Lema alikuwa hana sababu ya kuongea kuhusu Mbowe .
Ikiwa mtu hayupo upande wenu Ila nyie mnasapotiwa na mamilion ya watu ambao wanawasikiliza , na kutoa sapoti zao sasa Mbowe yeye ni nani ?.
Nafikiri mtaji mkubwa katika siasa ni watu .
Ukizungumzia mapito msijifikirie nyie Ila mjue kuna watu...
"He killed my ma, he killed my pa, but I will vote for him.".... kwa tafsiri isiyo rasmi inamaanisha "Alimuua mama yangu, alimuua baba yangu, lakini nitampigia kura"
Hiyo ni kauli maarufu ya wapiga kura wa Liberia hasa vijana waliokuwa wakimuunga mkono dikteta Charles Taylor mwaka 1997 kwenye...
CHADEMA kimetawaliwa na wafuasi waliojaa matusi ndo wanaongoza chama mitandaoni akina Mange Kimambi, Sativa, Tito Magoti, Martin na wengine.
Huwa najiuliza hivi matusi ni mkakati wa CHADEMA?
Matusi yamekifanya chama kionekane ni chama Cha ovyo chama Cha wahuni wahuni tupu, imekuwa ni aibu hata...
Siwezi kupuuza nguvu ya social media. Maana juzi waziri mkuu wa mongolia amejiuzuru kutokana na nguvu ya social media.
Chadema wametangaza kuwa 16/06/2025 kutakuwa na maandamano mtandaoni uko X.
Kwamba raisi Trump ,Vance na Rubio wakipost chochote, wata comment, No reform no election.
Lengo...
Wakuu!
Jeshi la Polisi Mkoani Mara limelipua mabomu ya machozi na kutawanya maelfu ya wananchi waliokua wakimsindikiza Makamu Mwenyekiti wa Chadema taifa, John Heche mara baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wa hadhara mjini Musoma.
Wanadai wananchi kumsindikiza Heche kwa umbali mrefu ni sawa...
Katika historia ya harakati za kisiasa duniani, mara nyingi mabadiliko ya kweli yamekuwa yakipatikana kwa gharama kubwa, ikiwemo maisha ya wale wanaojitolea kwa ajili ya haki na demokrasia. Katika muktadha wa Tanzania, chama cha upinzani CHADEMA kimekuwa mstari wa mbele katika kupigania...
Leo ndio jeneza limepigiliwa misumari hakuna mwanachi wala wafuasi wa CHADEMA waliojitokeza hapa ujasiri wao wa matusi mengi mitandaoni lakini kwenye mageuzi ya kweli hawapo siriasi...
Ushauri Lissu akitoka apande ndege awaache Watanzania...hawapo tayari wala siriasi leo hatuoni apudeti yeyote...
25 Aprili 2025
JAMIIFORUMS NI JUKWAA KUBWA LA MEDIA, NAAMINI WATU WAMEITAFAKARI HOTUBA PIA TOFAUTI NA MEDIA ZINGINE TUNAWEZA KUIJADILI ILI KUJENGA TAIFA
Leo mheshimiwa rais wa Jamhuri ya Muungano, jioni tarehe 25 Aprili 2025 alitoa hotuba inayo semekana aliongea na taifa.
Je wewe kama...
Askofu kibwetere alikuwa na wafuasi wake waliokosa maarifa na kumtegemea yeye kwa kila asemalo bila kupima madhara yake mwisho wa siku akawafungia kanisani na kuwachoma moto wakaangamia kwa kukosa maarifa yeye akatokomea kusiko julikana.
Hivi sasa hilo jambo naliona kwa wafuasi wa chadema...
1. Naration za waathirika lo makao makuu ya Chadema
2. Waliokwenda kuwa damped ni kule kule ambako maiti nyingi zilionekana miaka yote ya nyuma
3. Aina ya mateso na alama ambazo maiti zinazookotwa coco beach na Ununio ni identcal na za jana!
CONCLUSION;
matukio yote ya kupotea kwa watu...
Hizi sauti ukipita mitandao yote unasikia sauti hizo za wanafiki.
Mwingine kaenda mbali Simba na Yanga zifutwe baada ya kuona umma umepuuza matarajio tulijua mapema hawa keyboard warrior hawana mpango ona sasa.
Eti wanategemea kanisa liwasemee, ubalozi wa nje uwasemee. Wameanza upuuzi wa...
Yaani wengi wamekua kama hawana bongo vichwani mwao.mtu mmoja ndio amekuwa think tank ya chama.
wengi wamekuwa na sifa za uchawa.hawajiulizi,hawahoji,hawafikirii,hawakosoi wala hawashauri chochote.
Wao kila asemalo na atendalo mwenyekiti wao ni ndio na vigelegele.
Mbaya zaidi zaidi hiyo...
Niende kwenye mada moja kwa moja Tangu miezi sita nyuma au mwaka mmoja nyuma tulio karibu na uongozi wa chadema tuligundua ipo siri kwa vice-chairman ana matamanio na kugombea uwenyekiti na kuhisi yeye ana uwezo wa kuongoza chama cha Chadema kuliko kiongozi wa sasa anaye maliza muda wake,
Kiasi...
UMOFIA wana Jukwaa!
Kumekuwa na malumbano ambayo yamegeuka" symbolize high level of ignorance" kuwa Ujuha.
I expected as a strong political party to bring cream people to its members without this nonsense & stupidity. CHADEMA hakijafikia level za Chama cha Mapinduzi huku tunazinguana kwa...
Polisi mkoani Njombe wamekamatwa watu wawili wa CHADEMA, Emmanuel Raston Ngelime (44) na Obadiah Tedius Chogwa (47) siku ya Jumanne, Oktoba 15, 2024 baada ya video kusambaa, ikionyesha wakiwa wamemzuia na kumhoji kijana aliyejitambulisha kama kijana wa CCM, Antony Mtagawa baada ya kuadaiwa...
TAARIFA KWA UMMA
12 Agosti, 2024
Jeshi la Polisi linapenda kutoa taarifa kwa umma kufuatia katazo na kupiga marufuku kongamano la vijana wa CHADEMA lililokuwa limepangwa kufanyika katika uwanja wa Ruanda Nzovwe Jijini Mbeya siku ya jumatatu Agosti 12, 2024 kwa mwamvuli wa kuadhimisha siku ya...
Tunaomba wahojiwe viongozi wa Chadema kwa haya yafuatayo.
1. Kwanini wanakumbatia wanachama wao ambao tabia na matendo yao ni kero kwa jamii mfano wa akina Mdude, Maria sarungi nk
2. Kwanini hawawakanyi wanachama wao pale wanapotukana viongozi waziwazi huku wakiwa na logo za CHADEMA kwenye...
Wafuasi wa Chadema wakiongozwa na Mbowe na Lisu wametukana, kupinga na kubagaza sana mradi huu tangu kuanzishwa kwake kwa hiyo kuwaona wakiuongelea au kupanda kwenye treni hii ni kama tusi kwa wazalendo na wapenda maendeleo wa nchi yetu.
Nchi zote zinazosemekana uzalendo uko juu sana, huwa...
Baada ya tukio la hivi karibuni la timu za Simba, Yanga na Azama kushiriki kikamilifu katika siasa za kuiunga mkono CCM katika mkutana mkubwa wa UVCCM kupitia wasemaji wao rasmi wa timu , Je wanachama, wafuasi na wapenzi wa CHADEMA wanapaswa kuchukua hatua gani?
Huu utaratibu wa kuwachangisha watu kwa sababu mbalimbali unamapungufu mengi sana tunaomba serikali iingilie Kati kuna ufisadi mkubwa sana Wananchi wanafanyiwa kupitia hii michango ambayo wafuasi wa chadema wamekuwa wakichangisha watu kila uchao na ukijaribu kuhoji kidogo tu juu ya mapato na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.