vyombo vya usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Je, AI inaweza kuwa msaada sio tu kwenye jamii ya kawaida bali pia kwenye taasisi za kiserikali, mashirika binafsi na vyombo vya usalama?

    Je, Mashirika na Taasisi hizo zinatumia Teknolojia ya Ai kwenye vitu mbalimbali ili kuongeza ufanisi na kasi ya kiutendaji ? Ni wazi Taasisi nyingi zina uhitaji wa teknolojia hii mpya ya Ai Kwa kuzingatia uzito wa suala hilo JamiiAI imebuniwa kwa lengo kuu la kuiwezesha jamii ya Kiswahili...
  2. R

    PostGE2025 Jinsi Vyombo vya Usalama vilivyogeuza Ulinzi kuwa chanzo cha hofu

    Tangu yalipofanyika maandamano na baadaye vurugu wakati wa uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 na baada ya hapo, kumekuwa na hofu kubwa kwa wananchi kutokana na kuongezwa kwa ulinzi wa polisi na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ). Maandamano yaliyokabiliwa kwa nguvu na polisi na JWTZ yalisababisha...
  3. Kilichotokea Venezuela ni Rais kutoswa na Jeshi na Vyombo vya Usalama; hii ni wake-up call kwa Colombia!

    Kilichowatokea Venezuela masaa machache yaliyopita, kinathibitisha ukweli wa ile narrative isemayo: ukitaka kuiponya nchi yako na uvamizi wowote kutoka nchi za nje, basi hakikisha una uungwaji mkono wa kutosha ndani ya nyumba yako -- wananchi, jeshi, na vyombo vingine vya usalama. Huo utatu wa...
  4. W

    PostGE2025 Jaji Warioba: Kuna mgawanyiko mkubwa ndani ya vyombo vya usalama

    Akizungumza na Jamhuri TV Jaji Mkuu Mstaafu, Joseph Warioba ameeleza kuwa alionya jeshi kuhusishwa na siasa na sasa matokeo yake yanaonekana ni kuwepo kwa mgawanyiko ndani ya vyombo vya usalama. "Nikasema tukihusisha vyombo vya ulinzi na usalama katika siasa tutapata matatizo na specifically...
  5. PostGE2025 Mwananchi: Tunashukuru vyombo vya usalama kwa kilichotokea Desemba 9

    Mkazi wa Dsm aliyejiyambulisha kwa jina la Amina Eli akitoa maoni yake kuhusu hali ya Disemba 09 "Tunashukuru jeshi la polisi na Vyombo vya usalama kwa hali ya Disemba 9 matarajio ya watu yamekwenda tofauti kwaio shukrani zetu tunazipeleka kwa Jeshi la Polisi na Serikali yetu kwa ujumla"
  6. PostGE2025 Hali ikiendelea hivi, hata vyombo vya usalama vitachoka kumlindia ugali wake

    Haya mambo yakiendelea angalau mara tano ,sita , nawakikishieni hata vyombo vya usalama vitachoka kumlinda. Leo watu wameandaa maandamano hewa jamaa wamejaa kwenye mfumo , wamepoteza pesa kizembe na wameishia kujichosha. Hata hivyo vyombo vya usalama wanachoka kuzurula na hayo magari, siku kuu...
  7. R

    PostGE2025 Waziri Simbachawene: Yanayopangwa D9 si maandamano ni mapinduzi, vyombo vyetu vya usalama vitayadhibiti

    Waziri wa Mambo ya ndani, George Simbachawene amesema maandamano ambayo yamepangwa kufanyika kesho siyo maandamano bali ni Mapinduzi. Akizungumza na Waandishi wa Habari leo kwenye ofisi za Wizara za mambo ya ndani,Simbachawene amesema maandamano hayo siyo halali na hayana kibali chochote...
  8. PostGE2025 Ushauri kwa Rais: Kama kweli kwenye walioandamana kulikuwa na watu wenye silaha na wengine hawajui Kiswahili basi nchi haiko salama

    Rais najua umelala, Mimi sijalala kama kweli kwenye walioandamana Kuna walio kuwa na silaha, na wengine hawajui Kiswahili nchi haiko salama. Rais wakati ukiwa kwenye kampeni kuna mengi Tanzania yalijili lakini binafsi siamini kama tulifika HATUA hii Yaani silaha zilipitishwa mipakani kama...
  9. R

    Watanganyika i.e vyombo vya usalàma vyote, vyote, mnaomlinda Mzanzibari anauza Tanganyika , jitafakari upya. Kwa nia njema tu kuweka mizania sawa.

    Tujitafakari sana wote, wote Watanganyika kwa nia njema tu na si kwa uhasama au mawazo hasi bali kuwekà mizania sawa
  10. Ndege kubwa ya Cargo yatua Dar. Wameingiza nini tena?

    Hivi karibuni tu ilitoka moja ya ndege kubwa zaidi ya cargo JNIA (Uwanja wa ndege ya Julius Nyerere, Dar es Salaam). https://fr24.com/VDA7720/3d20aa2e Ndege hii ya aina ya Antonov An-124-100 maarufu kama 'Ruslan' ina uwezo wa kubeba mpaka kifaru. Ndege ilifika Dar saa 6 na nusu leo...
  11. Tetesi: Mauaji ya Oktoba 2025 yadaiwa kufikia zaidi ya 6,900. Yamethibitika kwa Samia kupewa idadi hii na mtu ambaye anawasiliana naye moja kwa moja

    Mauaji ya Mwaka huu October 2025 yamefikia zaidi ya 6,900 yamethibitika kwa Samia kupewa idadi hii na mtu ambaye amekuwa anawasiliana naye moia kwa moja tarehe 29 kwamba wauwawe ni shoot to kill Kama nilivyoleta Uzi hapa ! Kikwete amehusika katika kuwapa order kikosi kuwakamata wanaogusa ugali...
  12. PostGE2025 Kuiba uchaguzi ilianza mdogo mdogo kudokoa hawakuanza tu kuua watu kwa siku moja pia na hii ni baada ya kuona vyombo vya usalama ni dhaifu

    Kuiba uchaguzi ilianza mdogo mdogo kudokoa hawakuanza tu kuuwa watu kwa siku moja pia na hii ni baada ya kuona vyombo vya usalama ni dhaifu. Mtu kwasasa anafanya mapinduzi ya nchi kwa kuiba uchaguzi alafu vyombo vya usalama vinajioa akili na kumpigia saluti kuwa ni rais. Wananchi tutachukua...
  13. Mfumo dhaifu wa uajiri askari ndani ya vyombo vya usalama unaweza kupitisha majambazi na wauwaji hali inayoweza kuhatarisha usalama wa taifa

    Mfumo dhaifu wa uajiri askari ndani ya vyombo vya usalama unaweza kupitisha majambazi na wauwaji hali inayoweza kuhatarisha usalama wa taifa. Badala ya vyombo vya usalama kulinda raia vinakuwa vinajihusisha na ujambazi
  14. GE2025 Mauaji ya raia hayakuwa vitisho na yatakuwa na matokeo mabaya katika siku zijazo

    Mauaji ya raia hayakuwa vitisho bali ni kuwajaza chuki wananchi na visasi dhidi ya vyombo vya usalama. Tutarajie nini baada ya watanzania kupoteza ndugu zao kama sio machafuko zaidi
  15. GE2025 DC Mwaipaya aongoza Wananchi na Vyombo vya Usalama katika matembezi ya miguu

    Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Abdallah Mwaipaya, Oktoba 24,2025 ameongoza vyombo vya ulinzi na usalama, wananchi na vikundi mbalimbali vya Jogging na hamasa katika matembezi ya miguu kuzunguka maeneo mbalimbali ya Manispaa ya Mtwara Mikindani. Matembezi hayo ya miguu yalihudhuriwa na Kamanda wa...
  16. Haki itashinda na Vyombo vya usalama kuwa upande wa haki

    INSPEKTA WA POLISI AMWAGA MAZITO YA KUHAKIKISHIA RAIA USALAMA NA USHIRIKIANO OKTOBA 29 Hello, important plz. Mimi ni police rank ya inspector, naomba nikujuze kwamba tumeshajipanga vizuri kuikomboa nchi, wa Tanzania wasiogope kutoka ndani na wala wasiogope hayo magari hivyo ni vitisho tu...
  17. Ni vigumu sana kufanya maandamano kwa mpango wa GenZ, vyombo vya usalama vimedhibiti njia za mawasiliano na wafanya "Phone Tracking" kukamata watu

    Nimeeleza kwenye moja ya mada za Britannica namna vyombo vya usalama vinavyofuatilia na kuteka watu wasipatikane kwa muda au hadi uchaguzi utakapokamilika. Mimi soma profile yangu nipo kama mchambuzi fulani hivi lakini baada ya kuona mambo fulani hivi imebidi niingie in details kuongea na Gen Z...
  18. Maafisa na Askari wa Polisi Zanzibar washirikiana na Vyombo vya Usalama katika matembezi ya ukakamavu

    Leo, tarehe 10 Oktoba 2025, maafisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali kutoka Makao Makuu ya Polisi Zanzibar na Mkoa wa Mjini Nagharibi Unguja wameungana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama pamoja na Idara Maalum ya Vikosi vya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika matembezi ya pamoja...
  19. Wanasheria Wa Polepole Watoa Taarifa Rasmi, Wataka Vyombo vya Usalama Kuchukua hatua za haraka

    Wanasheria wa Humphrey Polepole wameitaka vyombo vya ulinzi na usalama kuchukua hatua za haraka, kutumia rasilimali zote zilizopo kuhakikisha usalama wake na kutoa taarifa kwa Watanzania na jamii ya kimataifa kuhusu matokeo ya juhudi hizo, pamoja na hali ya kisheria ya Polepole. Wanasheria wake...
  20. Swali kwa JWTZ: Vyombo vya usalama kufanya gwaride mitaani kipindi hiki cha kampeni za uchaguzi siyo siasa?

    Mbona kozi zingine za majeshi huwa hamfanyii mitaani, huwa mnaenda kwenye maeneo maalumu yaliyojificha mnafanya kozi zenu huko kimya kimya bila kuleta bughudha kwa raia wa kawaida? Kwa nini kipindi hiki cha uchaguzi mkuu mnafanya magwaride mtaani, tena mmeungana majeshi yote, na hiyo yote baada...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…