Daah
Nakutana na vituko gani sijui
Huyu sasa ni Muhaya yaani kwa namna anavyojisifia ananikata stimu
Sasa kuna haja gani ya mwanaume kuanza kujisifiasifia mara nina mabiashara mara mahela
Halafu hayo maswaga wanatongozewaga wanafunzi
Anyway kwani wahaya ni kweli mko hivo yaani mnasifa...
Leo nilikuwa nimeketi zangu ubalazani kutokana na heka heka za mvua iliyonyesha Leo tangu Asubuhi Hadi arasili kwahiyo watu wengi hatukufanikiwa kufika kwenye maeneo yetu ya kutafutia riziki tumeshinda nyumbn
Kwahiyo katika kusogeza muda nikaamua niwashe redio bhana mara ghafla yakaanza...
Nimekwama Bukoba. Nshomile wamejaza ndege zote kwa siku kadhaa zijazo.!
Maprofesa na Ma Dokta wanarudi Dar baada ya end of the year holidays!
Tutajuta kwenda huko!
Ngoja nipande Katarama Bus 😅😄😃😁
Historia ya Wahaya
Wahaya ni moja ya makabila makubwa na ya kale nchini Tanzania, wanaopatikana zaidi mkoa wa Kagera, hususan wilaya za Bukoba, Karagwe, Muleba na Missenyi. Pia hupatikana kusini magharibi mwa Uganda karibu na Ziwa Victoria.
Asili ya Wahaya
Wahaya ni sehemu ya jamii za...
Inaelezwa kuamkia jana Samia alikimbilia Uganda na kuhifadhiwa kwa Museveni.
Chanzo kutoka UN kimedai amehifadhiwa mpakani mwa Uganda na Tanzania.
Wazalendo wetu mliotukuka JWTZ tunaomba kikamateni hicho kikaragosi na mkikabidhi kwa Wahaya wakishughulikie kwa damu alizomwaga za kina Mdude...
Chini ya Rais Samia Vyuo vipya 5 vya VETA vyajengwa mkoani Kagera kikiwemo cha Burugo kilichogharimu zaidi ya TZS20bn.
Rais Samia amepeleka shillingi Billioni 128 mkoani Kagera kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya elimu, bilioni 4.1 kujenga shule mpya ya bweni kwa wasichana.
Katika kipindi cha...
Wahaya(haya) ni kabila lenye mshikamano mkubwa sana katika nyaja mbalimbali hasa kitaaluma
Niliwahi kushuhudia hili wanachangishana pesa kusaidia ndugu waende kusoma chuo nje ya nchi .
Just why Wahaya ni watu wenye mafanikio makubwa sana kitaaluma nikutokana na mshikamano wao na wanajuana hata...
sisiemu imeshajifia muda mrefu sana Ila siasa za kupita bila kupingwa zimehasisiwa na MTU anajiita Bashiru Ally Kakurwa Muhaya kutoka Bukoba vijijini .
Kama alivyowahi kusema mzee mmoja kuwa hii tribe ipo na matatizo sana . hasa wakikabidhiwa madaraka makubwa . no vision no humbleness
Bashiru...
Wiki iliyopita nilikuwa Magu Masanza kona kuna msiba mzito,baba wa mji aneaga dunia,Nzengo yote iko pale marehemu ameacha mke na watoto na wajukuu.
Kilichonishangaza msiba mzima waliokuwa wakilia hawazidi wanne,tena hata katika nyakati ngumu za kuaga na kuzika.,Mtoto wa marehemu yuko bize na...
Wahaya wa Tanzania, wanaoishi karibu na Ziwa Victoria, walianzisha mchakato wa hali ya juu wa kutengeneza chuma zaidi ya miaka 2,000 iliyopita, muda mrefu kabla ya mbinu kama hizo kutokea Ulaya. Uchimbaji wa kiakiolojia katika miaka ya 1970 katika kijiji cha Buhaya ulifichua tanuru za zamani za...
Heshima kubwa sana kwenu, nilikua nasikiaga tu sifa zenu ila jana nimejionea 🙌🏽🔥🙌🏽🙌🏽🙌🏽.
Wakora sana, nahisi nimempata omugonzibwa wange 😅😅😅😂.
https://youtu.be/wrEDCIdx0ek?si=W-8HZWjEOf5oA5eR
Haya yameandikwa katika kitabu Zamani Mpaka Siku Hizi. Inadaiwa Wahima(Watutsi ni Wahima walioelekea magharibi kwenye vilima vilivyoitwa Tutsi) Walipotoka kaskazini kwenye karne ya 14 walikuwa na nguvu na maarifa mengi. Hilo liliwafanya kila walikopita, kuanzia Uganda hadi Kusini Mashariki ya...
Mficha uchi hazai/mificha maradhi kifo kitamuumbua na kuuliza siku zote sio ujinga.
Hii nyimbo Ina miaka kadhaa Sasa lakini Kila ninapo zungukia kwenye sherehe hasa kijijini haijarishi iwe Kwa wasukuma ama makabila mengine huku Kanda ya Ziwa nyimbo hii Bado Iko kwenye chati.
Nyimbo hii Ina...
Kinachowafanya wahaya na wachaga kufanikiwa katika Elimu , Biashara n.k
Ni Kwa sababu wanakumbuka Nyumbani na kutunza ile Asili yao.
Wahaya ukifia hata Marekani huwa wanahakikisha unaletwa kuzikwa kwenu .
Pia wachaga the same.
Binadamu anapatikana katika mambo mawili Energy and matter...
Wakuu kwema?
Kipi kimejificha kwa hili kabila la kihaya! Kila mmoja wao akifikisha kuanzia miaka 30 tayari anakuwa na upaa.
Shida itakuwa Nini wakuu.
Merry Christmas.
Leo nilikuwa natazama chomoza TV nimekutana na jamaa mmoja muhaya anaitwa Dr Ellie Waminian huyu jamaa Ana akili Sana .
Nimeambiwa ni muhaya
Hili kabila litakuwa na DNA Kama za wazungu
Nilidhani wahaya wangefanyia tamasha hili mkoani kwao ili wapaone palivyochoka. Lakini wameamua kukaa Dar wakiangalia jiji linavyopendeza, huku makwao pakiwa choka mbaya.
Ilikuwa ni fursa kwao kuangalia nyumba za babu na baba zao zilivyochoka, mazao ya ndizi na kahawa yalivyoanguka, jinsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.