The United States has been holding parallel discussions with Moscow, Kyiv and European leaders, reviewing multiple draft frameworks aimed at ending the war. Despite repeated assurances from Trump that an agreement was within reach, a final dea
Hii ni link ya audio video ya GeZ wakijadiliana namna ya kulianzisha tena pengine kabla hata 25/12 na kuendelea....
https://youtu.be/oLG8oqkpG5c?si=8NzhnwgIimcza0Es
Kinachopangwa na kujadiliwa ni maandamano ya kuanzia 25/12.
Lakini kilichonishitua zaidi mimi si maandamano yenyewe.....
Ni kile...
Gen Z wamesema mjumbe yeyote atakayekubali uteuzi ni msaliti sawa na kushirikiana na wauaji, wawe wanambea na familia zao maana watawatembelea kwenye nyumba zao au biashara zao kama walivyowatembelea wasanii wasaliti.
Askofu Mbilu kutoka Lushoto Tanga wa Kanisa la KKKT ni miongoni mwa wajumbe...
Nimeona wachaga wanalalamika kupewa basikeli mbovu
Jana nikaenda kwa mjumbe rafiki yangu ananionyesha box la baiskeli
nkamwonyesha hii picha walizogaiwa moshi nkamshauri wauzie wanyasa kabla ujaliaa
now anakunywa pale Manville pub
Swali hizi basikelii za nani nani amenunua na kwa pesa ya...
Ndio maana Mimi kila siku nasema kuwa Watanzania wana mtindio wa ubongo. Mtu mwenye mtindio wa ubongo akili yake haiko straight. Mtu mwenye mtindio wa ubongo hapaswi kuaminika, anasahau hovyo.
Brother wangu 2015 kwenye kura za maoni CCM kwa ngazi ya udiwani alikuwa nafasi ya tatu lakini kwa...
Dada yetu Kipenzi, pole sana sana
Kifupi mimi ni mdogo wako fulani
Ukijiandaa kugombea Kawe Ubunge nilikuonya Wajumbe usiwaamini kabisa kabisa wanakukula mpaka mifupa wakikupa moyo
Haitoshi nikashauri hata hizo pesa zenu za kugawa usisambaze sana Wajumbe ni sawa na Yuda na wanapenda pesa...
Inakuaje walioshinda Kwa Kura za wajumbe wamekatwa halafu wamepitishwa wale ambao hawakupitishwa na wajumbe??
Nguvu ya wajumbe haithaminiwi au hawana umuhimu?
Lolote linaweza kutokea na yeyote miongoni tuliopigiwa kura za maoni anaweza kupendekezwa na kamati kuu ya ccm taifa na akaidhinishwa na halmashauri kuu ya ccm taifa, kua ndie atakaepeperusha bendera ya ccm uchaguzi mkuu wa october29,2025.
CCM haina cha kupoteza uchaguzi mkuu huu, na yeyote...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Geita, imewakamata wajumbe wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Kata ya Nyankumbu Jimbo la Geita mjini walionekana katika picha mjongeo wakigawana rushwa katika mchakato wa uchaguzi ndani ya CCM huku taasisi hiyo ikiendelea na uchunguzi...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Wilayani Ulanga inawashikilia watu wanne wanaodaiwa kukutwa na mamilioni ya fedha zinazoaminika kuwa zililengwa kugawiwa kwa Wajumbe Wapigakura za maoni wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Ulanga.
Vyanzo vya habari vinaeleza kuwa...
BAADA ya kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) zilizofanyika Agosti 4,2025 nimejipa jukumu la kuzungumza na baadhi ya wagombea ambao wapo tayari.
Mmoja wa wagombea niliyezungumza naye ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kutoka Wilaya ya Kyela Mkoani Mbeya.
Mwakajumba ni mmoja wa...
GʻT
Hawa wanaonunua uongozi kuna biashara gani wanaenda kufanya huko kwenye ofisi za umma ili pesa zao zirudi. Taifa lipo katika hali mbaya sana chini ya wanamtandao TAKUKURU nao wameng'olewa meno.
Nikiri katika mwaka huu wa kiuchaguzi wajumbe wa CCM wenye mamlaka ya kuchuja na kupendekeza majina ya wagombea ambao hatimaye ndio huchaguliwa kuwa wawakilishi wetu wamefanya kazi kubwa sana na ya kizalendo mno.
Nawashukuru!
Ndani mtiti nje mtiti. Ndivyo tunavyoweza kusema, baada ya ukumbi wa Shabani Mloo wa Chama cha Wananchi (CUF), uliotakiwa kutumiwa na wajumbe wa Baraza Kuu la Uongozi wa chama hicho ili kupitisha ilani na kuteua majina ya wagombea urais wa Tanzania na Zanzibar, kugeuka uwanja wa ngumi.
Mtiti...
LUCY MAYENGA AAMINIWA NA WAJUMBE KWA KURA 7,814 JIMBO LA KISHAPU
Ndugu Lucy Mayenga ameibuka kinara katika kura za maoni za Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwania ubunge wa Jimbo la Kishapu baada ya kushinda kwa kupata kura 7,814.
Matokeo hayo yaliyotangazwa na CCM Wilaya ya Kishapu yanaonesha...
MCHENGERWA (MTU KAZI) WAJUMBE WAMUAMINI KWA KURA 8,465 (99.19)
Mgombea wa Jimbo la Rufiji anayetetea jimbo lake, Ndugu Mohamed Mchengerwa ameibuka kidedea katika kinyang'anyiro cha kura za maoni kwa kuzoa asilimia 99.19 ya kura zote zilizopigwa.
Matokeo hayo mazuri kwa Mchengerwa yametokana na...
Wajumbe hawana utani, wamemtwanga vibaya ndugu Mnyeti.
Anaitwa ‘𝘽𝙪𝙜𝙤𝙩𝙖 𝙬𝙖 𝙈𝙞𝙨𝙪𝙣𝙜𝙬𝙞’ (dawa ya Misungwi) jina maarufu alilopewa na wananchi wa Jimbo la Misungwi, wakimaanisha ‘dawa ya Misungwi’ kwa madai kwamba baada ya kuteswa na gonjwa sugu tafiti zimefanyika hatimaye tiba imepatikana...
MATOKEO YA AWALI KURA ZA MAONI PANGANI
1):KATA YA MKALAMO
1.Jumaa Aweso- 219
2.Ramadhan Zuberi-0
3.Mariam Abdalah-0
2):KATA YA MKWAJA
1.Jumaa Aweso- 248
2.Ramadhan Zuberi-0
3.Mariam Abdalah-0
3):KATA YA KIPUMBWI
1.Jumaa Aweso- 414
2.Ramadhan Zuberi-0
3.Mariam Abdalah-0
4):KATA YA MIKINGUNI...
Mko wapi?
Its now obvious kwamba hata huko CCM wanahitaji kufanya reforms
Hapa hawa wananchi wanalalamika kwamba kuna rafu zimefanyika kwenye mchakato wa Uchaguzi ambapo huyo Katibu anatuhumiwa kucheza rafu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.