wadogo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tunaingia mwaka mpya huku mtu akiwa ameuwa maelfu ya watanzania wenzake sio hivyo tu amewasingizia watoto wadogo wa miaka 13 uhaini

    Tunaingia mwaka mpya huku mtu akiwa ameuwa maelfu ya watanzania wenzake sio hivyo tu amewasingizia watoto wadogo wa miaka 13 uhaini. Sio hivyo tu amewafunga wababa wa watu wakina polepole kinyume cha sheria kwa hirq zake.
  2. JamiiForums Tanzania Wadogo zetu, watoto wetu mnaoenda na mliopo Chuo Kikuu kwa sasa, huu uzi unawahusu

    Wadogo zetu, watofo wetu mlipo vyuo vikuu na mnaoenda chuo kikuu msione watu wanandamana mkaona hawana maana hii nchi tajiri tena tajiri jiulizeni Kwanini zamani chuo kikuu mwanafunzi alipewa mkopo bila asilimia yani ukila boom ni ada, chakula, field, stationary unapewa watasema wanafunzi...
  3. JamiiForums Tanzania Samia mamaangu, umekataliwa hadi watoto wadogo wamekukataa

    Ni kweli inasikitisha na kuhuzunisha kuwa kiongozi usiyekubalika hata na watoto wadogo, ila huo ndio ukweli. Na kwa hii lockdown iliyotokea na kusababisha masomo kuahirishwa, watoto hawakuelewi kabisa mamaangu. Pole sana. Muombe Mungu akuoneshe wapi ulikosea. Usione vibaya kurekebisha nafasi...
  4. JamiiForums Tanzania Maafisa wadogo wa cheo cha kapteni hawavai kofia aliyovaa Tesha, ule ni utapeli

    Ile kofia inavaliwa na maafisa waandamizi kuanzia cheo cha kanali. Tafuta picha za maafisa wa jeshi kisha angalia muundo wa ile nembo ya mbele, zinatofautiana kulingana na makundi ya vyeo. hakuna kapteni anayevaa kofia ya aina ile. Either ile video ni fake, au Tesha ni tapeli aliyepata uniform...
  5. JamiiForums Tanzania Car4Sale Wafanyabiashara wadogo nimewaletea mkombozi wenu hapa

    Bei/Price TSH 14.7M Call +255 747 999 927 SUZUKI CARRY Year: 2006 Engine: 650Cc LOW MILEAGE Transmission: MANUAL Clean Interior In Good Condition Exchange Possible Fuel Efficient Cheap To Maintain Easy To Drive In Tight Streets Reliable For Small-Scale Business Deliveries Cargo Capacity...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya akina mama wazee kuwa na uhusiano wa mapenzi na vijana wadogo imekithiri hadi mikoani

    Zamani nilikuwa nasikia kuwa Dar ni jambo la kawaida Lakini sasa hadi mikoa ya kanda ya ziwa ambayo ilisadikika kuwa vijana wanamaadili Kuna nini? Kwa nini wanapenda wanawake wazee?
  7. M

    JamiiForums Tanzania wazazi mnaopeleka watoto wadogo boarding, kuwaamsha saa kumi, kutowapumzisha likizo, halafu bado wana uwezo wa kawaida, mna hali gani ?

    kuwaamsha watoto saa tisa au saa kumi waende shule Kuwapeleka boarding wakiwa wadogo Hakuna mapumziko likizo ni tuition mtindo moja Halafu bado wana uwezo wa kawaida kabisa ama kupitwa na watoto wengine wanaoamka saa moja, wapo day, likizo ni kwajili ya mapumziko hakuna tuisheni. Na hapo...
  8. JamiiForums Tanzania Una Mke anayewapenda wadogo zake kiasi cha kijana wa umri wa miaka 34 anaishi Kwa Dada

    Huyu mwanamke anahisi napenda hii tabia anayoifanya. Wanaume tumelelewa kuwa na roho flani hivi. Ukimuona kijana katika umri ambayo anaogopa kupanga Mipango nankupapambana na maisha roho inanidunda Kwa Sabab anakiwa mzigo. Kuna wakati naona hata ndoa itaharibiwa na Hawa ndugu maana nahisi na...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 RC Songwe awataka wachimbaji wadogo kuwa na leseni

    Serikali imewataka wachimbaji wadogo kuchangamkia fursa ya kuomba leseni katika maeneo wanayofanyia shughuli zao ili kuepusha migogoro inayojitokeza mara kwa mara. Wito huo umetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Jabir Makame baada ya kukutana na wachimbaji hao kutoka eneo la Kampilipili.
  10. JamiiForums Tanzania RIP kwa wanetu mliotutoka mngali bado vijana wadogo kabisa

    Habari Wakuu Katika Makuzi yetu. Utotoni Mtaani. Shule ya Msingi. Secondary na hata Chuo kuna wanetu tuliwapoteza ingali bado hatujaanza Maisha hali kwa maana ya Kujitegemea, tulikuwa bado sie ni Wategemezi! Tuliwapoteza wenzetu ingali bado tuna Ndoto nao! Tuliwapoteza wenzetu ingali tukidhani...
  11. JamiiForums Tanzania Tulipokua wadogo Nilikua nikishindanishwa na dada zangu kukatika.

    Kuna mambo nikiyakumbuka naona yalikua ya ajabu sana sema ni vile kukaa kwenye nyumba yenye wadada wengi, yani tulikua tunashindana ni nani anakatika sana, tunafunga kanga kiunoni wanaimba tunacheza aah🙌🙌🙌 Lile suala lingeniletea athari sana, hasa ukizimgatia na muonekano wangu.
  12. JamiiForums Tanzania Life linaweza kukutandika hadi wadudu wadogo kama nzi wakawa hawana adabu mbele yako

    Utasifika kwa uchapakazi ila utaheshimika kwa mafanikio
  13. JamiiForums Tanzania KERO Mapungufu ya mfumo wa kusajiri wajasiriamali wadogo wadogo

    Jana nilienda ofisi ya kata kukutana na afisa maendeleo. Lengo langu ni kuingizwa kwenye mfumo wa wajasiriamali wadogo wadogo ili niweze kupata kitambulisho ambacho baada ya kusajiliwa unalipia 20,000 kila baada ya miaka mitatu. Cha kushangaza ni kwamba inatakiwa niende kusajiliwa...
  14. JamiiForums Tanzania Mbinu za kimafanikio kwa wafanyabiashara wadogo; Maarifa niliyoyapata kutoka China

    Ndugu zangu wafanyabiashara wadogo na wa kati. Katika pitapita zangu za mara kwa mara nchini China nchi ambayo ni epicenter ya ubunifu wa kiuchumi na biashara nimefanya research nyingi sana, nikiwa na nia ya kujifunza, kuchambua na kutathmini mbinu zao za mafanikio. Nacho nimejifunza ni hiki...
  15. JamiiForums Tanzania Ebu tuwachanganye kidogo wadogo zetu wakina min me na wenzake

    Mwachiluwi ebu njoo uwachanganye wadogo zako Kuna mtu atasema ni majani ya chai Kuna mtu atasema hii thermos Kuna mtu atasema hili ni bomu la hamas Kuna mtu atasema hii ni nyuzi za kushonea gunia Kama haukuonea rambo kwenye hii kitu usiongee na mimi🤣🤣 Kuna vijana watasema pesa ya...
  16. JamiiForums Tanzania Naomba kuongea na wadogo zangu wa kiume walio kwenye ndoa na wanaotarajia kuingia kwenye ndoa

    NB: Talaka zimekuwa nyingi kwakuwa ndoa nyingi hazina maandalizi ya kutosha Hii mada ilikuwa ije weekend lakini naona nakumbushwa Sana hivyo sina budi kuileta usiku huu. Maana mchuzi wa umbwa hunywewa wa moto Nitajitahidi kufupisha ili isichoshe kusoma Ndoa za leo zinatakiwa kwenda nazo kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Wasira: Ashauri wawekezaji wadogo, wakati na wakubwa wote watazamwe sawa

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, ameishauri serikali kupitia Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) kuwa karibu na wa wawekezaji wote wakiwemo wakubwa, wa kati na wa chini ili kuongeza kazi ya kukuza uchumi. Wasira...
  18. JamiiForums Tanzania Naomba kuongea na wadogo zangu wa kike wenye kutafuta ndoa

    Ndoa ni stara kwa mwanamke! Hivyo mwanamke anahitaji ndoa kuliko mwanaume Wanawake wamekuwa wengi ama ni wengi kuliko wanaume... Hivyo ndoa imekuwa kitu adimu hasa ukizingatia kuwa.. Pamoja na uchache huo wa wanaume bado karibia nusu yao si waoaji Sasa kutokana na hamaniko hilo la kuhitaji...
  19. JamiiForums Tanzania Tatizo la vijana wadogo kuwalea watu wazima limeanza kukithiri Dar

    Sio ushuani, sio uswahilini, kila kijana anacheza namba yake. Inasikitisha sana! Unakuta binti mdogo wa miaka kama 20 hivi analea jibaba la miaka 45 mpaka unabaki unajiuliza hili jibaba lenye miraba minne nyumbufu linampa nini huyu binti? Same applied to Boys wa miaka kama 20, unakuta ana...
  20. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakulima wadogo wa Kenya wakumbatia teknolojia ya kisasa ili kuongeza mavuno yao

    Magharibi mwa Kenya, mkulima wa mahindi Josephat Ouma alipitia kwenye safu za mabua ya kijani akiwa na simu yake janja mkononi. Alisita na kuinama kabla ya kupiga picha ya jani lililokuwa linaonekana kupatwa ugonjwa. "Zamani nilikuwa nikisubiri mtu aje kusaidia. Tena baadhi ya wakati alikuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…