wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mtu hatoki ndani asubuhi hadi jioni lakini analipa kodi na bills zote kwa wakati

    Nimewahi panga Nyumba fulani hivi kuna jamaa alikuwa anashinda chumbani asubuhi hadi jioni na anakula vzuri anapendeza na analipa bills zote bila usumbufu hadi majirani na wapangaji wenzie hususani wanawake walikuwa wakihisi labda anajihusisha na uuzaji madawa au ndo wale wa ile pesa tuma kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Tuwapongeze Bibi zetu ( Wazazi wa Wazazi wetu) Kwa malezi yao bora na ya kudekeza wakati Mwingine.

    Mtu yeyote ambaye amekua katika maeneo ya vijijini hata mjini kwa kiasi kidogo anaweza kuelezea uzuri wa malezi ya bibi. Bibi ni mtu mwenye huruma sana hata mzazi akitaka kukuadhibu ukikimbilia kwa bibi basi utakuwa salama kabisa. Lakini Bibi ni mtu ambaye hutanguliza mbele wajukuu zake washibe...
  3. JamiiForums Tanzania Ni kweli kuna wakati kulikuwa na wachuna ngozi za binadamu nchi hii?

    Miaka ya tisini nilikuwa nasikia sana stori za uchunaji ngozi maeneo mbalimbali ya nchi, stori zenyewe zilikuwa za kutisha sana kwamba watu wanamkamata mtu hasa watoto wadogo wanawachoma sindano fulani ngozi yote inaumuka kisha wanaichana na kuivua tu. Hizi story za uvunaji ngozi ya binadamu...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna wakati sisi wanawake tulipaswa kuishi maisha haya. Dunia ingekuwa sehemu salama kabisa

    Kwa namna mja au nyingine mwanamke bila mwanaume hakuna mtu au binadamu. Mwanamke ananafasi kubwa kuifanya dunia iwe hapa ilipo leo. Hii picha haimaanishi jambo baya mimi kama mwanamke naona kabisa ningeishi kwa amani na mume wangu mmoja. Hata huyu mwanaume angishi maisha marefu tu. One...
  5. JamiiForums Tanzania Usipokubali mabadiliko unapitwa na wakati

    Three stories to boot: 1. Nokia refused Android 2. yahoo rejected google 3. Kodak refused digital cameras Lessons: 1. Take chances 2. Embrace the Change 3. If you refuse to change with time, you'll become outdated Two more stories: 1. Facebook takes over WhatsApp and Instagram 2. Grab takes...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi yapi wakati mapinduzi yalishafanyila?

    Rais wa Zanzibar qnaitwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Swali ni je, hilo ni Baraza lipi tena wakati mapinduzi yalishafanyika mwaka 1964? Au kuna mapinduzi mengine ambayo bado hayajatimia? Inawzekana ufafanuzi uko katika somo la uraia au some la siasa enzi zile ila...
  7. JamiiForums Tanzania Simba SC 'mmerogwa' na nani tena? Rweymamu wa nini tena kama Meneja wakati mnajua akikaa na Rafiki yake mkubwa Matola wanaleta Majungu sana?

    Klabu ya Simba imemrejesha kikosini Patrick Rweyemamu kuendelea na majukumu yake ya kuwa meneja wa timu hiyo. Rweyemamu amerejeshwa katika majukumu hayo baada ya msimu uliopita kuondolewa kwenye nafasi hiyo na kuwa Mkuu wa Programu za Soka la Vijana klabuni hapo. Kurejea kwake anachukua nafasi...
  8. JamiiForums Tanzania Modern contemporary house plan design

    Modern contemporary house plan Do you need other samples ? Check me on +255742892195 call text whatsapp WE design and build your dream home
  9. T

    JamiiForums Tanzania Umri unaenda aisee, nachanganyikiwa! Samahani niliowatukana kwasababu umri mkubwa halafu hawana kitu

    Kiukweli hapa nilipo nachanyikiwa Sana wakuu sijui nifanyeje kiukweli Kama ingewezekana kuna uwezo wa kurudisha siku nyuma ningefanya hivyo lakini ndiyo hivyo haiwezekani hata kidogo aisee ndugu zangu mniombee kabisa Unajua kipindi Niko kijana barobaro kwenye mwanzoni mwa miaka 20 nilikuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Ni Tanzania pekee tukio la uvunjaji wa sheria linakuwa back up na tukio lengine la uvunjaji wa sheria

    Kuna mambo mengi hutokea katika hivi viwanja vya mfumo wa kisiasa,kimsingi hua ni hitilafu/utata wa sheria au uvunjaji wa sheria unaofanya na moja watendaji wa kiserikali may be kwa kujua au kutokujua. Kwa bahati mbaya zaidi,hutumiwa propaganda za wasanii,timu za mipira au uvunjaji wa sheria...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Mkenda: Upanuzi wa Elimu ya Juu ni mkubwa kwa sasa kuliko wakati mwingine wowote Nchini

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema ujenzi wa Kampasi za Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya katika Mkoa wa Rukwa ni moja ya mradi unaojengwa chini ya Mradi wa Higher Education for Economic Transformation zinazojengwa katika Mikoa isiyo na Taasisi za Elimu ya...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini wakati RC Chongolo anatambulisha Mawaziri leo Songwe ni Mmoja tu Mchengerwa alitajwa nae kwa Furaha, ila Wengine waliishia Kutajwa tu na RC?

    Siku hizi napenda sana kutoa Maelekezo ili wale Matomaso ( Wasioamini ) Kwanza wakajiridhishe ndipo waje tena hapa. Naomba kila Mtu atafute Clip ya leo Rais alilpokuwa Mkoani Songwe pale ambapo RC Chongolo alipokuwa akitambulisha Mawaziri kisha akitizame kwa umakini sana hiki nilichokiulizia...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ewe mwanaume, ukiona wakati wa uchumba unaombwa vocha, nauli ya daladala, hela ya LUKU na hela ya kula, kimbia

    Huyo siyo mtu ni kupe, na kama siyo kupe basi hafai kuwa mke, maana hatokuwa msaada kwako. Ndiyo! Kama ameshindwa kutafuta hela kwa ajili ya vitu vidogo kama hivyo unaoa kwa ajili ya nn sasa? Kuzaa tu? Hata panya anazaa. Acha ujinga wewe, chukuwa mke atakayekuwa msaidizi wako kiuchumi...
  14. JamiiForums Tanzania Vijana Waafrika waachane na mawazo mfu yaliyopitwa na wakati ya kulaumu "mabeberu"

    Huku kulaumu watu wa nje kwa matatizo ya sasa ya Afrika ni mawazo yaliyopitwa na wakati yasiyo na tija yoyote, yanahaitaji kukataliwa na kupuuzwa kabisa. Inasikitisha zaidi fikira hizi kuendelea kuwepo na kuaminiwa tena na vijana. Chanzo kikuu cha umaskini wa Africa ya sasa ni utawala mbovu...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi mnajua roho ya mwanadamu kama ijapangiwa kufa kwa wakati inabaki hapa hapa duniani?

    Kuna kisa kimoja kilitokea marekani ambacho mama mmoja alijikuta mikononi mwapolisi baada ya kwenda kituoni kuanza kueleza kuwa eneo fulani kuna mwili wa mtu fulani nendeni mkautoe. Lile jambo liliwashtua polisi na kuanza kufanyia uchunguzi ila kutokana na umbali mfano tuseme mama yule yupo...
  16. JamiiForums Tanzania Mfalme Suleiman (Solomon) alikuwa na wake 700 na michepuko 300 kweli? Kwanini?

    Juzi nilipokwenda dukani kununua liwa kwa ajili yakurembesha uso wangu. Muuzaji alinifungia liwa hiyo kwenye kipande cha karatasi ambacho kilikuwa na habari inayomhusu Nabii Suleiman AS. Huyu nabii anaelezwa kwamba alikuwa na utajiri mkubwa usiyo kifani, lakini pia alikuwa na busara na hekima...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakati CHADEMA mmejikita twita CCM wapo kimkakati kwa maandalizi ya 2025 msije kusema mmeibiwa

    Vijana wa upinzani Tanzania hasa kupitia vyama vikubwa vya chadema na act wazalendo ,wamejikita twita! Wanadhani kwa mabishano na kelele za twita wanaweza kuleta mageuzi yoyote katika nchi hii !! Watu wenye akili na weledi na wapiga kura wa kweli hata twita hawapo na wengine hata hawaijui kabisa...
  18. JamiiForums Tanzania Wakati Rais Ruto wa Kenya akiwataka Maafisa wa Serikali wenye Umri wa miaka 60 Kustaafu, mwingine duniani anawapa Uteuzi ili wamsaidie Kumdanganya

    Rais Ruto anatakiwa aje kujifunza nchini Tanzania ambapo Maafisa wote wenye huo Umri wa miaka 60 hakuna aliyeko bado Serikakini katika Utumishi wa Umma na kwamba Waajiriwa wote Tanzania ni Vijana watupu wa kuanzia miaka 25 hadi 45 walioko huko. Na ndiyo maana Utawala wa Rais Samia unafanya...
  19. JamiiForums Tanzania Mwaka wa Tisa huu sijampiga wala kumnyooshea kidole Wakati kumtukana Binti Kimoso

    MWAKA WA TISA HUU SIJAMPIGA WALA KUMNYOOSHEA KIDOLE WALA KUMTUKANA BINTI KIMOSO Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Miaka tisa siô mingi Sana làkini pia kwèñye mahusiano ya mapenzi hasa nyakati hizô siô miaka michache. Katika miaka yote hiyo tumepitia mambo mbalimbali yaliyotujenga na yapo...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Wale msio na ndugu maisha yapo vipi ?

    Umezaliwa bila kaka, dada au wadogo zako, yaani upo peke yako, yaweza pia kuwa walifariki. Maisha yapo vipi ?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…