Kucheleweshwa kwa Malipo ya Miradi kwa Wakandarasi Wazawa Nchini Tanzania: Changamoto na Athari
1. Utangulizi Kucheleweshwa kwa malipo ya miradi ni changamoto kubwa inayokumba wakandarasi wazawa nchini Tanzania. Ingawa serikali na mashirika mbalimbali huingia mikataba na wakandarasi kwa ajili...
Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya ameuagiza Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kuwasimamia Wakandarasi wote wanaojenga na kukarabati miradi ya maendeleo kwa jamii (CSR) hapa nchini ili iweze kukamilika kwa ubora.
Mhandisi Kasekenya, ametoa agizo hilo Mkoani Kigoma leo...
ULEGA ATOA WIKI MBILI WAKANDARASI MIRADI YA DHARURA WAWE SITE
Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ametoa wiki mbili kwa wakandarasi wote nchini waliopata ujenzi wa miradi ya dharura Contigency Emegency Response Component (CERC),kuanza kazi mara moja.
Amesema hayo leo wakati akikagua barabara ya...
MHE. KATIMBA AWATAKA WAKANDARASI WA TARURA KUTEKELEZA MIRADI KWA UFANISI
Naiba Waziri, Ofisi ya Rais - TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amewataka makandarasi wanaopatiwa kandarasi za ujenzi wa barabara za TARURA kutekeza miradi hiyo kwa ufanisi na kwa wakati kama ilivyo makubaliano ya katana...
Mfanyabiashara Rostam Aziz amesema kuna namna ya kuwawezesha wawekezaji wazawa ikiwemo kuwapa kazi kama za ujenzi wa Reli na Barabara kwani wapo wakandarasi wanaoweza kuzifanya kazi hizo badala ya kutegemea Wakandarasi wa Kampuni za nchi nyingine.
Ameyasema hayo wakati akizungumza katika...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametambulisha na kuwakabidhi Wakandarasi Wazawa kutoka Kampuni ya Salum Motors na Jonta Investment kwa Wananchi watakaoanza ujenzi wa madaraja makubwa manne ya Ubagwe, Kasenga, Ng’hwande na Mwabomba yaliyoathiriwa na mvua za El Nino katika Halmashauri ya...
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso, ametoa siku saba kwa wakandarasi wanaotekeleza Mradi wa Maji wa Miji 28 wilayani Muheza mkoani Tanga, kuongeza kasi ya utekelezaji wa mradi huo kutokana na kuonekana kusuasua licha ya uwepo wa fedha za mradi huo.
Waziri Aweso amebainisha haya baada ya kufika...
Ninachojiuliza ujenzi wa barabara ya Sitalike kwenda Kibaoni ulianza kujengwa kwa kiwango cha lami kwa kasi sana na pasipo shaka fedha nyingi zimetumika kwenye hatua waliyoishia, je fedha hizo zimeenda bure mbona mambo yamesimama?
Wananchi tulitegemea barabara itakamilika kujengwa kwa wakati...
Tatizo la Kutokulipwa wakandarasi na wazabuni nchini limekuwa sugu nchini ambapo leo bungeni wabunge wameihoji serikali ni lini watawalipa watoa huduma hao wanaoidai serikali kwa kuwa kitendo cha kutokulipa kuna sababisha kudora uchumi
Mbunge Viti Maalum Asia Alamga Ccm, yeye alihoji ni lini...
UKALI WA MCHENGERWA KWA WAKANDARASI NI CHACHU KATIKA KUKAMILISHA MIRADI KWA WAKATI.
Na, John Swai
Mhe. Mohammed Mchengerwa, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), ana msimamo thabiti kuhusu uwajibikaji na nidhamu ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo...
Barabara ya kibada-mwasonga inayoendelea na ujenzi mkandarasi hajaweka barabara ya mchepuo (diversion) kitu kinachopelekea watumishi wanaojenga barabara hiyo kuwazuia watumiaji wa barabara kutopita mpaka wamalize kazi yao kitu amabacho kinazua usumbufu mkubwa hivyo watumiaji wa barabara wakiwemo...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua na kutoridhishwa na kasi ya ujenzi na usimamizi wa barabara ya mzunguko wa nje ya Dodoma (Dodoma Outer Ring Road) km 112.3, sehemu ya Ihumwa Dry Port - Matumbulu - Nala (km 60) kwa kiwango cha lami na kumtaka Mkandarasi Kampuni ya AVIC kuwasilisha...
Katika kandarasi nyingi wafanyakazi wasio rasmi /temporary worker aka vibarua, huigarimu kampuni almost 7-10, ya fedha za mradi although bajeti hii huwa imeainishwa ndani ya mkataba, tunashuhudia mataifa kama China hufanya haya, huwa kama ni sehemu ya wafungwa katika kufundishwa kazi mbalimbali...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amezinyoshea kidole baadhi ya Kampuni za Makandarasi Wazawa zinazoshindwa kutekeleza miradi na tenda za ujenzi wanazopewa kwa weledi na mujibu wa mikataba na kuanza kuwazungusha waliowapa kazi ambapo kitendo hicho kinaharibu taswira ya Makampuni ya...
Leo kuna swali liliulizwa na Pareso Mbunge maalum toka CHADEMA akiuliza ni "Kwa nini wakandarasi wa kigeni wanalipwa riba kwa kucheleweshewa malipo yao tofauti na wakandarasi wazawa ambao hawalipwi riba pindi wakicheleweshewa malipo yao"?.
Mjibu swali alikuwa Waziri wa Fedha ambaye alijibu...
RAIS SAMIA AIELEKEZA TANROADS KUTOA KIPAUMBELE KWA WAKANDARASI WAZAWA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameielekeza Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kuendelea kutoa kipaumbele kwa Wakandarasi Wazawa katika utekelezaji wa miradi ya miundombinu ya...
Heka heka na vimbwanga vinazidi kupamba moto, mpaka uchaguzi ufike tutaona mengi! Eti wanarudisha fadhila kwa yale Rais Samia amefanyia nchi! Kwa hali ngumu ya maisha na wizi unaoendelea serikalini kweli?
Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ndio...
Nchi inapoweka Rehani Rasilimali zake zote Ndio tunaiita Mufilisi kwa sababu inakuwa haikopesheki tena.
Kuchelewa kulipa makandarasi na Wazabuni wengine hilo ni jambo la kawaida sana Ndio sababu umewekwa utaratibu wa kuwalipa Riba ya kuchelewesha malipo.
Ni sawa tu hii Mikopo yetu ya Eniembii...
Miradi mingi ya Serikali hasa za barabara imesimama na Wakandarasi wengi wamekimbia kutoka kwenye maeneo ya kazi. Mfano hai hapa Mwanza kuna miradi inayotekelezwa JASCO ya barabara za lami. Huyu Mkandarasi amekimbia kazi. Ninauliza tatizo ni nini?. Inawekana malipo yamechelewa. Mbona hali...
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia Elimu Mhe. Zainab Katimba (Mb) amesema tayari wakandarasi wapo site wakiendelea na ukarabati wa barabara zilizohabika na mvua pia katika Halmashauri ya Kishapu.
Mhe. katimba amesema hayo Bungeni Jijini Dodoma...