wachimbaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Anthony Mavunde Apongeza Ushirikiano wa CRDB Bank na Tume ya Madini, Wachimbaji Wadogo Kupata Nguvu Mpya

    Dar es Salaam, 23 Februari 2026 — Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, amepongeza kwa ushirikiano wa kimkakati kati ya Benki ya CRDB na Tume ya Madini, akieleza kuwa mpango maalum wa kifedha uliozinduliwa leo kwa ajili ya wachimbaji wadogo ni hatua ya kihistoria itakayobadili kabisa mfumo wa...
  2. A

    KERO Msasa Gold Mine: Wachimbaji tumechoka unyonyaji. Kuna kiongozi anatamba akidai ana kinga ya Waziri wa Madini

    Mimi ni Mwekezaji mdogo kwenye sekta ya uchimbaji (mchimbaji mdogo) kuna mazingira ya unyonyaji na uonevu unaoendelea kwenye Mgodi wa Msasa Gold Mine kwenye Mji wa Runzewe ambao umefumuka au kuibuka kipindi cha Uchaguzi Mkuu 2025, ukiwa unaendeshwa kama rush. Awali, baada ya uvumbuzi wa...
  3. Wachimbaji Chunya wafunga barabara ya mwekezaji wakitaka maeneo yao yarudishwe

    Zaidi ya wachimbaji wadogo 500 wa dhahabu kutoka kitongoji cha Mapele A, kijiji cha Mwaoga Mamlaka ya Mji Mdogo Makongolosi wilaya ya Chunya mkoani Mbeya wameandamana na kisha kufunga barabara inayoingia na kutoka katika mgodi wa kampuni ya Shanta Mine wakishikinikiza kurejeshewa maeneo yao ya...
  4. Wachimbaji 25 wafukiwa Na Kifusi Baada ya Mgodi Kutitia Shinyanga

    Jumla ya wachimbaji wadogo 25 kutoka katika mgodi mdogo wa Nyandolwa unaomilikiwa na kikundi cha Wachapa Kazi, uliopo kijiji cha Mwongozo Halmashauri ya Shinyanga, wamefukiwa na kifusi baada ya mgodi kutitia. shughuli ya uokoaji imefanywa na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwa kushirikiana na...
  5. GE2025 RC Songwe awataka wachimbaji wadogo kuwa na leseni

    Serikali imewataka wachimbaji wadogo kuchangamkia fursa ya kuomba leseni katika maeneo wanayofanyia shughuli zao ili kuepusha migogoro inayojitokeza mara kwa mara. Wito huo umetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Jabir Makame baada ya kukutana na wachimbaji hao kutoka eneo la Kampilipili.
  6. Wachimbaji visima virefu na vitupi mikoa yote

    Tunachimba visima virefu na vifupi mikoa yote: ZIFUATAZO NI GHARAMA ZA UCHIMBAJI KILA MKOA Dodoma -mita moja tunachimba 80,000 na survey tunafanya kwa 400,000 Arusha-mita moja tunachimba 120,000 na survey tunafanya kwa 600,000 Kilimaniaro-mita moja tunachimba 130,000 na survey tunafanya kwa...
  7. Wachimbaji Visima katika Mikoa yote

    Tunachimba visima virefu na vifupi mikoa yote: ZIFUATAZO NI GHARAMA ZA UCHIMBAJI KILA MKOA Dodoma -mita moja tunachimba 80,000 na survey tunafanya kwa 400,000 Arusha-mita moja tunachimba 120,000 na survey tunafanya kwa 600,000 Kilimaniaro-mita moja tunachimba 130,000 na survey tunafanya kwa...
  8. Wachimbaji visima mikoa yote

    Tunachimba visima virefu na vifupi mikoa yote: ZIFUATAZO NI GHARAMA ZA UCHIMBAJI KILA MKOA Dodoma -mita moja tunachimba 80,000 na survey tunafanya kwa 400,000 Arusha-mita moja tunachimba 120,000 na survey tunafanya kwa 600,000 Kilimaniaro-mita moja tunachimba 130,000 na survey tunafanya...
  9. 0762484200 WACHIMBAJI VISIMA MIKOA YOTE

    Karibuni Sana 1. Utafiti wa maji chini ya ardhi (Underground water prospecting) 2. Uchimbaji na ujenzi wa visima vya maji (Borehole / water well drilling and Constructions) 3. Upimaji kiasi cha maji kwenye visima na vyanzo vya maji kwa ujumla (Yield testing /Pumping test for the water wells...
  10. 0762484200 wachimba visima mikoa yote

    Karibuni Sana 1. Utafiti wa maji chini ya ardhi (Underground water prospecting) 2. Uchimbaji na ujenzi wa visima vya maji (Borehole / water well drilling and Constructions) 3. Upimaji kiasi cha maji kwenye visima na vyanzo vya maji kwa ujumla (Yield testing /Pumping test for the water wells...
  11. Wachimbaji wa Shaba waaswa kujiunga na vikundi kunufaika na fursa za maendeleo

    Wachimbaji wadogo wa madini ya shaba wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma wametakiwa kujiunga katika vikundi ili waweze kunufaika na fursa mbalimbali zinazotolewa na Mradi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP), unaolenga kuwaendeleza wachimbaji wadogo wa madini ya kimkakati, ikiwemo...
  12. V

    Wachimbaji visima vya maji safi

    ✍️KARIBUNI SANA Wells technology wachimbaji visima vya maji safi na salama kwa matumizi ya binadamu wanyama na mimea Leo tutakupa hatua FUPI za kufata KABLA HUJACHIMBA KISIMA Cha kisasa ✍️hatua ya kwanza ni geophysical survey yaan utafiti wa maji ardhini katika eneo lako hapo atakuja mtalaam na...
  13. V

    Wachimbaji visima vya maji safi na salama

    UTARATIBU WA KUCHIMBA KISIMA. 1. Ukitaka kuchimba kisima unatakiwa kufanya utafiti wa awali ili:- ● Kuangalia jiolojia ya eneo husika ● Kuangalia uwezekano wa kuwepo mikondo ya maji ardhini ● Historia ya eneo husika kuhusiana na suala la maji. 2. Gharama za kuchimba kisima/Visima hutegemea...
  14. V

    Wachimbaji visima vya maji vya kisasa

    TUJIFUNZE HATUA ZA KUFATA KABLA HUJACHIMBA KISIMA CHAKISASA (#borehole ) 1.#geophysicalsurvey HII NI HATUA YA KWANZA UPEMBUZI YAKINIFU KUJUA UWEPO WA MIKONDO YA MAJI NA IKO MITA NGAPI NA UZALISHAJI WAKE WA MAJI 2.#boreholedrilling HAPA NDIO SHUGHULI NZIMA YA UCHIMBAJI HUFANYIKA KWA KUTUMIA...
  15. Jinsi MAABARA za kupima madini zinavyowatajilisha wachimbaji wa DHAHABU Tanzania. Uzoefu wa miaka 10

    Ilikuwa Mwaka 2015 Baada ya kumaliza chuo (Shahada ya jiologia), Nilianza kufanya kazi katika kampuni (Maabara) mbalimbali za upimaji wa sampuli za mawe, udongo na aina nyinginezo nikiwa kama (Laboratory Geologist). Uzi wangu kuhusu geologia ya madini huu hapa Tangu wakati huo nimekuwa...
  16. W

    Waziri Mkuu Majaliwa: Tumedhamiria kuwainua kiuchumi wachimbaji wadogo

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeamua kuwekeza kwenye sekta ya madini ili kuwawezesha wachimbaji wadogo kupata kipato na kujikwamua kiuchumi. Amesema Serikali imenunua mitambo 15 ya kisasa ya...
  17. PreGE2025 Mbowe: Nimetoka mbali na Lissu, nilikuwa namlipia tiketi za ndege kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji madini

    Wanaukumbi. Halafu mtu anachukua form kukupinga Eti ni Demokrasia,hiyo siyo Demokrasia huo ni uchimbi kabisa, Lissu katumwa. --- “Nimetoka mbali na Lissu. Nilikuwa ninamlipia Lissu tiketi za ndege ninamgharamia safari zake kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji Wadogo. Wakati huo hakua hata...
  18. Serikali imeendelea kuwashika mkono wachimbaji wadogo

    Serikali imeendelea kuwashika mkono wachimbaji wadogo Katika kipindi cha mwaka 2020 hadi 2024 kupitia Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) kwa kununua mitambo midogo mitano (5) ya uchorongaji maalumu kwa ajili ya wachimbaji wadogo. Wachimbaji 17 wamepata huduma ya uchorongaji kwa kuchimbiwa...
  19. T

    DOKEZO Responded Wachimbaji wengi Migodini wanatumia Kemikali ya Zebaki bila kujua athari zake kiafya

    Imeelezwa Kemikali ya Zebaki inayotumika kukamatisha dhahabu ambapo inaelezwa ni kemikali 10 ambayo Shirika la Afya Duniani (WHO) inasababisha athari za kibinadamu na mazingira. Kemikali ya Zebaki ni nini? Kwa mujibu wa taarifa zinazopatikana Mtandaoni, Zebaki ipo katika metali ya kimiminika na...
  20. Ombi la wachimbaji wadogo kiomoni kwa mheshimiwa raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania, dr. Samia.

    Sisi wachimbaji wadogo kutokea mkoani Tanga wilaya ya Tanga kata ya Kiomoni mtaa wa Kiomoni, tunamuomba mheshimiwa raisi awaamrishe makamishna wa mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro waweze kutulipa fidia zetu, tumekua tukidai fidia zetu miaka na miaka kutokea mwaka 2021, tunasomesha watoto katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…