie wezangu mkiambiwa hamna utu na wake au wanawake zenu huwaga mnafanyaje ili maisha ya endelee maana mimi naona na karibia kukata...
  16. M

    Kwa mliooa mademu zetu asee jitahidini kuwakaza vizuri wake zenu! Wanawake wenu wanatukumbuka huku

    Huyu manzi alishaolewa but bado ananichek na kunikumbuka jinsi nilivyokuwa namkunja ipasavyo! sasa huko alipoolewa kakuta hakuna kitu dah hizi ndoa hizi 😁😁 Wanangu wa kataa ndoa back up yenu muhimu waliooa wakianza kunishambulia 😁😁
  17. Loading failed

    Wanaume kama unajua akikupa huwezi kuichapa ni mara mia uache kuwasumbua wanawake

    Ndugu zangu Wanaume ni kweli tunapitia magumu ila kamwe tusikubali hizi dharau kutoka kwa hawa wanawake. Ni mara mia kama unajua huwezi kuichapa uache kusumbua wanawake .
  18. Loading failed

    Mliowahi kuambiwa na wake zenu hamna utu tukutane hapa kupeana mbinu

    Ndugu zangu habari.. Ni mara kadhaa sasa mke wangu ananiambia sina utu ila nikimuuliza kwanini ananiambia hivyo hatoimajibu kabisa. Ndugu zangu kama mnajua ni kwanini naambiwa hivi au mlio wahi kuambiwa hamna utu na wake zenu njoeni hapa tupeane mbinu wakuu
  19. Travis Kitengo

    Mchungaji Tobi Adegboyega ndie aliezaa watoto wote na mke wa mchezaji wa zamani wa Super Eagles na Man city Michael Olanrewajin Kayode

    Mchungaji Tobi Adegboyega ndie aliezaa watoto wote na mke wa mchezaji wa zamani wa Super Eagles na Man city Michael Olanrewajin Kayode. Mchungaji kapiga mashine mpaka mke wa mtu Dora kayode kuzaa watoto watatu ndani ya ndoa! Timu kataa ndoa wanazidi kuchukua point tatu!
Back
Top Bottom