Raia wawili wa Uganda wamewekwa kizuizini kwa madai ya kumtusi Rais Yoweri Museveni, mke wa rais Janet Museveni na mtoto wa rais Jenerali Muhoozi Kainerugaba kwenye jukwaa la la TikTok.
Hakimu Stella Maris Amabilis amewaweka rumande David Ssengozi, 21, almaarufu Lucky Choice, na Isaiah...