Bara la Africa ndipo ambapo dini za wazungu na Waarabu za Ukristo na Uislamu ziliweza kufuta kabisa dini za wenyeji na kuchukua nafasi kama dini kuu mpya. Jambo hili halikuwezekana kwa mataifa ya kale kama China, Japan na India pamoja na mengine kama Vietnam, Korea, Nepal, Thailand, Mongolia n.k...