wachezaji wa kigeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Responded Miguel Gamondi: Uwepo wa wachezaji 12 wakigeni kwenye Ligi Kuu unapunguza nafasi ya kutosha kwa wachezaji wazawa

    Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Miguel Gamondi, amesema uwepo wa wachezaji 12 wa kigeni katika Ligi Kuu ya NBC unapunguza nafasi kwa wachezaji wazawa kupata muda wa kucheza na kuendelezwa. Gamondi amesema klabu zinapaswa kutoa nafasi zaidi kwa wachezaji wazawa, akitolea mfano...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania HOJA Wazawa watatu hadi wanne pekee wanaanza kikosini Simba na Yanga, Taifa Stars iko salama kuelekea AFCON 2027?

    Wakuu Nimepitilia lineup za hivi vilabu vikubwa vya Simba na Yanga na kujiongea Utawala wa wachezaji wa kigeni katika vikosi vya kwanza vya Simba na Yanga, wakati Tanzania ikijiandaa kwa AFCON 2027, ni kisu chenye makali miwili. Kwa upande mmoja, nyota hawa wameiongezea Ligi Kuu ya NBC...
  3. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa kigeni waliowekeza Tanzania

    Je unawafahamu wachezaji wa mpira wa miguu waliowekeza Tanzania? Mimi naanza na hawa: 1.Bernad Morrisson Kajenga nyumba Dar na Mbeya 2.Aubrey Chirwa Huyu ana mashamba Kagera,Pwani na Morogoro.Pia ana maghorofa Dar,ana nyumba Bukoba,Dar,Mbeya na Morogoro.Kama unawafahamu wengine tueleze
  4. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Inawezekana lugha inachangia kwa makocha wa kigeni kuwapendelea zaidi wachezaji wa kigeni

    Mara nyingi utasikia watu wanasema "mpira una lugha yake" ila wanachoshindwa kutambua ni kuwa kushindwa kuelewa lugha fulani kunaweza kukupunguzia uwezo wa kuelewa maelekezo kwa haraka na ufasaha na pia kukupunguzia confidence. Nikiangalia wachezaji wa Simba kama Karabaka, Mashaka, Balua...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Uhamiaji Tanzania Bado Lina Hoja ya Kujibu Kuhusu Suala la Kuwapa Uraia Hao Wachezaji wa Kigeni

    1. Baada ya kuibuka kwa sakata la Kuwapa Uraia kiholela Wachezaji mpira wa Kigeni waliosajiliwa na timu ya Soka ya Singida United, Idara ya Uhamiaji walitoa taarifa yao ambayo wanadai kuwa inalenga kutoa ufafanuzi kuhusiana na suala hili. Taarifa husika imeambatishwa hapa kwenye uzi huu. 2...
  6. Dabil

    JamiiForums Tanzania Je ni mbinu ya kimkakati kuwapa uraia wachezaji wa kigeni kwa maandalizi ya CHAN na AFCON?

    Wakuu nadhani siyo jambo la kawaida uraia kutolewa kwa wachechezaji wa kigeni,ilianza kwa Singinda Big Stars sasa nasikia Simba nao wachezaji 9 wanaomba uraia. Nimewaza tu je huu sio mpango kweli kwa mechi za kimataifa kama CHAN na AFCON ili tuwe na kikosi imara cha Taifa Stars? Tusishangae...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Idara ya uhamiaji yatoa ufafanuzi dhidi ya wachezaji wa kigeni Singida Black Stars, wote ni raia wa Tanzania kwa Tajnisi

    TAARIFA KWA UMMA Idara ya Uhamiaji inapenda kutoa ufafanuzi wa taarifa zilizochapishwa na kujadiliwa kwenye mitandao ya kijamii na Vyombo vya Habari kuhusu kupatiwa uraia wa Tanzania wachezaji watatu wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Singida Black Stars. Wachezaji wanaotajwa kwenye taarifa hizo ni...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Singida Black Stars yawabadilisha Uraia wachezaji wanne wa Kigeni na kuwa raia wa Tanzania ili Kukidhi Kanuni

    Singida Black Stars imewabadilisha uraia wachezaji wake wanne wa kigeni na kuwa raia wa Tanzania, Singida imefanya hivyo ili kukidhi kanuni ya kuwa na wachezaji 12 wa kigeni. Wachezaji hao ambao wamebadili uraia ni Emmanuel Keyekeh, Arthur Bada, Damaro Mohamedi na Golikipa Amas Obasogie...
  9. SIPENDI SIASA

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wenye asili ya Latin (Italy, Spain, Portugal, Argentina, Brazil) wanacheza sana soccer bila kujali wapo bara gani?

    Kwanini watu wenye asili ya Latin (Italy, Spain, Portugal, Argentina, Brazil) wanacheza sana soccer pasipo kujali wapo bara gani (Ulaya au America)? Siri yao kuu ni nini? Ninaomba kuelimishwa. ~ SIPENDI SIASA ~
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kwa Mishahara hii minono kwa Wachezaji hawa wa Kigeni Tanzania, Je, Wanavitendea haki Vilabu vyao?

    Wakuu Hivi viwango vya mishahara kwa hawa wachezaji Wakigeni, wanavitendea haki vilabu vyao? == Kwa mujibu wa TurpaSports, hawa ndio wachezaji wa Kigeni wanaolipwa mishahara mikubwa zaidi Ligi Kuu Tanzania mwaka 2024, na viwango hivi ni kwa mwezi; Jhonier Blanco (Azam FC) – TSh. Milioni...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kupunguza wachezaji wa kigeni Simba na Yanga kutaifanya Taifa Stars ifanye vizuri

    Kwa jinsi mpira wa Tanzania ulivyo Simba na Yanga ndio zinategemwa kuwa kuwa mhimili wa timu ya taifa, bahati mbaya sana ni kwamba vilabu hivi viwili vimetawaliwa zaidi na wachezaji wa kigeni wakifanya vizuri kuliko wazawa. Kinachatakiwa sasa ni kurekebisha hali hii na kutia nafasi tatu tu kwa...
  12. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Mnataka kupunguza wachezaji wa kigeni wakati wanang'arisha ligi yetu, mna shida ya Afya ya Akili

    Nasikiliza redio moja nashangaa sana wachambuzi wa kuheshimika hawajui madhara ya wanayoongea. Eti wachezaji wa kigeni wapungue. Wapungue waende wapi? Bila wa kigeni leo hii ligi yetu isingekuwa na ubora. Timu zetu zisingekuwa za ubora. Au mnataka uwanjani waende ndugu zenu. Katafuteni dawa za...
  13. John Sin

    JamiiForums Tanzania Ni watu wajinga tu ndo wanaamini kuwa wachezaji wa kigeni ndo tatizo kwa wachezaji wazawa na timu ya taifa

    Mpira ni Science na profession kama zilizo udaktari, ualimu, uhasibu uinjinia na nyngne nyingi kwahyo kuamini kwenye ngonjera na siasa za hapa na pale hakuta lisaidia Taifa kimpira. Jambo la kufanya ni kuwekeza kwenye facilities na manpower na mifumo thabiti basi, Hizo nyingine zote ni taarabu...
Back
Top Bottom