wakati wa mfalme Asa wa Yuda (913-869 BC) kitabu cha pili cha mambo ya nyakati, sura ya 14. Mstari wa 9-14 kisa hiki kinasimuliwa.
9Zera, Mwethiopia aliishambulia nchi ya Yuda akiwa na jeshi la askari 1,000,000 na magari 300, akasonga mbele hadi Maresha. 10Asa alitoka akaenda kupigana naye...