wabongo

Wabongo is a village in the Lobaye region in the Central African Republic southwest of the capital, Bangui and near the border with the Democratic Republic of the Congo.
Nearby towns and villages include Babassoua (2.2 nm), Bogboua (2.0 nm), Bohomandji (1.0 nm) and Bokanga (1.4 nm)
.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Japo kisheria hairuhusiwi ila naomba niulize, Kwanini sasa hivi hakuna video za ngono za kawaida za wabongo?

    Nilipita twitter nikakuta mtu ame tweet kwa ku list account zinazotuma mauthui ya ngono, nikasema ngoja niangalie kidogo. Sasa cha ajabu, account zaidi ya nne, video ni nyingi sana na ni za watanzania ila zote, wanacheza mapenzi kinyume na maumbile, yani zote. na sio kua ni madangulo, wengine...
  2. JamiiForums Tanzania BYD Shark 6: Wabongo hawataki Masihara, Mil 170+ kabla ya TRA sio poa!

    Walivyofungua dealership ya kuuza 0 km kuna watu wakajua watafeli. Ila naona vyuma vinatoka. Hii Shark 6 inakuja kupambana na kina Navara, Hilux au Ranger. Ila yenyewe ni PHEV, ina engine ya cc 1500 au 2000 kwa performance, zote turbo i4. Kwa umeme peke yake unaweza kwenda km 85 ila kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Wabongo tunasumbuliwa na roho fulani

    Naam hii ni aina ya roho chafu. Nitajaribu kutoa mifano kidogo
  4. JamiiForums Tanzania Kuna wakati wabongo walitaka kutuaminisha na hii kauli "hata hao wazungu wana uchawi wao"

    Acha uvivu, acha ushirikina. Mbinu zinazoonekana na halisia ndio hutatua matatizo au changamoto. Wekeza katika fikra halisia na sio za kufikirika. Biashara ni mtaji sio kuchinja kuku. Kupanda cheo ni bidii au kupendelewa sio kuchinja mbuzi. Hakuna cha nyota kuchukuliwa wala sijui kufifia...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Programmers wabongo tukutane hapa tubadilishane mawazo.

    Hello programmers, Tujuane kwa: • Skills zetu • Tech stack • Years of experience • Fursa zilizopo hasa hapa bongo. 🫴🫴Uwanja ni wetu.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wabongo Jengeni Tabia Ya Kusoma Vitabu Muongeze Maarifa, Maudhui na Uwezo wa Kufikiri

    Unaweza usiamini lakini fanya utafiti wako binafsi kimya kimya utagundua kwamba Wabongo wengi, hawana maarifa ya msingi, hawana maudhui ya kutosha na hawana uwezo mkubwa wa kufikiri kwa kina hata kwenye masuala ya kawaida sana. Kunaweza kuwepo na sababu mbalimbali lakini mojawapo ni kukosa tabia...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Wabongo hili la tamaa na wizi halitujengi, linatuchafua

    Binafsi ni mtumishi wa serikali, katika kupambana na kujiongeza nilijaaliwa kuwa na mashine ya kukoboa na kusaga nafaka kwa sababu ya muda kuwa limited ikanibidi kuwa na mtu wa kuendesha mradi huu awali nilisimamia mwenyewe kwa takribani siku 18 baada ya kuwa likizo sasa siku za likizo zilipo...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini wabongo hawaweki wazi bei ya bidhaa zao mitandaoni?

    Nimeona huku Twitter watu wanalalamika. Hili pia nimeliona sana mtandaoni. Shida nini?
  9. JamiiForums Tanzania Wabongo wengi ukiwasaidia wanaamini kuna kitu unapata. Hivyo usimsaidie MTU burebure

    WABONGO WENGI UKIWASAIDIA WANAAMINI KUNA KITU UNAPATA. HIVYO USIMSAIDIA MTU BUREBURE Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Wabongo wengi wanaamini huwezi kuwasaidia burebure. 2. Wanaamini wanastahili uwasaidie kwani nawe unakitu utapata unapowasaidia. 3. Kwamba wewe ndio unashida kuliko...
  10. JamiiForums Tanzania Wabongo wengi hawana mikazo, wameshaanza kuwashobokea tena wasanii licha ya kudhihakiwa

    Nimesikitika kuona wabongo wanajirudi tena kwa wasanii kama mazezeta. Idadi ya followers kwa wasanii inaanza kurudi kwa kasi kama hapo awali. Mfano huyu diamond nyodo anawaletea na bado kuna majinga yamejirudisha kum follow upya . Marioo juzi kabla hajatoa wimbo wake alitema shiti za...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wabongo bado sana kwenye biashara ya usafirishaji na uchukuzi

    Ninaunga mkono kwa 100% serikali kubinafsisha kwa wazungu, waarabu au hata wachina shughuli zote za usafirishaji na uchukuzi. Reli, bandari, mabasi na kwingine kote kunakohusiana WABINAFSISHE. Sisi wazawa hatuwezi hizo kazi. Ufanisi mdogo sana. Nimeandika baada ya kushindwa kuvumilia...
  12. JamiiForums Tanzania Logic hii, wabongo hawaielewi kabisa!

    huyo alikuwa ni body builder world champion (rip) akimuomba mpenzi wake akubali kuolewa naye, kwa mbongo haingiii akilini kabisa, hawaipati hiyo logic, kwa maana bongo mwenye miguvu anapiga wa chini, mwenye nguvu ndiyo anakula na ndiye anayeishi kama porini ... Ricardo nolasco dos santos (rip)
  13. JamiiForums Tanzania Wabongo nimewakosea sana. Naomba radhi kwa kupiga magoti mbele yenu

    Katika harakati za uchaguzi nilikua mwana CCM damudamu, nikimuombea kura rais wetu Samia. Nilileta Uzi, rejea Uzi wa tumuache Samia amalize muda wake, ukiisha ataondoka. Lengo lilikua kumpigania ili aendelee na awamu nyingine. Sikufahamu kesho yangu na yetu. Nilipiga kura na kuondoka zangu...
  14. JamiiForums Tanzania Ila Mange Kimambi amewaona Wabongo kama hamnazo kichwani

    Nature tu wabongo waoga sana . Wengi tunajua hili. Wasingeweza kuandamana ile October 29, 30 na 31. Ila MANGE akawadanganya kuwa jeshi liko tayari kupoka utawala toka mkononi mwa CCM. Ni wananchi tu waanze jeshi limalize. Siku ya tatu baada ya vijana kufa akasema jeshi liko kwenye majadiliano...
  15. JamiiForums Tanzania Jiji la Mbeya: Hapa Wabongo tumechemka

    Tanzania miji yote ina ujenzi holela tu ila kwenye jiji la Mbeya tumechemka 😂😂😂 Actually sitaki kuonesha picha za ujenzi holela hapa Mbeya lakini ukiingia Google, search tu "Mbeya" halafu nenda kwenye images, utakachokiona ndio Mbeya iko hivyohivyo Hili suala linaniuma mno, kwa sababu hapa...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wabongo mtuache kwanza

    Ila Wabongo nyoko zenu🙌🏾🙌🏾🙌🏾 yani sisi huku Mtoni hata cover hatujaziona… Nyie huko mnazo za 500k 😂😂😂
  17. JamiiForums Tanzania Hivi unafanyaje minadi na watu kama wabongo🤣🤣, mwenyekiti yeye akitoka akafanye mambo yake na akale upepo wa bahari kuuguza majeraha yake.

    Wabongo hamfai, ustadi wenu ni mitungi, kubeti na mikasi tu 🤣🤣 Yani mwamba amekimbiwa na watu kama vile bomu limeanguka pale HQ 🤣🤣
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini wabongo ni watu wakutishwa zaidi na vitu vya kufikirika kuliko vitu halisia vinavyo wazunguka

    Kila mara naona nyuzi za watu kuuliza kuhusu ndoto walizoota, wengine wakihaha na kuogopa kile ubongo wao ilicho kitengeneza usiku wakati wamelala (kitu ambacho ni cha kawaida) ila mtu huyu huyu yuko radhi aende apige demu kavu kavu bila kujua kama ana STI ya aina yoyote ile, anampima demu kwa...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Gereji za kichina janja janja sana, gari ukiipeleka wanaifowadi gereji bubu au kuita mafundi wa huko, wanachoweza na usimamizi na spare nyingi.

    Watu wengi wamekuwa wakiamini ukipeleka gari kwa mhina ni yeye anatengeneza lakini kinachoendelea nyuma ya pazia hali nitofauri kabisa. Gari ukiipeleka kwa mchina, ataikagua kagua ukiwepo, utapewa bili, n.k. mida ya usiku gari inavutwa kupelekwa gereji bubu au watamwita fundi wa gereji bubu...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Wabongo bana! Hivi kwani kutahiri watoto wako lazima uwapeleke kwa Daktari Juma, Kariakoo? Ona kilichomkuta huyu jamaa

    Alikuwa amekaririshwa kwamba kutahiri watoto wake lazima aende kwa Dokta Juma Kariakoo. Anaishi Chanika na hana gari binafsi. Tukamshauri mpeleke pale nguvu kazi hospital tafuta Dokta anae fanya tohara msimamie am tahiri mwanao akasema lazima awapeleke kwa Dokta Juma. Picha Linaanza simu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…