wahisani

  1. Hivi ni kwanini nchi za wazungu kila wanapotupa misaada tunawaita wahisani wetu wa maendeleo lakini pale wanapotukosoa tunawaita mabeberu?

    Kuna msamiati mpya umetungwa hususani na watawala wetu wa serikali ya awamu ya 5 kwa kuwaita nchi za wazingu kuwa ni mabeberu, pale wanapotoa "constructive criticism" yenye lengo la kututaka tujirekebishe ili nchi yetu ipate ufanisi wa hali ya juu. Hata hivyo ajabu ni kuwa wazungu hao hao...
  2. S

    Wahisani wakibana kisawasawa, mbali na Wafanyabiashara kukamuliwa, hata sitting allowance za Wabunge zinaweza kutoweka

    Kutokana uchaguzi huu ulivyokwenda, binafsi naona kuna uwezekano wa asilimia 70 mpaka 80 wa wahisani na mashirika ya fedha ya kimataifa, kusitisha kutoa fedha zao kwa hii serikali unless zinafanyika jitihada kubwa sana za kidiplomasia huku serikali ikilazimika kuji-commit kwa baadhi ya mambo...
  3. S

    Nchi Wahisani hawatakubali kutoa fedha zao iwapo watabaini wapinzani wa kutumika ndio wataongoza kamati za fedha za Bunge

    Ni Imani yangu walioweka sharti kamati za Bunge: PAC, POAC na LAAC ziongozwe na Wapinzani, walijua umuhimu huo wakiamini wapinzani wana nafasi nzuri zaidi katika kuibana serikali kwenye suala zima la matumizi ya fedha za Umma na zile zinazotolewa na wahisani. Kwa sababu hiyo, naamini mpaka sasa...
  4. S

    GE2020 Kumbe kuna hatari ya kukosa Trilioni 2 kutoka kwa Wahisani kutokana na Kasoro za Uchaguzi(?)

    Anaandika Leonce Marto wa CHADEMA kupitia mtandao wa Twitter: Kanuni za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zinataka kamati za kudumu za PAC na LAAC ziongozwe na wapinzani, CHADEMA hatupeleki Wabunge wa Viti Maalum na hatutaki kunajisi chombo hiki muhimu cha wananchi. Mtakosa 2 Trillion...
  5. S

    Tundu Lissu akishinda urais, mikopo na hasa misaada, itaongezeka kutoka kwa Wahisani wa Maendeleo

    Huu ndio utabiri wangu kuwa,Lissu akishinda uraisi na kutangazwa mshindi kwa mbinde au vinginevyo, nchi wahisani na wadau wengine wa maendeleo wataongeza misaada na mikopo yao kwa nchi yetu na inaweza kuongezeka hata mara mbili. Ni imani yangu wanatoa mikopo na misaada kwa sasa kwasababu tu...
  6. S

    Naomba ufafanuzi toka wafuasi wa CCM na viongozi wao - Mabeberu ni kina nani, ni nchi wahisani au wafadhiri?

    Hivi karibuni hili neno limekuwa likitumika kila wakati, na kuna wakati namsikia hata Raisi Magufuli akilitumia - mabeberu. Nimeona kuwa wakati fulani hata vyama vya upinzani wakiambiwa ni marafiki wa mabeberu. Wakati fulani nimeona kwamba neno mabeberu linaelekezwa kwa mataifa tajiri ya nje...
  7. Hili la Wakorea kutoa 400,000/-Tshs kwa kila wanandoa Mitaani vipi?

    Wikiendi hii nimerudi Bongo na nimekuja kutembelea Uswahilini kwetu huku Mtaa wa Azimio, Kigogo Luhanga nimepata habari zenye Kiulizo inabidi niulize Wanajamvi humu ndani. Serikali ya Mtaa ya huku Mtaani imekuwa ikiandikisha wakazi wa hapa ( Wanandoa)/ (Wenza wanaoishi pamoja) na kuwapiga Picha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…