Meneja Mahusiano ya Nje wa Yas, Bi. Rukia Mtingwa (wa tatu kushoto), akikabidhi cheti cha kuhitimu programu ya Jovia kwa Bi. Martha Chomola. Programu hiyo inayoratibiwa na Taasisi ya Apps and Girls kwa udhamini wa Yas, inatoa mafunzo kwa mabinti katika nyanja ya teknolojia. Hafla hiyo imefanyika...