Baraza la Jeshi Nchini Chad limekataa mazungumzo na Waasi ambao wamekuwa wakipigana nao tangu kutokea kifo cha ghafla cha Rais Idriss Deby aliyeongoza kwa miaka 30.
Msemaji wa Baraza hilo, Azem Bermendao Agouna amesema sio muda wa upatanishi wala mazungumzo wakati huu ambapo Chad inakabiliwa na...