Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru) mkoani Dodoma, inatarajia kuwafikisha mahakamani watumishi wawili wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kwa kosa la kushawishi na kupokea rushwa ya Sh milioni moja.
Rushwa hiyo inadaiwa walichukua kutoka kwa mfanyabiashara wa jijini...