vyombo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la Habari na Uhuru wa Vyombo vya Habari: Je, Taifa Linarudi Nyuma Kidijitali na Kiuhuru? (Mifano Halisi ya Unyanyasaji wa Wanahabari)

    Wakuu, habari za majukumu. Hakuna anayeweza kubisha kuwa jukwaa hili la JamiiForums limekuwa kimbilio letu kubwa la kupata habari mbadala ambazo mara nyingi hazipati nafasi kwenye vyombo vikuu vya habari (mainstream media). Hata hivyo, hali ya uhuru wa kutoa maoni na usalama wa wale wanaotafuta...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Miaka 5 : Je imani ya Bunge , Mahakama, Vyombo vya usalama umeongezeka au kupungua

    Miaka 5 : Je imani ya Bunge , Mahakama, Vyombo vya usalama umeongezeka au kupungua Kwa mawazo yangu umepungua kwa asilimia zaidi ya 100%
  3. JamiiForums Tanzania Mbinu chafu za CHADEMA za kukoleza uchochezi na kuvunja sheria, halafu kukimbilia kulalama wanapobanwa na vyombo vya dola

    👉 Chadema wamekuwa bingwa wa kutumia mikutano ya hadhara kama majukwaa ya kupiga kelele, matusi na kuchochea uvunjifu wa amani badala ya kujenga hoja za kisera. 👉 Chama hiki kimejenga utamaduni wa kuamini kuwa viongozi wake hawatakiwi kuhojiwa au kuchunguzwa na vyombo vya dola pindi...
  4. JamiiForums Tanzania Wastaafu TISS, JWTZ, POLISI na vyombo vikuu vya Ulinzi na Usalama-hali hii inawatia ya nchi aibu kubwa!

    Sijui wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama waliostaafu wanajisikiaje sasa hivi kwa hali ya nchi , siasa zake na usalama wa nchi kwa ujumla. Hali haitii moyo kabisa. Viongozi wa sasa ni maslahi binafsi kwanza, nchi baadaye. Kula kwa urefu wa kamba. Vyombo nilivyovitaja vilikuwa na viongozi wake...
  5. JamiiForums Tanzania Heche: Kauli ya Chacha kuhusu vyombo vya dola kuwa mali ya CCM, ikiwa idara ya usalama, JWTZ na polisi, haijakanushwa; hiyo ni kauli ya serikali

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, ametoa ufafanuzi kuhusu kauli ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Idara ya Oganaizesheni, Paul Chacha, kuhusu vyombo vya dola kuwa mali ya CCM. Heche amesema kauli hiyo ni nzuri na kwamba inaweza kusaidia...
  6. JamiiForums Tanzania Rais wa Tanzania hataki kupoteza muda,kufikili dhidi ya teuzi zake yeye anaangalia walioshindwa ubunge, mtu aliisha kuwa mbunge leo anakuwa dc?

    Rais wetu ni mvivu wa kufikiria ndio maana hataki kupoteza muda na yeye anaangalia yake makali tu yaliyotengwa ccm anayapa ubunge so shame. Yaani teuzi zake ni mwenye nacho anaongezea. Mtu amekuwa mbunge alafu unamteua awe DC baada ya kushindwa ubunge ccm Nchi ni ya watanzania haiwezekani...
  7. JamiiForums Tanzania CCM ya viongozi vilaza kama Paul Chacha imeshatambua haikubaliki kwa sera mbovu na ufisadi. Wanadhani vyombo vya dola vitawabeba kila mwaka.

    Kila jambo lina mwisho wake. Mauaji ya Oktoba 29 mwaka 2025 bado yapo kwenye mioyo ya Watanganyika. Huko mbeleni Paul Chacha na wenzako mtakuja kuona na kutambua nini maana ya nguvu ya umma. Mageti ya ikulu yatavunjwa kwa kutumia meno.
  8. JamiiForums Tanzania Vyombo vya Dola kuwa mali ya CCM: Kauli zinazofungua mjadala wa chama na dola

    Kauli ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayeshughulikia Oganaizesheni, Paul Chacha, kwamba vyombo vya ulinzi na usalama ni “mali ya CCM”, imeibua mjadala mpana kuhusu uhusiano kati ya chama tawala, Serikali na vyombo vinavyotakiwa kulinda Jamhuri na wananchi wote...
  9. JamiiForums Tanzania Paul Chacha hakuna alichokosea, vyombo vya dola lazima vitii serikali ya chama tawala chochote.

    Paul Chacha, katibu wa NEC ya CCM amewatia jambajamba kubwa watu wasiojua kufikiria vizuri kwa hotuba yake kwa wanachama wenzake. Vyombo vya dola vyote vinalitumikia dola, vinalinda dola, vinakula kiapo kumtii Rais na katiba. Rais ndiye AmiriJeshi Mkuu wa vikosi vyote na Mkuu wa nchi. Bahati...
  10. JamiiForums Tanzania POLISI ,JWTZ, TSS NA VYOMBO VYOTE WAJE WAKANUSHE MANENO YA MDUGU CHACHA KAMA.SIO.KWELI

    Ndugu Familia salamu kwnu nyote bila.kujali itikadi zenu za Kisiasa ,Kodini,nafasi zenu kiukwasi na hata kikabila na ukandaa. Jana jioni nimepata nafasi ya.kimsikiza Ndugu Chacha huko Iringa ameongea mambo mengi ikiwepo utenguzi wa aliyekuwa katibi wa Ccm Iringa sema sio hoja yangu Hoja...
  11. JamiiForums Tanzania Kupata cheo au kupandishwa cheo lazima uwe CCM.Wamethibitisha kuwa vyombo vya dola ni vyao.

    Ili jambo limezungumziwa sana hapa JF. sio vyombo vya dola tu,mpaka makahama,wakurugenzi na kila idara. Wote waliopewa vyeo ni wananchama wa CCM na ndio maana maovu hawana yakalia kimya.
  12. JamiiForums Tanzania Vyombo vya Ulinzi na Usalama havina uwezo kukanusha kama sio mali ya CCM

    Katika kile kinacho onekana na kinaendelea kuonekana dhahiri kua Majeshi yote ni Mali ya CCM na ndio yaliua watu siku ya maandamano ya October, CCM imesema kua Majeshi hayo ni Mali yao kwa kauli hii HAKUNA jeshi lenye NGUVU ya KUKANUSHA HILI
  13. JamiiForums Tanzania Chacha amevidhalilisha vyombo vya ulinzi na usalama kusema vinamilikiwa na CCM, watoke hadharani kukanusha na kumpa onyo

    Kikatiba vyombo vya ulinzi na usalama sio Mali ya CCM ni Mali ya umma, Vinaendeshwa Kwa Kodi za Watanganyika wote wawe CCM, chadema, CUF na wasio na Chama. Sio sawa kusema ni Mali ya CCM Chacha kusema ni Mali ya CCM inaviondekea Imani Kwa wananchi. Kuonekana kuwa hivi vyombo vipo Kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Chacha, ni kweli tunajua Serikali na Vyombo vyake ni Mali ya chama Cha mapinduzi lakini kututamkia hadharani ni dharau kubwa kwa watanzania

    Hivi kwa matamshi haya tutegemee Kuna siku CCM itatoka madarakani? Je tutegemee Tundu Lissu atatendewa Haki? Je tutegemee watanzania kupata mabadiliko ya katiba? Huko CCM mkiwa mnachagua viongozi muangalie na watu wa kuwateua sasa imagine Huyu hajui hata mipaka ya Serikali na Vyombo vyake...
  15. JamiiForums Tanzania Kihongosi: Heche anasema chukieni vyombo vya ulinzi? Mwambieni aliyechanganyikiwa aondoe ujinga huo!

    Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi amewataka Watanzania kutokubali kauli zinazowahamasisha kuchukia vyombo vya ulinzi na usalama, akisisitiza umuhimu wa kuwaheshimu na kuwapa moyo askari wanaolinda usalama wa taifa. Kihongosi amesema askari huendelea kufanya...
  16. JamiiForums Tanzania Kutakua na hari ya dharura itakayohusisha vyombo vya ulinzi na usalama (Jeshi.)

    UFUNUO. Inaweza isiwe taharuki kubwa ila pindi uonapo hari ya dharura kama vile ving'ora na convoy yake basi ewe mtumiaji wa barabara kuwa makini. Dharula hiyo inaweza ikawa ni ya muhimu na heshima sana, kiasi kwamba shughuli nyingine zisionekane kuwa na maana, siku hiyo ikifika. Hiyo convoy...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kwa namna wannanchi wanavyopqmbana na vyombo vya dola, siku askari wakizidiwa itakuwaje?

    Wananchi wamekuwa na hasira na wamechoka. Wanapambana na askari wa vyombo vya dola. Siku raia wakiwawazidi nguvu askari itakuwaje? Huko Tabora naambiwa wananchi wametembea na Ak 47.
  18. JamiiForums Tanzania Polisi na vyombo vya habari wamewekewa filter za kutangaza matukio na idadi ya watu.

    Kutokana na kashi kashi ya October 29 mpaka leo na mambo yanayoendelea bado kidonda kibichi. Serikali ya CCM ilipofikia na kufikia sasa kuzibiti vyombo vya habari na polisi kwenye taarifa,Kwa sasa wamewapangia jinsi ya kutoa taarifa mbele ya wananchi. Kuna habari moja ya boti iliyozama ikiwa...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Trump aanzisha Trump TV baada ya Vyombo vya habari kumsusia

    Ikulu ya Marekani imezindua kituo cha matangazo ya kidijitali cha saa 24 kinachoitwa “Trump TV: The Essentials Station" huku mvutano kati ya utawala wa Rais Donald Trump na baadhi ya mashirika makubwa ya habari nchini humo ukizidi. Kwa mujibu wa Ikulu, jukwaa hilo litaangazia video muhimu...
  20. JamiiForums Tanzania Wamiliki wa vyombo vya habari na waandishi wa habari, nawaita hapa

    Tasnia ya habari Tanzania ni mfu. Imejaa watu waoga, wajinga, wapumbavu, machawa, waganga njaa, na walamba makalio. Kwa wadau wa matukio ya habari duniani, mtakuwa mnajua kuwa Rais wa Marekani, Bw. Donald Trump, majuzi hapa alivipiga marufuku baadhi ya vyombo vya habari nchini humo, ikiwemo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…