Acha akomae nao moaka mamlaka zijue hiyo ishu ni seriosu
Zamani chain ilikuwa na watanzania watatu.. mmoja anatoa mzigo China anapeleka Kariakoo, mwingine anaufata Kariakoo anaenda kuuza Tabora mjini na mwingine anachukua Tabora anaenda kuuza wilayani Sikonge..Sijaelewa aisee
Ni rahisi sana kama huna biashara halaf una type nyuma ya keyboard.Hao wholesalers wa DSM na Tabora waende kufanya shughuli zingine. Wakarine asali, wakavue, wakalime pamba au wakawekeze hata kutengeneza hizo biashara walikuwa wanauza.
Taifa linapata hasara kivipi mkuu? Kwani mchina anawauzia watu wote (watumiaji wa mwishi) hiyo bidhaa? Si hao wanaonunua wanauza pia kwa faida kidogo. Mchina anauza Sikonge mjini ila mnunuzi wa Sikonge anaenda kuuza minadani vijijini huko, si bado fedha inazunguka hapahapa.Faida kwa mnunuzi wa mwisho bei inaweza kupungua kidogo lakini hasara kwa hawa wafanyabiashara na Taifa kwasababu hii faida ya kati sasa nayo inaenda China badala ya kubaki kwa watanzania.
Athari yake ni kubwa kuliko hii, pesa ikichukuliwa yote na mchina maana yake hawa watu wa kati spending power yao inakufa. Mathalan kama alikuwa anataka kujenga nyumba ya kuishi hatawaweza tena, watakaoathirika ni mafundi ujenzi, wauza vifaa vya ujenzi, malori ya kubeba vifaa kwenda saiti, mama ntilie wanauza kwenye site etc.. pia hawa wamama na mafundi wanaenda kupunguza matumizi mitaani kwao kama maduka ya mangi etc and the impact goes on.Hao wholesalers wa DSM na Tabora waende kufanya shughuli zingine. Wakarine asali, wakavue, wakalime pamba au wakawekeze hata kutengeneza hizo biashara walikuwa wanauza.
Si hao watu watatu wamepungua mkuu, kwenye uchumi kuna kitu huwa tunaita 'multiplier effect'. Athari kwa watu watatu inaondoka na watu wote waliokuwa wananufaika nao kwa namna moja au nyingine ikiwemo kijamii na kiuchumi.Taifa linapata hasara kivipi mkuu? Kwani mchina anawauzia watu wote (watumiaji wa mwishi) hiyo bidhaa? Si hao wanaonunua wanauza pia kwa faida kidogo. Mchina anauza Sikonge mjini ila mnunuzi wa Sikonge anaenda kuuza minadani vijijini huko, si bado fedha inazunguka hapahapa.
Tatizo ni tamaa tu ya wafanyabiashara kutaka kupata faida kubwa iliyopitiliza. Yaani mfano nipo Mbezi Mwisho nataka kununua shati hapo Mbezi mwisho na bei yake ni Tshs. Elfu 11 ila shati hilohilo Kariakoo linauzwa Tshs. Elfu 10, unafikiri nitaacha kununua mbezi ili nifuate Kariakoo ambako nauli ya kwenda na kurudi itakua Tshs. 2,000/=?
Kama ni watu basi na wachina nao ni watu.Ni rahisi sana kama huna biashara halaf una type nyuma ya keyboard.
Hayo ji maish ya watu, usiongee kirahis rahis
Kuna taratibu za kuongoza watu, is laws zina exists. Sio shamba la bibi kila mtu anajiamuliaKama ni watu basi na wachina nao ni watu.
Mchina kwa sasa anadeliver mzigo mwenyewe mpaka huko Nanjilinji, hakuna cha Producer ➡️Wholesaler wala Retailer.Sijaelewa aisee
Una akili. Itumie kutafuta pesa...
Picha inaonyesha zamani kulikua kuna chain ya wafanyabiashara mpaka mzigo umfikie mteja, lakini sasa hivi mchina kaua chain yote anafikisha bidhaa direct kwa retailers na final consumers.