wachina kariakoo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Waziri Suleiman Jafo aiagiza idara ya uhamiaji kuanza mara moja operesheni maalum ya kuwaondoa wafanyabiashara haramu wa kigeni Kariakoo

    Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Suleiman Jafo, ameagiza kuanza mara moja kwa operesheni maalum ya kuwaondoa wageni wanaofanya biashara kinyume na taratibu katika soko la Kariakoo, jijini Dar es Salaam. Soma pia: Waziri wa Biashara Selemani Jafo aunda kamati kwa ajili ya kuchunguza utitiri wa...
  2. KikulachoChako

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Kariakoo wameiomba serikali iwaondoe raia kigeni (Wachina) wanaofanya umachinga

    Wafanyabiashara Soko la Kariakoo, wameiomba Serikali kuwaondoa raia wa kigeni ambao wamekuwa wakiuza bidhaa rejareja kwa bei ya chini hali inayopelekea raia wa nchini kukosa wateja. Wakiongea na EATV, wanasema kwa sasa hali imekuwa mbaya zaidi kwani wengine wamekuwa wakisimama nje ya maduka na...
Back
Top Bottom