Wakuu
Nimekuwa nikilalamikia sana kuhusu hawa Wachina humu, naona sasa Wanigeria wameamua kufanya kweli.
Malawi na Angola na sasa Nigeria wameshaanza kuchukua hatua dhidi ya hawa watu. Sisi Wabongo tunakwama wapi maan siku hizi ukitembea kule Oysterbay na Mikocheni wameshajitengenea maeneo...
Wakuu,
Mwigulu naona suala la Wachina ameamua kulivalia njuga, akiwa bungeni leo amependekeza hoja ifuatayo:
"Kuongeza kifungu cha 8 kifungu kioengele cha 7 ambacho kinampa mamlaka Waziri mwenye dhamana ya Viwanda na Biashara kuainisha shughuli za Biashara ambazo hazipaswi kufanywa na wageni...
Waziri Jaffo amecharuka. Anasema Serikali atalivalia njuga tatizo la Wachina na wageni wote wanaofanya biashara nchini bila kibali.
Kuanzia kesho,yaani kuanzia leo,anataka kuona njagu wanawachangamkia Wachina Kariakoo.
Waziri Jaffo anasema yeye kama Waziri wa Viwanda na Biashara hatakubali...
Maonesho ya 137 ya Canton yamefunguliwa hivi karibuni mjini Guangzhou China.
Takwimu zinaonesha kuwa katika siku ya ufunguzi, jumla ya wanunuzi 64,530 wa ng'ambo wameshiriki katika maonesho hayo, ambalo ni ongezeko la asilimia 8.9 ikilinganishwa na siku kama hiyo mwaka jana, na kuweka rekodi...
Wakuu,
Kuna hili duka la Wachina hapo Mikocheni pembeni ya Clouds linaitwa Citistore.
Hili duka ni la ajabu sana. Yaani kila kitu humo ndani kinauzwa 3000.
Yaani chochote, kuanzia accesories za wanawake, make ups na masuala ya urembo, stationeries na kila kitu humo ni 3000 tu. Ukipita hapo...
China ni kirusi ambacho wenye akili washakishtukia ila mataifa yaliyolala naona bado tunamchekea tu
Ukitaka kumjua mchina ni kirusi muulize jux alishawahi kutengeneza Tshrts hadi kofia zake zenye quality ya juu akawa anauza 25 , na zilikuwa ni quality ,mchina anachukua idea akaenda kuzalisha...
Wakuu,
Baada ya kupiga sana kelele humu na huko X kuhusu ile hoteli ya Kichina ambayo ilikuwa inazuia watu weusi, hatimaye hoteli hiyo imetoa tamko.
Wamesema kuwa huyo mlinzi ni wa "kampuni ya nje" na kwamba alikuwa "hana mafunzo ya kutosha"
Kwangu mimi naona hii barua ni "risk management" na...
Habari wakuu,
Nimekuwa nikifuatilia mijadala mitandaoni, hasa kwenye Facebook, X na hapa JF, kuhusu sakata la Wachina kwenye biashara za rejareja.
Inaonekana wale ambao hawafanyi biashara au wanaoendesha biashara zisizotegemea uagizaji wa bidhaa kutoka nje ndio wanaoshabikia Wachina kuruhusiwa...
Wakuu,
Tunaposema Wachina ni existentia threat kwenye nchi hii, basi tunamaanisha mambo kama haya.
Mimi nilivyoelewa hii katuni ya Masoud Kipanya ni kwamba:
Pamoja na kwamba mchele unaouzwa na Mtanzania ni gharama lakini Mtanzania akinunua mchele, muuzaji ataenda kununua vitumbua baadae so...
Haiwezekani Kariakoo wachina wanaishi kama kwao.
Mbaya zaidi hawalipi kodi ipasavyo. TRA haina kanuni za asiye raia kulipa kodi kama mzawa
Hii ni sawa tu na kusema Kariakoo imeuzwa
Watu wetu hawajui kufanya biashara, hawamjali mteja, hawajui kuweka kumbukumbu. Miaka 20 mtu amebaki kuwa machinga. Watu wetu wanapata uzoefu wa kuuza kutoka kwao. Kuwafukuza wachina na wageni tutawadumaza watu wetu na waendelee kutoa huduma mbaya kwa wateja
TFF iliporuhusu wachezaji 12 kwa...
Mjadala wa raia wa kigeni hususani Wachina kufurika katika maeneo ya kibiashara hasa jijini Dar es Salaam, umechukua sura mpya, baada ya Serikali kuanza kuchukua hatua za kuwafuatilia kama wanafuata taratibu za kisheria.
Hatua za Serikali zimekuja wakati kukiwa na malalamiko ya kufurika kwa...
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo, amesema kuwa Mwekezaji hatakiwi kuchoma mahindi mtaani, ni kazi za wazawa
"Mtu anakuja kwa lengo la uwekezaji lakini sio sifa ile ya uwekezaji anakuja kufanya zile kazi za wazawa"- Dkt Selemani Jafo - Waziri wa Viwanda na Biashara.
Via Clouds FM
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo, amesema kuwa tafiti zilizofanywa zimebaini uwepo wa mashaka ya rushwa, hali inayosababishwa na baadhi ya watendaji wasiowaaminifu.
Akizungumza kupitia Clouds FM kuhusu suala la Wawekezaji wa Kigeni nchini, Dkt. Jafo alieleza kuwa
"Kwa mujibu...
Baada ya kamati ya Uchunguzi iliyoundwa na Waziri Selemani Jafo Februari 2 mwaka huu uchunguzi umekamilika na imegundulika kuwa kuna Baadhi ya Wafanyabiashara wametumia vibali vya Watanzania kufungua biashara zao na wamechukuliwa hatua.
Akipokea ripoti ya Uchunguzi kutoka kwa wajumbe wa kamati...
Wakuu,
Tunaposema kuwa Wachina ni existential threat tunamaanisha mambo kama haya.
I'm very glad hii discussion ya Wachina inaendelea na hata wanasiasa wameanza kugusia.
==========================
"Sijui kama TISS mnaona , nina wasiwasi sana na kufumuka mgogoro mkubwa sana kati ya Wachina na...
Wakuu,
Kama mnakumbuka siku chache nyumba niliweka uzi wangu hapa kuhusu uwepo wa Wachina wengi nchini.
Mjadala ulikuwa mkali mkali mno humu na naona Clouds waliona uzi ule wakaamua kwenda nao kwenye chao cha Power Breakfast saa chache baada ya uzi wangu kwenda hewani.
Soma pia: Video: Ni...
Wakuu,
Wakuu,
Majina ya vigogo waliokuwa wakipiga simu kuwatisha wajumbe wa kamati ya kuchunguza wafanyabiasha wageni hususani Kariakoo yatawasilishwa kwa mamlaka za juu kwa hatua zaidi.
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Suleiman Jafo, ameagiza kuanza mara moja kwa operesheni maalum ya kuwaondoa wageni wanaofanya biashara kinyume na taratibu katika soko la Kariakoo, jijini Dar es Salaam.
Soma pia: Waziri wa Biashara Selemani Jafo aunda kamati kwa ajili ya kuchunguza utitiri wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.