Uhali gani mwanaJamii Forum?
Nimekaa hapa geto kwangu nikawa na-review matukio ya kwenye historia niliyoanza kuisoma tangu mtwivila primary school, Tegeta secondary school, na Lufilyo high school ambapo baada ya hapo niliamua kuachana na hili somo nilipofika chuo kikuu na kilichosababisha ni...