Pepo huyo ndie aliekuwa anaongea kwenye wimbo " Hit Em Up" Kupitia midomo na sauti ya Tupac.
Haya si maneno yangu bali nimeyakuta huko TikTok.
Mtoa hoja hii anasema yeye ni mtaalamu wa Sayansi na Sanaa ya Lugha za kiroho.
Vile vile ni mtaalamu wa Sayansi na Sanaa ya kusoma Sauti za ndani za...
“Demokrasia ya Kidikteta” au “Demokrasia ya Maonyesho”—Ni Demokrasia ambapo uchaguzi upo, vyama vya upinzani vipo, lakini mfumo mzima umejaa ishara za kuwa demokrasia ni maigizo tu. Hizi hapa ni ishara zinazoonesha demokrasia ya maigizo kati ya chama tawala na chama cha upinzani wakati wa...
Unafiki wa waandishi wa Tanzania vibaraka wa wazungu ndio utauona hapa Sasa.
Watu Kama kabendera sasahivi yupo kimya kwa sababu maslahi yake hayajaguswa!!
Kabendera yanayotokea hayaoni hata kuandika Habari za uchunguzi juu ya utekaji kimya
Yule jamaa aliyetekwa buza Yuko wapi mpaka leo? Ila...
Huu ni unafiki mwingine wa wanasiasa, kwamba katika mambo mengi sana ya shughuli za kiserikali na kisiasa nchini, mnawaalika viongozi wa dini na kutaka wawabariki katika mamlaka yenu nk. Kila wakati tunawaona kina Makonda wakiomba waombewe na viongozi wa dini mara nyingine kwa magoti na machozi...
Friends and our Enemies,
Kama kawaida yao, maaskofu wameendelea na maigizo yao ya kujifanya kuwa wao Wana uchungu zaidi na nchi hii kuliko viongozi wowote wale wa dini.
Kinachoshangaza Episodes hizi hujirudia rudia zama baada ya zama,TENA hususan Kiongozi pale juu anapokuwa mfuasi wa Allahu...
Kuna wakati lazima viongozi wetu wawe na uwezo wa kuona mbali kwamba wanapaswa kutokweka misimamo ambayo athari zake zitakuwa mbaya huko mbeleni.
In fact, kuwa na msimamo tofauti na matakwa ya wengi na ushauri wa watu wenye hekima ni kuwa na kiburi
Hili suala la kubadili kanuni za uchaguzi...
Wa afghanistan wanateseka Sana nchini pakstani
Wanafukuzwa ila hawataki kuondoka wanasema wakirudi maisha yao yanakuwa hatarini
Hata hivyo pakstani imewabeba kinguvu na kuwarudisha kwa maelfu!
Ninachojiuliza dini ya kiislam inahamasisha muislam mpende muislam mwenzako na hizi nchi asilimia...
Salaam, Shalom!
Nawauliza ndugu ZANGU watanzania mliowahi kusimama court, ukipewa muda wa kujitetea, ukasikizwa upande wa mshitaki na mshitakiwa, hakimu anapogonga nyundo mezani huwa anaashiria Nini?
Kugonga nyundo ni taarifa kuwa, wote tunatakiwa kukaa kimya. Sasa ukiongea muda wa hukumu...
“Nani anaharibu amani, anayetumia nguvu uchaguzi uende anavyotaka yeye au anayesema turudi mezani mfumo wa sasa hautupi viongozi wanaopatikana kwa HAKI na KWELI?..Waliokamatwa kwa kudai HAKI wakiwepo viongozi wa vyama vya siasa waachiwe haraka bila Masharti” Askofu Pisa, Rais TEC
Utangulizi.
Habari hizi za Mfalme wa Babeli Nebkadineza na Mfalme Dario( Darius) wa Waajemi na Wamedi zinapatikana ktk Biblia Kitabu cha Daniel sura ya 1, 2, 3 na 6.
Tangu dunia imekuwepo kumewahi kuwa na falme kubwa nne zilizotikisa dunia nazo ni
Ufalme wa Babeli
Ufalme wa Waamedi na Waajemi...
Shahidi wa tatu upande wa Jamhuri katika Kesi Namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39), Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi Africana, anayetuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi (11) ametoa ushahidi Aprili 15, 2025.
Katika ushahidi huo ambao ulitumia takribani saa tano...
Baadhi ya kampuni za mawasiliano acheni masihara, fungeni cable zenye uwezo wa kurusha 5G, na sio 5G ya maneno matupu wakati vipimo vinaonesha 3G
Dunia ya leo sio ya kudanganya watu kwasababu kuna vipimo vya kila aina vya kupima kasi na aina ya Band hivyobasi ni ngumu kudanganya vitu vinavyofaa...
Yees, baada ya wabongo wenzetu kuingiza tamaa na kutunyoosha kwa bidhaa kutokea china wakiuza na kupata faida zaidi ya mara 4, na endapo ukijichanganya kwa hawa madogo wanaojiita winga wa kariakoo utanunua kwa bei mara 10 zaidi.
Mfano blender ya 3000 watakuuzia 120,000/=...
Ukijichanganya...
China imeunda Jua la Kwanza la Bandia duniani. Jua hilo la bandia linaweza kuangaza nchi yao nzima na kugeuza Usiku kuwa Mchana. Tayari wamelijaribu mara mbili na limefanya kazi kikamilifu. Jua hilo la bandia huchomoza wakati wa machweo na kuzama wakati wa mapambazuko.
Kupitia jua hili bandia...
Huu ni wakati muhimu Tanzania toka uhuru. Kwana wengine wanaweka utani lakini waelewa wanajua huu ndiyo wakati hasa mashujaa wa karne hii watatokea. Si punde watu wataamka usingizini na kuona haya
Najiuliza sana ni kwa nini viongozi wetu wanajiskia fahari katika mazingira ambayo walipaswa kujionea aibu.
Maana tuna nchi nyingi sana ambazo miaka ya 60 na 70 nilikuwa nyuma yetu kiuchumi lakini Leo ziko mbali sana.
Kukaa kutwa mnasifiana sijui ni kwa lipi!?
Habari.
Jamani hiki ni kitendo mimi sikipendi na sifanyi hivyo kumtemea mate mwanamke wakati wa tendo. Binti usikubali kutemewa mate sehemu za siri ni uchafu na zalau, mate ni mazuri kwa romance lakini ya kitumiwa vibaya ni uchafu.
Mimi naomba Mungu nisipate mwanamke ambaye alikuwa anatumiwa...
Vita vya kibiashara vya Trump vimepelekea kuporomoka kwa sarafu ya dola vibaya sana tangu miaka 10 iliyopita.
Tayari Trump ameshafedheheka na vita vyake hivyo vya kibepari hata hivyo dola bado haijakaa sawa hasa kwa vile wafanyabiashara wengi wakubwa wamezihofia bidhaa kutoka nchini Marekani...
Ukumbusho wako wa kirafiki kwamba kumekuwa na ushirika kila wakati. Tangu zamani mpaka sasa... Duniani kote.. Kuwa mshirika... Jiunge na mtandao Jenga jumuiya yq wazalendo wa Tanganyika Kuza upinzani. Huu ni wakati wetu..
It is NOW...! or NEVER...!