wadogo zetu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bata batani

    Wakati wako ukishapita umepita waiting for tommorow is the biggest mistake tunaojutia sisi mabraza wenu wa 35 going to 40

    Wadogo zangu kama una mpango wa kufanya jambo aiseee lifanye mapema ukianza kufika aged from 35 haki ya nani unaanza kujilaumu mwenyewe polepole Sisi ma braza wenu saivi wengi tumeanza kujuta tangu tumeanza kuingia 35 going to 40 Kale katabia kaa waiting for tommorow to do something ndo...
  2. ELI COHEN

    Wadogo zetu 18-25yrs msifiikiri mna muda wa kutosha, kuna mtu yupo 30s anasoma huu uzi na hana direction ya uhakika, Muda ni upepo

    System na matrix haijaandaliwa ifatane na spidi yako Thus👇 ishinde aibu. Malipo ya unyenyekevu ni kubabaishwa kwa hio kuwa ruthless na aggressive Ishinde nia ya kupenda kusubiria vitu kisa una umri mdogo Ishinde hurka ya kuspend kiholela Ishinde haja ya kubebeka kirahisi rahisi na mambo...
  3. REJESHO HURU

    Wadogo zetu, watoto wetu mnaoenda na mliopo Chuo Kikuu kwa sasa, huu uzi unawahusu

    Wadogo zetu, watofo wetu mlipo vyuo vikuu na mnaoenda chuo kikuu msione watu wanandamana mkaona hawana maana hii nchi tajiri tena tajiri jiulizeni Kwanini zamani chuo kikuu mwanafunzi alipewa mkopo bila asilimia yani ukila boom ni ada, chakula, field, stationary unapewa watasema wanafunzi...
  4. ELI COHEN

    Ebu tuwachanganye kidogo wadogo zetu wakina min me na wenzake

    Mwachiluwi ebu njoo uwachanganye wadogo zako Kuna mtu atasema ni majani ya chai Kuna mtu atasema hii thermos Kuna mtu atasema hili ni bomu la hamas Kuna mtu atasema hii ni nyuzi za kushonea gunia Kama haukuonea rambo kwenye hii kitu usiongee na mimi🤣🤣 Kuna vijana watasema pesa ya...
  5. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Walimu mnao kata hela za wadogo zetu tunapowatumia mna shida gani?

    Leo nimeamka na ninyi waalimu hakika haipendezi kabisa na sio sawa. Ni mara kadhaa sasa hii tabia baadhi yenu(walimu) huwa tukituma hela za matumizi kwa watoto/wadogo zetu mnawakata hela zao. Mfano kuna dogo yupo advance shule X juzi nilimtumia mwalimu wake hela cha ajabu kwenye ile hela...
  6. MamaSamia2025

    Wenye wadogo zetu wenye umri sawa na watoto wetu tukutane hapa

    Wakuu kuna mambo ambayo kisheria yako sawa ila kiustaarabu yana ukakasi. Kwa mfano hili suala la wazee wa zaidi ya miaka 60 kuwa na mtoto mdogo na kabinti. Yaani kabinti kadogo kanachopaswa kukuamkia. Mbaya zaidi unakuta mzee kiuchumi hayuko poa inabidi tena umpige tafu. Hii naona haiko sawa...
  7. bjhjhj

    Rais Samia ongea na Waziri wa Ajira aongee na Sekretarieti ya ajira waache kutesa wadogo zetu

    Kama uzi unavyosema hapo juu, Rais Samia, kuna hawa watu wanaoendesha utaratibu mzima wa kutoa ajira kwa vijana wa Tanzania (secretariat ya ajira), hawa wamekuwa tatizo kwa vijana wanaojitafuta kwenye Secta ya Ajira. Haiwezekani mtu afanye usahili alafu akae zaidi ya miezi sita wakati...
  8. bjhjhj

    Sekretarieti ya Ajira iache kutesa wadogo zetu wanaotafuta ajira

    Rais ongea na Waziri mwenye dhamana ya ajira aongee na hawa secretariet ya ajira waache kutesa wadogo zetu. Kama uzi unavyosema hapo juu mheshimiwa Rais. Kuna hawa watu wanaoendesha utaratibu mzima wa kutoa ajira kwa vijana wa Tanzania (secretariat ya ajira), hawa wamekuwa tatizo kwa vijana...
  9. Ivan Stepanov

    Wadogo zetu wa sasa wana ujasiri sana, sio waoga kabisa

    Niende moja kwa moja kwenda jambo la msingi. Ninayezungumza hapa pia ni kijana sio kwamba ni mtu mzima sanaa kivile, hapana. Naanza kwa kusema hili; ili kuondoa ile dhana ambayo kwa sasa inalalamikiwa na vijana wengi mitandaoni kwamba "Wazee" na "Watu wazima waliofanikiwa" wanawaonea vijana kwa...
  10. NetMaster

    Wadogo zetu msidharau shule. Tunapowakazania msome ni kwamba huko angalau kuna uhakika, nje ya huko uhakika upo ila ni mdogo na wenye misukosuko

    Nawasalim kwa jina la JMT, Naamin kila mmoja wetu ni mzima wa afya na kwa wenzetu ambao hawako sawa kiafya basi mwenyezi Mungu awafanyie wepesi. Amin Kuna kitu huwa kinaitwa probability, hii ni kipimo cha uwezekano wa kitu kuwa. Nikija kwa mrengo wa maana yangu ni kwamba wapo wasanii...
  11. I

    Tusiwaharibie future watoto na wadogo zetu kwa kuwashauri wasisome masomo ya biashara!!!!!!

    Nimefanya utafiti wangu mdogo na nimegundua kuwa nafasi nyingi sana za kazi zinazotoka kila siku ni za accountants, watu wa finance, HRs na Auditors. Na ni kazi ambazo zinalipa vizuri sana kulinganisha na kazi nyingine. Sasa kuna huu mtindo wa wazazi au wanafamilia kuwasukuma watoto wasome...
  12. sky soldier

    Tujadiliane kuhusu mitihani ya "Sat" ambayo kwa muda mrefu imekuwa siri ya wachache

    Nilikuwa nataka kufatilia zaidi ila huyo mtu aliekuwa anajua hizi ishu na kufanikiwa kuvusha ng'ambo ndugu zake kadhaa aligeuka kunikatisha tamaa wazi wazi, ndipo nilipojua hii kitu wachache waaifanya iwe siri ili watu wao wa karibu pekee ndio wasome nje kirahisi kwa kuhofia ushindani wakijua...
  13. L

    Wadogo zetu tukiwashauri mtusikilize

    Wa kwanza msichana baada ya kukosa Law mlimani nikamwambia soma Education akaniambia mimi niitwe mwalimu haiwezekani. Akaenda kusoma BA History Mlimani hapo hapo. Kamaliza 2014, kapeleka barua makumbusho zote Tanzania kuanzia Butiama hadi Kilwa kimya. Sasa hivi anafundisha history kwenye vishule...
  14. Granted Faith

    Lecturers wanatumalizia dada na wadogo zetu

    Dada zetu huko vyuoni wanatumika kama Toilet paper kisa kupata Coursework na Alama za Juu kwenye mitihani yao. Sasa hivi ndo imeshamiri haswaaa Rushwa ya Ngono vyuoni Dada zetu na Wadogo zetu wanaangamia kwa kukosa Maarifa this is very sad. Unakuta Lecturer anatembea na wanafunzi zaidi ya Kumi...
Back
Top Bottom