Moderator utanisaidia kuweka link ya ule uzi na jina la mleta uzi.
Kwenye uzi ule MwanaJF alionyesha hali mbali mbaya ya choo cha stand ya Mkoa pale Katumba, Sumbawanga. Na mimi pia nilichangia.
Uzi huu ni appreciation kwa Jamii africa, mleta uzi na watekelezaji. Hongera JF, Hongera Mwana JF...