Katika miaka ya hivi karibuni, sekta ya ufugaji nchini Tanzania imekumbwa na changamoto nyingi, hasa uhaba wa malisho unaotokana na mabadiliko ya tabianchi, ongezeko la watu, upungufu wa ardhi, na kushuka kwa uzalishaji wa mazao ya mifugo. Changamoto hizi zimeathiri sana wafugaji walioko mijini...