wafanyakazi wa serikali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Mafwele ana akili sana. Kavujisha audio mwenyewe ili wafanyakazi wa serikali waogope

    Nimesikiliza kwa ukaribu sana ile audio iliyovuja nimejiuliza yafuatayo? 1. Faida au hasara ya kuvuja ni nini ? Kwanza watu wakijua kuwa hata madoctor na wanajeshi wameshikwa itawafanya wengine wote kuwa waoga na wasijiunge na movement ya tarehe 29 2. Ingetakiwa isivuje wangeambiwa waweke cm...
  2. Wafanyakazi wa serikali changamoto

    Yaan uki mkopesha mtu wa serikali au anae tegemea mshahara kulipwa ni changamoto sana lazima msumbuane mshikane mashart sijui kwanini? Kuna namna wanarudisha watu nyumaa sana kwanini mna kuwa wasumbufu emby jibuni hapa
  3. H

    Hao mnaowalalamikia kila leo kuwa ni mafisadi na wezi si ndiyo wafanyakazi wa serikali na wabunge wasomi au ni kina Babalevo?

    Watanzania wanaowalalamikia kwa ufisadi,wizi,ubadhirifu,mikataba feki,madeni,nk ni wasomi haoahao ambao ni wabunge na watumishi wa serikali anaowasema Polepole. Sasa mnapowakataa watu wenye uzalendo kama kina Babalevo tena na kusema hawawezi kutafasiri sheria na mikataba kwakuwa siyo wasomi...
  4. Hakuna Nchi yenye Wafanyakazi wa Serikali wasio wazalendo kama Tanzania

    Mwalimu Nyerere aliwahi kusema mpumbavu sio tusi hivyo uzi huu sio matusi bali ni ukweli ulio halisi Baada ya kusikiliza press ya Polepole alivyosema kuhusu mfumo wetu wa utambuzi wa uraia umekuwa compromised kwa faida ya majinga ma CCM hitimisho langu kuu ni kwamba Hakuna Nchi yenye Watumishi...
  5. R

    Kipimo cha umasikini wa wafanyakazi wa serikali ni hiki hapa

    1. Tarehe ya kulipa mshahara angalia msululu wa watu kwenye ATM. Urefu wa mstari kama robo kilomita urefu..... Unaona kabisa kuwa hawa hata mia moja mfukoni hana , hawezi kusubiri kesho au keshokutwa msululu upungue. 2. Vurugu sokoni....kulipa madeni................kununua mahitaji PRELUDE...
  6. Utawala wa Trump wapiga marufuku mapenzi kati ya wafanyakazi wa Serikali ya Marekani na Wachina nchini China!

    Serikali ya Trump imepiga marufuku mahusiano ya mapenzi kati ya wafanyakazi wake walio China na Wachina nchini humo. Wachina wanamtisha sana mwendawazimu wannabe dictator Trump.
  7. R

    SoC04 Mikataba ya kazi kwa wafanyakazi wa Serikali

    Utangulizi; Muda mrefu mfumo wa ufanyakazi kwa serikali umekuwa wa kuajiliwa jumla, jambo ambalo limekuwa likifanya watumishi wengi wafanye kazi kwa mazoea,wakose uadilifu nk. Yote ayo ni kutokana na wafanyakazi awa kuwa na uhakika wa kazi kwamba hata afanye kosa gani anajua ataendelea kuwepo...
  8. 90% ya wafanyakazi wa Serikali wanapiga soga na story maofisini. Je, tunawalipa mishahara ya bure?

    Mishahara lazima iendane na uwezo wa Ukuaji wa uchumi, Ofisi za serikali zimejaa uvivu, story, nyodo muda wa kazi, Lunch masaa mawili, Pesa kubwa mnazotaka wakati hamtoi huduma bora kwa wakulima na wafanyabiashara zitatoka wapi? Nyongeza ya mshahara aliyoitoa Samia mwaka huu inabidi mshukuru...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…