Ninaomba kupata ufafanuzi kuhusu mfumo wa Ajira Portal. Kwenye mfumo huo, kuna cheti nilichoweka lakini kina makosa, na ninahitaji kukifuta ili niweke taarifa sahihi.
Hata hivyo, nimegundua kuwa hakuna tena option ya kufuta cheti kilichowekwa kimakosa. Naomba kufahamu sababu ya kuondolewa kwa...
Sisi walimu tuliomaliza mafunzo ya ualimu ngazi ya Astashahada miaka iliyopita, baadaye tukaamua kujiendeleza hadi ngazi ya Shahada, tunaomba ufafanuzi kuhusu changamoto inayotukabili katika ajira.
Tulishiriki usaili kwa kutumia vyeti vyetu vya Astashahada, lakini wakati wa upangaji wa ajira...
Anonymous
Thread
certificate
degree
taasisi ya elimu tanzania
vyeti
wizara ya elimu
wizara ya vijana
Enzi za jiwe tuliogopa kuchunguza vyeti FEKI kwenye majeshi hasa jeshi la polisi, ILA Nina wasi wasi huyu shahidi Amini Mihamba kwenye kesi inayomkabili Tundu Lissu Kuna mmoja alikuwa anesoma na mwingine alifoji vyeti.
Kwa kuwa wa kwanza aliushafariki, na kwa jinsi utetezi wa huyu aliyehai...
Madereva tuli itikia wito wa serikali wa kututaka turudi darasani kupata elimu ya usalama bara barani lakini shida inakuja kwamba sisi tumesoma intake ya 9 kuanzia tar 18 mwezi wa tano mpaka leo hii hatujapata vyeti.
Mabosi wamewapa magari yetu watu wengine, tuna familia, tunategemewa jamani...
Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imepokea taarifa za malalamiko yaliyotolewa kupitia baadhi ya vyombo vya habari kuhusu suala la utoaji wa vyeti mbadala kwa wahitimu waliopoteza vyeti au vyeti vyao kuharibika.
Pia soma ~ VETA Makao Makuu wanatuambia tuliopoteza vyeti hatuwezi...
VETA inatunuku vyeti vya udereva kwa mhitimu aliyefaulu mitihani na majaribio yanatotolewa katika ngazi ya chuo. Aidha, mbali na kuwa na cheti cha VETA, mhitimu anapaswa kukidhi tathmini ya umahiri inayoendeshwa na VETA kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi (Kitengo cha usalama Barabarani)...
Kwa akili ya kawaida mnapokuwa na mgogoro mnatafuta sababu za mgogoro harafu ndo mnakubaliana kuutatua huo mgogoro , Hapo ili kupata suruhu huwa tunatafuta mtu watatu ambaye atakaa katikati kuhakikisha pande zote mbili zinaridhia yale yaliyojadiliwa na kuafikiwa yanatekelezwa.
Kama sababu za...
Naomba mamlaka husika zichunguze huduma za vyeti mtandaoni katika Wilaya ya Tandahimba. Niliomba cheti cha kifo tarehe 11 Juni 2026, lakini hadi leo 8 Julai 2026 sijakipata, na status ya maombi haibadiliki hadi mwombaji aende ofisini.
Pia, kuna taarifa kutoka kwa wananchi kwamba kwa sasa...
Anonymous
Thread
huduma
kilio
mtandaoni
ofisi
ofisi za rita
rita
tandahimba
vyeti
wananchi
wilaya
Kutokana na kukua kwa Teknolojia ni vyema pia hata baraza letu la mitihani(NECTA) likaanzisha huduma za online hasa kwa wahitimu wa miaka ya nyuma kuweza kujipatia vyeti vyao. Hapa kuna makundi mengine ya waliopoteza vyeti, kuharibikiwa n.k.
Baraza lianzishe utaratibu huo kwa kuwa utaratibu...
Naomba wakubwa mtusemee labda nyie watawasikiliza.
Kuna ucheleweshwaji wa utoaji vyeti vya taaluma usio na sababu ya msingi katika chuo cha usimamizi wa fedha IFM hii inatuwia vigumu tunaotoka mikoani.
Wiki ya nne sasa hatujapata vyeti na hatuna makazi maalumu ya kuishi tumelazimika...
Ikumbukwe wahitimu wa vyuo vya afya diploma vyeti vyao huwa vinatoka NACTEVET nakupelekwa vyuoni.
Ila cha kushangaza wanafunzi wa vyuo vingine wameishapokea vyeti vyao toka mwezi wa pili mwaka huu ila chuo chetu peekee ndo atuchajpewa kila tukofatilia kwa mkuu wachuo anatwambia vyeti havipo...
HII NDIO LIST YA HUDUMA UTAKAZOPATA KWETU
HUDUMA KATIKA MASUALA YA AJIRA
1. KUJISAJILI AJIRAPORTAL
2. KUJISAJILI TAESA
3. KUJISAJILI KATIKA BANK PORTALS
4. KUANDAA APPLICATION LETTER
5. KU EDIT DOCUMENT MBALIMBALI
6. AVN
7. TRANSCRIPT
HUDUMA KATIKA MASUALA YA VYETI
1. KUPATA CHETI CHA...
Wahitimu wa Chuo cha Kilimanjaro College of Health and Allied Science (KICHAS) hatujapata vyeti lakini tukiulizia wanasema chuo chetu kilisahaulika.
Wahitimu wa Mwaka 2025, tumeuliza uongozi wa chuo wanasema kwenye vyuo vilivyopata vyeti chetu hakipo kwa sababu kilisahaulika wakati wanaprint vyeti.
Anonymous
Thread
afya
chuo
college
health
kilimanjaro
vyeti
wahitimu
Hii ndio list ya huduma utakazopata kwetu
Huduma katika masuala ya ajira
1. Kujisajili ajiraportal
2. Kujisajili taesa
3. Kujisajili katika bank portals
4. Kuandaa application letter
5. Ku edit document mbalimbali
6. Avn
7. Maombi ya transcript kwa kada za afya
8.Kurenew leseni na...
Mimi ni mzazi niliye Arusha, mtoto wangu amehitimu kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Mlangarini, iliyopo Arumeru. Nimejikuta kwenye hali ya sintofahamu na masikitiko makubwa kuhusu jambo lililotokea baada ya watoto kumaliza masomo yao.
Kinachonisikitisha ni kwamba, kuna wanafunzi 21 tu...
Sisi Wananchi wa Wilaya ya Micheweni, Mkoa wa Kaskazini Pemba tuna malalamimo juu ya upatikanaji wa Vyeti vya Kuzaliwa katika Ofisi ya Uwakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii, ukihitaji unasumbuliwa kuliko maelezo.
Unaweza kufuatilia kwa muda wa mwaka mzima hujapata cheti cha mtoto wako...
Anonymous
Thread
kupata
kuzaliwa
pemba
vyetivyeti vya kuzaliwa
wilaya
Serikali ya Tanzania imeanza kuchukua hatua za kidigitali katika mchakato wa ajira kwa kutumia TEHAMA, ili kuondoa usumbufu wa waombaji kubeba vyeti na vitambulisho kila sehemu. Kauli hii ya Mhe. Yohana Msita bungeni inaonyesha mwelekeo wa mageuzi ya kiutawala na utumishi wa umma, ambapo...
Wadau, mambo ni mazito kwa maelfu ya students wa Kenya Institute of Management baada ya Technical and Vocational Education and Training Authority (TVETA) kuifungia kabisa na kufuta vyeti vyote vilivyotolewa kuanzia 2018
Hii si mchezo imagine umesoma miaka kadhaa, umelipa fees, umegraduate…...
Baraza la NACTVET halijatoa vyeti vya wahitimu wa kada ya nursing chuo cha Newala School of Nursing waliohitimu September 2025.
Cha kusikitisha ni kwamba vyuo vingine vilishapatiwa isipokuwa chuo kimoja tu kitu kinachopelekewa wahitimu kukosa fursa mtaani na hamna maelezo ya kueleweka kuwa...
Anonymous
Thread
baraza
chuo
huwa
kada
nactevet
newala
nursing
school
vingine
vyetivyeti vya wahitimu
vyuo
wahitimu
Kampuni za MM CONNECT na PENT OPTIMISM ambazo zina ubia wa kuendesha maduka ya Vodacom zinachkua vyeti vya kitaaluma vya wafanyakazi wake na kukaa navyo kama udhamini kinyume na utaratibu na kumbana zaid mfanyakazi kuombea Kaz kwingine
Anonymous
Thread
kampuni
kitaaluma
kuendesha
maduka
optimism
pent optimism
ubia
vodacom
vyeti
wafanyakazi
wake