Huu ndio ukweli mchungu na ndio maana tupo katika halii hii na huenda tukaendelea kushuduhia mambo mengi zaidi ya haya tunayoyaona leo.
Pia, yaliyotokea Oktoba 29 ni ushahidii mwingine wa kukosekana wazalendo katika vyombo vyetu vya ulinzi na usalama.
Jambo la msingi: Kupitia mauji ya Oktoba...
Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Ado Shaibu, amezitaka Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi pamoja na Wizara ya Katiba na Sheria kufanya uchunguzi wa kina ili kujiridhisha kama watu wote waliokamatwa katika matukio ya Oktoba 29, 2025 wameachiwa huru, kama...
https://www.youtube.com/live/EJPutwDEwWI?si=34CGu0w1t3vdHky0
Leo taasisi ya Mwalimu Nyerere Foundation ilikusanya wazee na kujadili mauaji ya zaidi Watanganyika 10,000 yaliyofanywa na serikali ya Samia na CCM
Binafsi sijawaelewa..
Nimesikiliza hayo maazimio ya hawa wanaojiita "wazee" na...
"Hawa watu wametukaba koo kweli"; Alisikika Mwigulu Nchemba akimwambia Jakaya Kikwete ktk korido za Lumumba
"Na sisi tutahakikisha tunatumia kila njia kujisafisha, na kama mbwai basi na iwe mbai. Tutahakikisha Samia wetu haendi kwenye ile mahakama ya kimatifa!" Akajibu Jakaya Kikwete
Hii ni...
Kwa sasa nimeshindwa kuelewa wakihisi kwamba sio CCM .Wakikukamata wa kikukagua wakakuta una kadi ya CHADEMA au kukupekuwa nyumbani kwako basi vyombo vya ulinzi unatafutiwa kesi.
Je vitendo hivi vyombo vya ulinzi vituoneshe sheria hipi kwa sasa imeingizwa.
Moderator unaweza kuweka idara...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, ametoa pongezi kwa Askari wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama kwa kuhakikisha hali ya amani na utulivu nchini, hasa baada ya kuibuka fununu za uwepo wa maandamano yasiyo na kikomo.
Waziri Simbachawene ametoa kauli hii alipotembelea na...
Ndugu zangu Watanzania,
Imeeleweka ni kwanini maadui zetu huviogopa sana vyombo vya ulinzi na usalama vya Tanzania, imeeleweka vizuri ni kwanini Askari wa kitanzania hupata tuzo na nishani mbalimbali wawapo katika misheni mbalimbali nje ya nchi.
Imefahamika ni kwanini Tanzania imekuwa salama...
Ukaguzi wa Usalama kwa Njia ya Anga, Helkopta ya Kijeshi Ikizunguka Maeneo mbalimbali ya Dar Es Salaam wakiangalia Usalama.
Vipi hali huko mitaani wakuu?
Nchini Rwanda kuna falsafa muhimu sana inayotumiwa kumaanisha kiwango cha juu kabisa cha Uzalendo na kuwalinda Wananchi na maslahi yao.
Falsafa hiyo inapatikana kwenye neno Inkotanyi. Neno hili linamaanisha nguvu ya pamoja inayofanywa kwa ujasiri ili kulinda Wananchi na kusimamia maslahi mapana...
"Vyombo vyetu vya usalama kama ilivyo leo, ilivyokuwa jana, ndivyo itakavyokuwa tarehe 9 na siku zinazofuata. Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama wakati wote viko tayari kuhakikisha watu wako salama, mali zao ziko salama, mipaka ya nchi yetu iko salama." Gerson Msigwa, Msemaji Mkuu wa Serikali
Najua mna akili za kuvukia barabara tu.
Najua wengi wenu hamuelewi hata maana ya kusimamia maslahi ya Taifa na Wananchi ni nini?
Najua wengi wenu hamuelewi kuwa kiapo cha kwanza cha askari dunia nzima ni kulinda raia na wananchi.
Najua wengi wenu mnanogewa na hivyo vimishahara mnavyolipwa na...
Mfumo waliofanya CCM ni kama vyombo vya ulinzi ndio wanaviongoza na vina wafuwasi wao ndani.
Kuna mda unakuta mtu anakutamkia wazi kama sio mwana CCM hawezi kukuogopa sababu yeye ni polisi, gereza, usalama ,TAKUKURU, uhamiaji na JWTZ
Haya sasa kumekucha tena,naona D9 ni zamu ya vyombo vya ulinzi kuandamana.
Habari toka upanga ofisi za wavaa magwanda ya mabakabaka zinasema vyombo vya ulinzi nchini Tanzania vitafanya usafi nchi nzima kwa ushirikiano kuanzia Disemba 7 hadi pale watakapoona nchi imekuwa safi.
Mikoa ambayo...
Nafikiri hao ndio waliomundalia hiotuba kama vile anaenda kuhutubia askari walioko au wanaojiandaa kwenda kwenye uwanja wa vita huki wananchi wakiwa ndio Jeshi la adui aliokuwa akiwaemq.
Sijui mmenielewa?
Bila kupepesa macho, vyombo vyetu ya ulinzi na usalama hasa vyenye mamlaka na intelijensia ya nchi vinafaa kutupiwa lawama,
Ni mwaka jana Julai 2024 hapo nchi jirani kulitokea na maandamano yaliyoakisi mwelekeo wa siasa za Afrika mashariki, kwamba tusifanye kazi kwa mazoea.
Wakati maandamano...
Tanzania tuna vyombo vya ulinzi na usalama takribani 6 na tuna idara saidizi za ulinzi na usalama kadhaa.
Kila chombo kiko huru kujisimamia ingawa vyombo hivi hutegemeana.
Wakati mwingine chombo kimoja kinaweza kufanya majukumu ya chombo kingine lakini kwa kushirikiana na chombo husika.
Yaani...
Impliedly ni kuwa Wakuu wote wa vyombo vya ulinzi na usalama nchini kwetu wameshindwa kulinda mipaka ya nchi hii.
Raia wa kigeni wanaingia nchini wakiwa na silaha za kivita kisha wanawachochea vijana wa kitanzania watu wazima kuingia mitaani kuikataa CCM.
Kwa ujumla hawa wakuu wa vyombo vya...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema miundombinu ya Mkoa huo imeendelea kudumu na kuimarika kutokana na ufanisi wa vyombo vya ulinzi na usalama, ambavyo vimefanya kazi kubwa katika kudhibiti athari za maandamano ya Oktoba 29, 2025.
Akizungumza leo Novemba 24, 2025 katika...
Watanzania wanalia baada ya mauaji ya kikatili ya wananchi mnamo tarehe 29 Oktoba 2025, na siku hiyo hiyo uchaguzi wa kiguni ulitokea ambapo viongozi wengine walichaguliwa bila kupigiwa kura na watanzania. Watanzania milioni sitini na sita (66) wanaendelea kuteseka, huku haki yao ya msingi...