vyama

  1. A

    JamiiForums Tanzania GE2025 Je, Takukuru kuwafungulia Mashtaka ya Rushwa Mashahidi na Vyama Vya Mchongo

    Hivi karibuni Takukuru wamekuwa wakitoa onyo au maonyo Kwa wagombea wasitoe Rushwa , pamoja na ahadi zinazoelekea kuwa ni Rushwa. Hivyo kuharibu uchaguzi na kupitia nchi hasara kubwa, na kuwanyima wananchi nafasi ya kufanya uchaguzi wa haki, na demokrasia. Lakini kuna matokeo yanayoonyesha Kwa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani havikuanzishwa vije kupambana na CCM

    Wakuu Jana ndiyo nimekutana na mtu nyeti kwenye taasisi ya kulifanya taifa kuwa salama katika mazishi kijiji kimoja Kule Kilimanjaro Kulizuka malumbano wengine tunatiki wengine tunatoka Kama kawaida yangu mimi nikasema sitiki na sitoki na huu ndiyo msimamo wangu mda wote yule Mwamba...
  3. JamiiForums Tanzania Kesi ya CHADEMA Manyara, Mahakama yatupa pingamizi la Ofisi ya Msajili

    Mahakama Kuu Kanda ya Manyara imekubaliana na maombi ya Chadema ya kuendelea na kesi ya msingi, huku ikitupilia mbali mapingamizi yaliyowekwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa dhidi ya chama hicho kuendelea na kesi hiyo. Kesi hiyo iliyosikilizwa leo Oktoba 2, 2025 na Jaji Nenelwa Mwihumbi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kuna haja kuwa na vyama vyenye wagombea wanaowaunga mkono wagombea wa CCM?

    Nimeona video ya mgombea urais Zanzibar kupitia AAFP, Said Soud Said akifurahia kukabidhiwa gari na Tume ya Uchaguzi Zanzibar. Kasahau kama nae ni mgombea Urais kaanza kumnadi mgombea urais kupitia CCM. Kwa maoni yangu naona hii si aina ya ushindani ambao tunahitaji kwenye uchaguzi, ni ujinga...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Kampeni Halisi za Uchaguzi 2025 zitaanza lini? Maana naona kama bado vyama vinatest Mitambo

    Natamani sana sasa CCM tuanze Rasmi Kampeni. Maana naona bado tunatest mitambo. Kumepoa sana huko Tanzania na kwenye mitandao. Chauma wametulia nadhani wanajipanga namna ya kuanza Kampeni maana nao ni muda sana toka kipindi kile wanazunguka zunguka kutafuta wanachama. ACT Zitto Kabwela...
  6. JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani Tanzania vijifunze kuzungumza sera sio kuzungumzia watu

    Mimi ni Mtanzania ninayetamani kuona mapinduzi na mabadiliko ya siasa ndani ya Tanzania , naimani kubwa siasa za ushindani na demokrasia ya kweli ni chachu ya maendeleo kwa Taifa lolote lile Tatizo kubwa ninaloliona ambalo lipo kwa vyama vya siasa vya upinzani ndani ya Tanzania vimejikita...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Vyama vinavyojinadi kuleta mabadiliko ya Katiba baada ya uchaguzi kupitia Ilani

    Madai ya kuwa na katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano yamekuwa ya muda mrefu, tangu wakati wa kurejesha mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, ambapo Tume ya Jaji Francis Nyalali ilipendekeza suala hilo ili katika iliyokuwepo iendane na mfumo huo. Hata hivyo, mabadiliko ya Katiba hayakufanyika wakati...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Bwege: Kwenye vyama vya upinzani kuna madalali ambao wanatoka CCM

    Sulemani Saidi Ally Bungara, maarufu kama Bwege, ni mmoja wa wanasiasa wa Tanzania waliotambulika kwa ucheshi, ujasiri, na kauli zenye msisimko. Akizungumza na waandishi wa habari katika nyakati tofauti, Bwege amekuwa akitoa kauli zenye uzito wa kisiasa, kijamii, na hata kiitikadi. Soma Pia...
  9. JamiiForums Tanzania Sisi tusio kuwa na Vyama tunaomba ajira basi ya kuhamasisha watu kupiga kura

    Wakuu habari za mida hii, wanasemaga usiache fursa ikapita bila kuichungulia, hichi ni kipindi cha kampeini na uchaguzi Tunaomba basi ajira za kuhamasisha watu kupiga kura iwe nyumba kwa nyumba kanisani na misikitini au maeneo yenye mikusanyiko tutafika Dau langu ni dogo tu 150000 inanitosha...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini Mawakala wa Vyama Malawi Wasipewe Nakala za Matokeo ya Kituo Husika Kama Uchaguzi Ni Huru na Tume ya Uchaguzi ni Huru Pia?

    Kwakuwa Tume ya Uchaguzi ya watu wa Malawi ni Huru , basi hakuna sababu ya kuzuia mawakala kupata nakala ya matokeo waliyoshuhudia. Kunyima nakala ni uhuni, uwazi unahitaji kila chama kuthibitisha takwimu... Tume Huru haipaswi kuogopa ushahidi, kwani ukweli hudumu kupitia uwazi na usawa. Ila...
  11. JamiiForums Tanzania Je, Lembrus Mchome na Monalisa Ndala bado ni wanachama wa CHADEMA na ACT?

    Lembrus Mchome na Monalisa Ndala watakumbukwa kuwa ni viongozi wa upinzani walioshirikiana na Msajili wa vyama vya siasa kuvuruga vyama vyao. Lembrus Mchome aliishitaki CHADEMA kwa msajili, secretariat yote ya chama chake ikafukuzwa. Kadhalika, Monalisa Ndala ameshitaki ACT kwa msajili...
  12. JamiiForums Tanzania Uzi Maalum kwa ajili ya kampeni za vyama mbalimbali katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025.

    Habari zenu wanaJF wenzang Wakuu kuanzia leo, uzi huu utakuwa unakusanya taarifa, picha, video, vituko na matukio mbali mbali yatakayokuwa yanafanyika katika kampeni za vyama mbali mbali, ili kujiandaa na uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi October mwaka huu. Kama una taarifa, una...
  13. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa ACT na sarakasi la Msajili wa vyama: waitishe haraka mkutano mkuu utakaobadili kanuni za chama chao na kumteua tena Mpina kuwa mgombea wao

    Hii sarakasi aliyofanya Msajili wa vyama vya siasa nchini la kumkata mgombea uraisi wa ACT Wazalendo kwa kutumia katiba na kanuni za chama hicho, mbona ni rahisi tu kwa wao ACT Wazalendo nao kuicheza hiyo sarakasi. Katiba na kanuni za chama ni mwongozo wa mkutano mkuu wa chama husika kwa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Vyama vyote 17 havina ofisi

    Nasikia wamepisha vyama 17 kuwania urais. Hakuna chaama chenye ofisi kati ya hivyo. Ushenzi mtupu!
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetengua uteuzi Mgombea Urais wa ADC (Wilson Malumbe) kwenye kuwania Urais wa Uchaguzi Mkuu 2025

    Maktaba Media imepata taarifa kuwa Mgombea Urais kupitia Chama Cha Alliance Democratic For Change (ADC) Ndg. Wilson Malumbe huenda akaondolewa kwenye mchakato wa Urais wa Uchaguzi Mkuu 2025 baada ya Ofisi ya Msajili wa Siasa kubainisha kasoro za kupatikana kwa Mgombea huyo. Haya yanajiri wiki...
  16. JamiiForums Tanzania Ofisi ya Msajili wa Vyama yamkingia kifua Samia. Yadai suala lake kama Mgombea wa CCM lipo Mahakamani, haiwezi kuingilia

  17. P

    JamiiForums Tanzania Vyama vya kisiasa vyaa anza uchunguzi kuhusu mgombea urais wa ICT.

    Kiongozi huyu , VAR, ya vyama vya kisiasa ya mnasa mgombea urais chama cha ICT , kanda wachama hicho ikiandiii imekosa vigezo vya kuwa mgombea urais wa chama hicho kama katiba yao ya chama inavyoelezaa kwa mgombea urais vifungu vya sheria 6A(2) na 4(5)b vikieleza sifa za mgombea uraisi...
  18. JamiiForums Tanzania Nani katudanganya lazima nchi iongozwe na wanasiasa kwa mfumo wa vyama au wafalme au ma-chief?

    Kwa hasira sana natafakari ni kwanini tume block uwezo wetu wa kufikiri. Kwanini tuna kariri ni lazima tuwe na ma-vyama ya kichawa- chawa na wanasiasa- waongo waongo ndiyo watuongozee nchi yetu Sehemu nyingine wanakua na familia fulani inawatawala bila ukomo, ata kama hao watu ni ma-kenge au...
  19. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa INEC, Ramadhani Kailima aongoza kikao cha kupanga ratiba za kampeni za vyama

    Mkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima, akizungumza na Wawakilishi wa Vyama 18 vya Siasa vitakavyoshiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, kuhusu kupanga ratiba za kampeni zinazotarajiwa kufanyika nchi nzima kuanzia Agosti 28, 2025 hadi Oktoba 28, 2025. Kikao hicho...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Tabia ya CCM kutaka kuua upinza wa vyama vingi ndiyo itakuwa kifo chake

    Tuliwambia siku nyingi kuwa tabia ya CCM kutaka kuua upinzani ndiyo itakuwa chanzo cha kifo chake. Duniani mpaka mbinguni upinzani ni muhimu. Ndiyo maana hata Mungu alimuacha shetani aendelee kuwapo kama mpinzani wake. Kwa nguvu tunayoamini anayo Mungu alikuwa na uwezo wa kumaliza shetani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…