waamuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Wakili Simon Patrick: Waamuzi wa Ligi Kuu Bara wanachezesha mechi kwa maelekezo

    Ukweli usiofichika ni kwamba Yanga na Simba zimekua kubwa na zenye nguvu kuliko mamlaka za soka nchini. Wasimamizi wa soka letu wako tayari kuzibeba hizi timu ili kuwafurahisha watu kuliko kutenda haki. Kadri muda unavyosonga, ligi inayoitwa ya nne kwa ubora barani Afrika inazidi kuwa ligi ya...
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania TFF na Bodi ya ligi eti hawaoni madudu ya waamuzi wao.

    Refa kaongeza dk 5 kipindi cha kwanza na dk 9 kipindi cha pili na dk 4 nyongeza yake kwenye mechi moja. Yaani nyongeza ya dk 5+9+4 = 18 . Hii ni aibu ya kipumbavus. Mwamuzi anaongeza dk kutokana na timu ipi huwa ina tabia ya kushinda na ipi inashambulia zaidi. Timu ipi inatakiwa isawazishe na...
  3. ngara23

    JamiiForums Tanzania Waamuzi wa mechi ya Simba vs Tabora ni Wanachama wa Simba

    Huwa tunajiuliza kwanini Tatu Malogo, Amina Kyando hawa mabinti Huwa wanapewa mechi za Simba? Licha ya kufanya makosa ya kujirudia lakini Huwa bodi ya ligi haikomi kuwapa michezo ya Simba Hawa Wanachama watiifu wa Simba sports club Pia Mzee wetu Rage japo aliwapa jina zuri Wanachama wa Simba...
  4. ngara23

    JamiiForums Tanzania Waamuzi wa Mapinduzi Cup, wanaibeba Zanzibar

    Waamuzi wa Zanzibar wanatia aibu Inaonekana wanachezesha Kwa maelekezo, yaani wameambiwa Zanzibar laZima afike final Nimetazama mechi ya Zanzibar na Kenya ila yule mwamzi ni muhuni aisee Amegawa red card ♦️ mbili , yellow cards 8 Kwa Kenya na kurusha ngumi😂🤣 Zanzibar wakapewa favour za kutosha...
  5. SIPENDI SIASA

    JamiiForums Tanzania KARIAKOO DERBY: Mechi baina ya Simba na Yanga, waamuzi watoke nje ya Tanzania kwa usalama wao pamoja na familia zao?

    Oya wadau wa kandaa, leo nimewaza tu kwa sauti kwa maana nimeona unazi wa Simba na Yanga unazidi kuongezeka kadri siku zinavyoenda hivyo kufanya usalama wa waamuzi pamoja na familia zao kuwa mashakani. Kama mtu anaweza kujiua kisa tu Simba kamfunga yangu au Yanga kamfunga Simba, wewe unafikiri...
  6. Mike Moe

    JamiiForums Tanzania Amri Kiemba: Hali ni mbaya tunaomba waamuzi waongezewe ujuzi kumbe wanabet

    Sisi tunaongea huku tunacheka lakini hali ni mbaya, inawezekana tuko hapa tunasema waamuzi waongezewe ujuzi Kumbe wao nyuma wanabeti Unaweza kushangaa goal ni offside ya wazi lakini mwamuzi anaacha kwasababu ameweka GG -Amri kiemba-
  7. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Yanga tukatae hawa waamuzi wenye nia ya kutuchafua Kuna kitu wanatengeneza

    Lilianza goal la mkono jamaa alipiga ngumi kabisa. Mwamuzi akatupa lile goal. Jana ile haikuwa penalty kabisa. Kabisa haikuwa penalty tuseme tu ukweli bila ushabiki. Mwamuzi akatupa penalty. Lengo ilikuwa jana tushinde bao 5. Tunapambana kuwafikia mikia. Lakini tucheze na kushinda kwa halali.
  8. LIKUD

    JamiiForums Tanzania TAFSIRI kuhusu maamuzi mabovu yanayo fanywa na waamuzi kuipendelea Simba

    Ni kwamba tu Watanzania hatujui kusoma body language wala facial expression. Achilia mbali Telepathy Ni hivi hayo maamuzi mabovu yanayo fanywa na Marefa in favour of Simba ni ujumbe anapewa Injinia. " Kwamba, wewe Injinia si unajifanya hautoi hela kwa marefa, sasa wacha tukukomeshe" Incase...
  9. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania TFF wasipokuwa makini na marefa Yanga atakuwa bingwa bingwa mfululizo!

    Inatia kinyaa kuangalia mpira wa bongo na vile hakuna V.A.R ndio kabisa mambo shaghalabaghala,nimefuatilia hizi mechi mbili mfululizo za Yanga waamuzi wote wana ajenda za kuipa Yanga ubingwa sasa kwanini yanga watumie gharama kusajili ili hali njia ya mkato ipo haileti picha nzuri kwa ligi...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Naweza kupata wapi orodha ya mechi za ligi kuu zinazochezeshwa na Arajiga ?

    Nimetokea kuvutiwa na baadhi ya waamuzi kwa jinsi wanavyochezesha mpira kwa namna inayoleta burudani Mfano napenda sana kuangalia mechi za Arajiga, ni mechi ambazo timu ikilemaa inakula dozi ya kutosha, mfano ni leo kenglold wamebebeshwa kilo 4 na Azam. Ni wapi naweza kupata orodha ua mechi...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kama Yanga inabebwa na waamuzi, kwanini Simba walifumua karibu kikosi kizima? Na je, waamuzi wa CAF nao wanaibeba Yanga iliyofika fainali ya CAFCC?

    Tangu msimu uliopita, Simba wamekuwa wakilaumu waamuzi kuwa wanaibeba Yanga na huku Mfadhili wa Yanga, Bwana GSM akibebeswa lawama zaidi. Mbali na waamuzi, pia wamekuiwa wakiilaumu TFF kuwa inashiriki kuihujumu Simba. Tukiacha haya ya humu nchini, wakati Yanga anafika mpaka fainali ya CAFCC...
  12. Bila bila

    JamiiForums Tanzania TFF kutangaza Waamuzi wa ndani ya uwanja bila waamuzi wa VAR haijakaa Sawa..

    Mwishoni mwa msimu wa ligi uliopita tuliambiwa Sasa waamuzi watasaidiwa na teknolojia saidizi ya Uamzi (VAR), lakini Jana orodha ya waamuzi wa Mechi zote 2 imetoka na hatuoni wataalamu VARs. Je bado haziko tayari japokuwa AZAM TV walishatuonyesha ziko tayari? Au uwepo wake unahitaji utashi wa...
  13. Damaso

    JamiiForums Tanzania Waamuzi kutoka Zanzibar kwanini wachezeshe mechi za Tanzania Bara?

    Kwa muda mrefu, hayati Hafidh Ali alikuwa anaonekana kama taswira ya waamuzi bora kuwahi kutokea Zanzibar, akiaminiwa na IFOZA wakati huo na baadaye ZFA na sasa shirikisho la Soka la Zanzibar (ZFF), na hadi Shirikisho la Soka Afrika (CAF) na lile la dunia, FIFA. Hafidh Ali hakuishia kuchezesha...
  14. Tate Mkuu

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna ulazima kwa waamuzi wa kike kuchezesha mechi za Ligi Kuu ya wanaume nchini, huku na wenyewe wakiwa na Ligi yao?

    Nimeona niulize hili swali kwa sababu muda huu naangalia mubashara mechi ya mtoano kati ya Tabora United vs JKT. Kilicho nihuzunisha ni maamuzi ya kibabaishaji ya hawa waamuzi wote watatu wa kike wanaochezesha huu mchezo. Imagine JkT inaongoza kwa ushindi wa magoli mawili ugenini; na yote ni ya...
  15. Mtini

    JamiiForums Tanzania Waamuzi waliokataa goli la Yanga wameondolewa kuchezesha mechi zilizobaki za CAF

    Refarii pamoja na mmoja aliyekuwa chumba cha VAR
  16. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania AFCON 2023 imefana sana kwa sababu ya maamuzi ya haki ya waamuzi waliochezesha mechi zake

    Watu wengi wamesifia AFCON ya 2023 kwa ushindani ulioonyeshwa na timu nyingi na matokeo yasiyotabirika yaliyofanya mashindano kuwa ya ushindani zaidi. Pamoja na sababu nyingine kadhaa ikiwemo ongezeko la wachezaji wenye viwango vikubwa kwa timu nyingi, kama kuna jambo moja ambalo limekuwa...
  17. S

    JamiiForums Tanzania VAR inathibitisha waamuzi wengi ni wabishi na zaidi wanafanya makosa sana katika maamuzi yao

    Mechi ya Burkina Faso dhidi ya Mauritania iliyoamuliwa kwa kutumia teknolojia ya VAR, ni uthinbitisho tosha kuwa waamuzi wengi ni wabishi kwa kujiona wako sahihi kumnbe wanafanya makosa yanayogharimu timu nyingi katika michezo mingi. Pia, inathibitisha kuwa wachezaji wanapomzonga refa, mara...
  18. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Leo yanga watajuta kuwashitaki waamuzi CAF.

    Waamuzi hawapendi sana kukosolewa na kushitakiwa. Alifanya hivyo sana Mourinho Chelsea sema alikuwa na kikosi bora sana na alizikabili hujuma. Ila Yanga leo watajua hawajui
  19. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Mpira wa 'Adidas Euro 2024' itatumia "Microchip" kuwasaidia waamuzi kufanya maamuzi ya mpira wa mikono

    'Microchip' ilitumika katika mfumo wa 'semi-automated offside decision-making' katika Kombe la Dunia la FIFA la mwaka jana nchini Qatar. 'Microchip' ndani ya mpira wa Adidas wa Euro 2024 itatumika kuwasaidia waamuzi kufanya maamuzi ya mpira wa mikono kwenye michuano ijayo ya majira ya joto...
  20. Justine Marack

    JamiiForums Tanzania Ushabiki wa Rais Samia kwa Yanga na athari ya haki kwa waamuzi

    Mwaka huu tumeshuhudia site kuwa Rais Samia ni Shabiki lialia wa Yanga. Ni kiasi ambacho amefikia kujisahau kuwa yeye ni kiongozi mkubwa nchini. Hapo zamani tulizowea kuona Marais walijaribu kuficha mahaba Yao kwa timu zao. Tunakumbula Magufuli alifikoa kushona jezi vipande viwili ili kuondoa...
Back
Top Bottom