waandamana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Madereva wa Bolt waandamana kwenye ofisi za kampuni hiyo kupinga ongezeko la ofa wanazopata wateja

    Madereva kadhaa wa Bolt walifanya maandamano hadi makao makuu ya kampuni hiyo yaliyopo Kinondoni, Dar es Salaam, siku ya Jumatatu, Februari 2, 2026, kupinga tozo kubwa na ongezeko la punguzo kwa wateja. Madereva hao walifika nje ya ofisi hizo majira ya saa 4:00 asubuhi, lakini walitawanywa na...
  2. Q

    Uganda waandamana Marekani kumtaka Trump amwekee Museveni vikwazo.

    📌 Happening Today California, United States Calling on the @realDonaldTrump 's Administration to hold the corrupt and brutal Ugandan dictatorship of @KagutaMuseveni to account through: 1). Targeted sanctions 2). Suspension of funding 3). Suspension of security assistance, defense...
  3. Watanzania walioko ughaibuni waandamana kutaka haki Tanzania

  4. M

    Day 3: Wananchi Mafinga (Iringa) waandamana kupinga kinachoendelea nchini

    Hali iko hivi huko Mafinga. Wananchi wamejitokeza kushiriki maandamano
  5. Watanzania Waishio Marekani Waandamana Kupinga Utekaji Nchini Tanzania

    Watanzania waishio Marekani wameandamana hii leo kupinga vurugu na utekaji, wakishikilia mabango yenye bendera ya Tanzania
  6. T

    Watatu waandamana Washington DC

  7. R

    Wananchi Cameroon waandamana wakitaka Matokeo halali ya Uchaguzi kuheshimiwa

    Hali ya wasiwasi imekithiri katika miji mbalimbali ya Cameroon, kufuatia madai ya ushindi yaliyotolewa na mgombea wa upinzani, Issa Tchiroma Bakary, katika uchaguzi wa urais uliofanyika Oktoba 12, 2025 Soma Kiongozi wa Upinzani ajitangaza Mshindi wa Urais Cameroon, amuomba Rais Paul Biya...
  8. R

    Maelfu waandamana Ubelgiji kupinga Mageuzi ya Serikali ya kubanwa kwa Matumizi

    Maelfu ya watu wamejitokeza barabarani jijini Brussels, Ubelgiji, wakishiriki katika mgomo wa kitaifa kupinga mageuzi ya serikali na hatua za kupunguza matumizi, ambazo zimepelekea usafiri wa anga na wa umma kusimama Vyama vikubwa vitatu vya wafanyakazi nchini humo vimeungana kulalamikia sera...
  9. Kumbukizi: Wazanzibar walivyoandamana kudai Muungano uvunjwe

    Joto la kisiasa limeendelea kupanda nchini. Wananchi wengi wa Zanzibar wameonesha hisia zao kwa kuandamana wakidai Muungano uvunjwe wabaki na nchi yao. maelezo yapo kwenye video hapa chini
  10. GE2025 Baadhi ya Wananchi Tarime waandamana hadi Kituo cha Polisi wakitaka diwani, Sinda Geteba aliyetekwa aachiliwe

    Wakuu Wanachama wa CCM wameandamana huko Sirari Tarime hadi Kituo cha Polisi wakitaka diwani wao Sinda Geteba aliyetekwa aachiliwe. Soma > SIRARI -Tarime wananchi waandamana Diwani ambaye amepotea baada ya kutangazwa ameshinda
  11. GE2025 Wananchi waandamana kumkataa mgombea wa Udiwani aliyeshinda kwenye kura za maoni

    Wakuu, Huko Bihawana wajumbe wamechachamaa kwa kuandamana wakipinga matokeo ya kura za maoni. Hawa wananchi hawamtaki diwani aliyeshinda kura za maoni wanasema tangu aingie miaka 10 iliyopita hajafanya kitu chochote cha maana na wao walikuwa wanataka akatwe tangu mapema lakini jina lake...
  12. Marekani Raia waandamana kumtaka Trump aondoke madarakani.

    Tayri wananchi wa US wameanza kushinikiza kuondoka kwa donald trump kwa kuanzisha maandamano.
  13. M

    Maandamano yafanyika Nairobi huku kizazi cha Gen Z kikijaribu kumzuia Waziri Mbadi kuwasilisha bajeti ya mwaka 2025/2026

    https://www.youtube.com/watch?v=Wn-0pGD3hwg Mamia ya waandamanaji wamekusanyika katika maeneo mbalimbali ya jiji la Nairobi na miji mingine nchini Kenya wakipinga mipango ya serikali kuhusu bajeti mpya inayotarajiwa kuwasilishwa rasmi bungeni siku ya Alhamisi na Waziri wa Fedha John Mbadi...
  14. U

    Taliban waandamana wabeba bendera ya Palestrina burning pictures of Prime Minister Benjamin Netanyahu

    Wadau hamjamboni nyote? Maelfu ya Waafghani wameandamana katika maeneo mbalimbali ya nchi kupinga mashambulizi ya Israel dhidi ya Hamas huko Gaza, wakijibu wito wa kitaifa uliotolewa na mamlaka ya Taliban. Umati mkubwa wa watu umekusanyika katika miji kadhaa baada ya sala, wakiwa...
  15. Kibao chaanza kugeuka Isreal Ubelgiji waandamana kupinga mauaji ya kimbari ya Gaza

    Taratibu, dunia inaanza kuamka na kuona ukweli. Maandamano ya maelfu ya watu yamefanyika Ubelgiji kulaani vita ya kimbari ya Gaza huku ukiitaka serikali kubadili msimamo wake wa ukimya na kuunga. mkono jinai hii. Si ajabu nchi nyingine zenye watu wenye akili na utu kubadilika na kuanza kulaani...
  16. Wananchi Tunduma hawacheki na wowote, waandamana na kufunga barabara kushinikiza serikali kuondoa foleni, polisi yawatawanya kwa mabomu ya machozi

    Jeshi la Polisi limetumia mabomu ya machozi kuwatawanya madereva bajaji Tunduma, ambao wamefunga barabara za kuingia na kutoka katika mji huo wakishinikiza serikali kuondoa msongamano wa malori kwenye eneo hilo unaokwamisha shughuli zao.
  17. Maelfu ya watu waandamana kaskazini ya Gaza kupinga vita, wakiimba hatutaki kufa na damu za watoto wetu sio nyepesi.Acha vita.

    Kulingana na shirika la habari la kipalestina la Wafa,maelfu ya watu yaliingia kwenye vichohcoro vya vifusi vya nyumba zao zilizovunjwa wakiimba kwa sauti huku wamebeba mabango wakisema hawataki tena kufa na hakuna kuhama. Kimsingi maandamano hayo yalikuwa ni kupinga vita visiendelee na wala sio...
  18. Goma: Raia waandamana kupinga uwepo wa MONUSCO na majeshi ya nje

    Leo hii, tarehe 17 Februari 2025, mjini Goma, asubuhi ya leo kumekuwa na maandamano; lengo likiwa wanajeshi wa UN waliopo Congo,hususani Goma, kwa zaidi ya miaka 20, waondoke, na kwamba usalama wao watahakikisha unatokana na wao wenyewe. Si MOUNUSCO tu, bali na jeshi la SAMIDRC(Afrika kusini...
  19. Jamii ya Waislamu waishio UK Waandamana kuunga mkono ndoa za jinsia moja

    Uislamu ni dini inayokua kwa kasi ulimwenguni, jamii hiyo imefanya maandamano ya amani kuunga mkono ndoa za jinsia moja. Pichani ni waislamu wa uk wakifurahia mwenendo wa maandamano. Nakuacha na nukuu toka kwa Mtume Muhammad, kipenzi cha Waislamu wakweli. Kasema Mtume (s.a.w) "Anamwijia...
  20. M

    Waisrael wakataa kumpa kiki Netanyahu, waandamana ang'oke madarakani kwa kushindwa kurejesha mateka

    Benjamin Netanyahu alidhani kuwa kuendelea kuuaua watu, umwaga damu za watoto basi itakuwa Kinga kwake ya kuwaconvince waisrael kuwa ni waziri mkuu mzuri. Lakini maelfu ya waisraeli wameendelea kuandamana kumtaka ang'oke. Hawako impressed na muenendo wake wa kiuongozi. Baada ya Kuona raia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…