wahudumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bar ya Picnic Arusha Kuna wizi kuanzia wahudumu, Wateja Wanawake mpaka Bodaboda Wanaopaki nje

    Wakuu Niko Arusha Kwenye Miangaiko Sasa Jana nikaenda Bar ya picnic Arusha, Sasa Wakati ñaenda Nikamwambia Mwenyeji wangu, yule Mwenyeji wangu akanambia kuwa makini Na picnic kuna wezi kama wote, nikamjibu Poa. . Lakini yule Jamaa akanambia watu wageni wanaogopa Sana Hapo maana ULINZI zero. ...
  2. L

    Wahudumu zaidi ya elfu mbili wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing wapiga picha ya pamoja ya ukumbusho

    Wafanyakazi na wanaojitolea zaidi ya elfu mbili wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing wamepiga picha ya pamoja ya ukumbusho tarehe 21 mwezi huu katika Uwanja wa Michezo wa Taifa mjini Beijing, China baada ya michezo hiyo kumalizika. Waliosimama kwenye barafu ni wahudumu...
  3. Naomba ushauri: Nahisi kuibiwa na wahudumu wa Halotel

    Bila shaka mnaendelea na maandalizi ya sikukuu!Mida ya saa nne leo asubuhi kuna mtu kaniomba vocha nikaona isiwe kesi nikaingia kwenye Mobile App yangu ya NMB ili nimnununue mda wa maongezi mhusika. Nimeingia nikamtumia elfu 10 kama mda wa maongezi ili ajiunge mwenyewe,Nmb wakanipa taarifa hela...
  4. Wahudumu wa Benki inayodhamini Ligi Kuu wanaupiga mwingi

    Kutoka tawi la Makumbusho/Kijitonyama namba ngapi umemuelewa
  5. Naomba msaada namna ya kuwasiliana na wahudumu wa king'amuzi cha continental

    Bila kuwashosha wakuu wangu naomba msaada wa namna ya kuwasiliana na wahudumu tajwa hapo juu.
  6. Zanzibar: Serikali yaanza kutoa chanjo ya COVID-19 kwa wahudumu wa Afya

    Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wa Zanzibar Ahmed Mazrui amesema wameanza kutoa chanjo ya COVID-19 kwa wahudumu wa Afya wa hospitali za serikali, Uwanja wa Ndege wa Abeid Karume na Bandari ya Malindi. Wamechukua hatua hiyo kwa kuwa nchi kadhaa za Afrika zimeonesha...
  7. S

    NSSF Tanga badilikeni, wahudumu mnaonesha chuki kwa wateja

    Nimefika pale kuulizia huduma fulani lakini hakuna wahudumu wa kutosha (dirishani yupo mhudumu mmoja tu) foleni ni ndefu mno. Chumba kimejaa wateja lakini wahudumu wanajipitishatu na visuruali vyao, majibu yao ya hovyo. Watumishi wa hiyo ofisi wanachukulia wateja kama ombaomba. Hamjui kama kuna...
  8. D

    Wahudumu wa massage wanahitajika DSM

    Sifa za waombaji, 1. Awe msichana kuanzia miaka 18 hadi 30. 2. Awe ana ujuzi wa massage na urembo (beauty therapy) 3. Awe mkazi wa dar es salaam, ikiwa anaishi ilala atapewa kipaumbele. 4. Awe tayari kufanya kazi bila msukumo. Mshahara kwa mwezi ni tsh 360,000/= Chakula cha asubuhi na...
  9. C

    Matapeli wanaotumia kigezo cha wahudumu wa Airtel

    Nimepokea ujumbe unaonitahadharisha kufungwa kwa line yangu. Na nikatumiwa namba ili nitume vitambulisho vyangu, jamani kuweni makini. Details zako ndizo zitatumika kama njia ya kukutapeli. Cha kuzingatia chunguza logo ya masage kutoka airtel, huwa inaanzia herufi kubwa na kufuatilia na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…