Wajumbe wamemchoka ndugai jamani, wanataka wamsaidie kwa lazima apumzike!
Wamechoka kupata mtu yule yule kila siku, wanataka sura mpya yenye mawazo mapya!
Mjumbe alipopata nafasi ya kuuliza swali yeye alisema hana swali bali ana ushauri na kuwaomba wajumbe siku ya kupiga kura wakamsaidia...