vyama vya upinzani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. instinct desire

    Bara la Afrika bado lina vyama vya upinzani vinavyoona mzungu ni Mungu wao huku ni kuudhalilisha Uafrika

    Hili ni tatizo kubwa sana kwa watu wa bara la Africa hasa hawa viongozi wa vyama vya upinzani mfano hawa CHADEMA tunaona viongozi karibia wote wamekabidhi familia zao zote kwa mabeberu, huku ni kuudhalilisha Uafrika wetu, sisi waafrica si wategemezi kiasi hicho. Hao hao CHADEMA , Kuna wengine...
  2. Kijukuu cha Tanzania

    PostGE2025 Uchaguzi Mkuu wa 2025 ulivyoonesha vazi la Demokrasi la Tanzania linavyochakaa kupitia INEC, Vyama vya Upinzani

    Tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyamavingi Mwaka 1992, Tanzania imejengwajuu ya msingi wa kikatiba unaotambuademokrasia, utawala wa sheria na heshimakwa haki za binadamu. Katiba ya Jamhuri ya Muungano inawekawazi haki za msingi, ikiwemo uhuru wakukusanyika na kujiunga na vyama vyasiasa, uhuru wa...
  3. K

    Ushauri kwa vyama vya upinzani: Nia na dhamira ya Rais Samia ni njema , tutamkumbuka.

    Kuna watu wamejaliwa kipaji Cha utambuzi kwa kutumia jicho la tatu katika kufahamu nia na dhumuni la mtu wakati anapozungumza au anapotenda na kipaji hiki mara nyingi unakuwa ni uwezo wa ndani alionao mtu na mara nyingine mwenye uwezo wa namna hii anapoyasema ya namna hii anaonekana ni kichaa...
  4. Q

    PostGE2025 Unabii wa Godbless Lema umetimia, mmeua vyama vya upinzani sasa pambaneni na Gen Z

    Godbless Lema aliwahi kusema kuna siku mtavililia vyama vya upinzani viwasemee hamtavipata. Godbless Lema: Kuna siku mtavililia vyama vya Upinzani viwasemee hamtavipata Gen Z hawana ofisi viongozi wao hawajulikani mmebaki kuwaonea viongozi wa Chadema mnaowajua na mnafahamu ofisi zao zilipo...
  5. Dr Adam Francis

    Vyama vya upinzani Tanzania vinajihujumu na kuhujumiana badala ya kushindana CCM

    Ni dhana inayoaminika kuwa, kama ukitaka suluhu ya kweli na ya kudumu kwa matatizo yako basi ujiepushe na kutafuta majubu rahisi kwa maswali magumu. Kuelekea Oktoba 29, kundi linalohamasisha maandamano linauza hoja kuwa mtesi wa wapinzani tangu 1992 tuingie kwenye vyama vingi ni CCM. Wakati huo...
  6. Mafyangula

    GE2025 Ole Sendeka: Vyama vya upinzani havina mipango madhubuti ya kisiasa, na ukosefu wa ukomavu wa kisiasa

    Kiongozi na mwanasiasa mkongwe nchini, Christopher Ole Sendeka, amesema vyama vya upinzani nchini Tanzania vimeshindwa kujijenga kisera na kiitikadi tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992. "Katika uchaguzi wa mwaka 2020, vyama vya upinzani ulikosa kura ulipata ushindi mdogo mno...
  7. mwanamwana

    Wanajeshi kutojihusisha na siasa ni pale wanapounga mkono vyama vya Upinzani? Mwanajeshi Mkufunzi kusema anakishukuru chama chake CCM ni sawa?

    Nimeona video inayomuonesha mkufunzi mmoja wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) akizungumza mwaka 2024, ambapo anasikika akikipongeza chama chake, Chama cha Mapinduzi (CCM), kwa kile alichokiita “kazi nzuri,” na hata kumpongeza kiongozi wa chama hicho. Kauli kama hii mara chache...
  8. K

    Vyama vya upinzani havikuanzishwa vije kupambana na CCM

    Wakuu Jana ndiyo nimekutana na mtu nyeti kwenye taasisi ya kulifanya taifa kuwa salama katika mazishi kijiji kimoja Kule Kilimanjaro Kulizuka malumbano wengine tunatiki wengine tunatoka Kama kawaida yangu mimi nikasema sitiki na sitoki na huu ndiyo msimamo wangu mda wote yule Mwamba...
  9. Waufukweni

    GE2025 Hemed Suleiman: Vyama vya Upinzani havina cha kueleza Wananchi, wanahubiri Chuki na Fujo

    Hemed Suleiman Abdulla, akihutubia mkutano wa kampeni Septemba 24, 2025 katika eneo la Makombeni, Mkoani, amesema tofauti ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na vyama vingine ni kwamba vyama hivyo havina cha kueleza walichokifanya kwa wananchi, na bahati mbaya havielezi pia nini vitakavyofanya...
  10. R

    GE2025 Mgombea Urais ACT, Mpina awekewa mapingamizi ya uteuzi wake na Mwanasheria Mkuu wa Serikali pamoja na Wagombea Urais NRA na AAFP

    Chama cha ACT Wazalendo kimethibitisha kuwa Mgombea wake wa Urais, Luhaga Joelson Mpina, amewekewa mapingamizi matatu ya uteuzi wake na Mwanasheria Mkuu wa Serikali pamoja na wagombea urais wa vyama vya NRA na AAFP Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na Naibu Katibu wa Habari, Uenezi na...
  11. Just Pray

    GE2025 Luhaga Mpina: Vyama vya upinzani si wahaini na wala si wahalifu katika nchi yao

    "Tume na mamlaka zote za umma zifanye kazi za umma, zifanye kazi kwa mujibu wa sheria, kama katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inavyowataka wafanye. Vyama vya upinzani si wahaini na wala si wahalifu katika nchi yao, hivyo hakuna sababu yoyote ile ya kutumia mamlaka ya umma kuviadhibu...
  12. Moto wa volcano

    Vyama vya upinzani Tanzania vijifunze kuzungumza sera sio kuzungumzia watu

    Mimi ni Mtanzania ninayetamani kuona mapinduzi na mabadiliko ya siasa ndani ya Tanzania , naimani kubwa siasa za ushindani na demokrasia ya kweli ni chachu ya maendeleo kwa Taifa lolote lile Tatizo kubwa ninaloliona ambalo lipo kwa vyama vya siasa vya upinzani ndani ya Tanzania vimejikita...
  13. DuaZaMama

    GE2025 Bwege: Kwenye vyama vya upinzani kuna madalali ambao wanatoka CCM

    Sulemani Saidi Ally Bungara, maarufu kama Bwege, ni mmoja wa wanasiasa wa Tanzania waliotambulika kwa ucheshi, ujasiri, na kauli zenye msisimko. Akizungumza na waandishi wa habari katika nyakati tofauti, Bwege amekuwa akitoa kauli zenye uzito wa kisiasa, kijamii, na hata kiitikadi. Soma Pia...
  14. F

    Kwa hali ilivyo sasa rais Samia asisubiri hadi alazimike kufanya maridhiano ya mapya na vyama vya upinzan juu ya madai ya msingi kuhusu uchaguzi mkuu.

    Hali ya kisiasa nchini inaendelea kuwa tete huku watu wengi zaidi wakiendelea kukosa imani na mchakato wa uchaguzi kila kukicha. Kiufupi Polepole ambaye ni kada wa ndani wa CCM emeendelea kuwafungua macho watanzania huku shauku ya kumsikiliza ikizidi kukua kila pahali. Komredi Polepole...
  15. Moto wa volcano

    Vyama vya upinzani Tanzania Bado sana wanasafari ndefu

    Vyama vya upinzani Tz vinafeli sana , kila siku wanapokea mamluki hawajifunzi , Mpina ghafla tu ACT wanamuamini kugombea nafac ya juu !
  16. W

    GE2025 Mch. Kimondo ashauri CCM wakae chini na vyama vya upinzani wazungumze kuhusu hatma ya nchi na mgogoro kuhusu sheria za uchaguzi

    Wakuu Mchungaji mstaafu wa KKKT Dkt. Steven Kimondo amesema kuwa chama cha mapinduzi kikae na vyama vya upinzani wajadili kuhusu mabaduliko ya uchaguzi. Ameeleza uchaguzi ukifanyika bila mabadiliko unaweza kuleta athari kwa taifa. "Ushauri wangu ni, wale walioshika mpini chama cha mapinduzi...
  17. JamiiCheck

    LGE2024 JamiiCheck ilivyoshiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024: Taarifa sahihi huwawezesha wananchi kufanya maamuzi sahihi

    Uthibitishaji wa taarifa ni msingi unaowawezesha wananchi kufanya maamuzi sahihi kutokana na Taarifa sahihi mathalani kipindi cha uchaguzi, hili linafanikishwa kwa mapambano dhidi ya taarifa potoshi pamoja na kuwajengea uelewa wananchi jinsi ya kutambua na kudhibiti taarifa zisizo za kweli...
  18. Lycaon pictus

    Kama vyama vya upinzani visipoweka balance ya kidini kwenye vyama vyao visahau kuja kuitoa CCM

    Pamoja na uhovyo wao CCM Kuna kitu kimoja wamefanya vizuri sana. Kubalance suala la dini kwenye chama chao. Watu wa dini zote wanaweza kujiona ni Wana CCM bila tatizo. Nchi yetu ni ya kipekee sana. Wakati mataifa mengi ya kiafrika Yana siasa za ukabila na ukanda sisi hilo hatuna. Ila Kuna mizani...
  19. JamiiCheck

    GE2025 Vyama vya upinzani nchini ni waathirika wakubwa wa Taarifa za Upotoshaji, na Mtandao wa X unaongoza kwa kuzalisha Taarifa za Kupotosha

    Wakati wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Novemba 2024, JamiiAfrica kupitia Jukwaa lake la Uthibitishaji na Uhakiki wa Taarifa la JamiiCheck iliongoza juhudi za kudhibiti upotoshaji wa taarifa kwa kutoa elimu ya uhakiki na kuwashirikisha wananchi moja kwa moja katika kuchambua na kuthibitisha...
  20. Rorscharch

    Katiba Nzuri Sana Huvunja Taifa Polepole: Hadithi ya Afrika Kusini, Onyo kwa Watanzania

    Kuna maradhi ya kimyakimya yanayoshambulia mataifa ya Kiafrika, si kwa mapanga wala risasi, bali kwa nyaraka nzuri zilizopambwa kwa wino wa kimataifa. Maradhi haya si mengine bali ni imani butu kwamba katiba nzuri, yenye maneno matamu ya haki na uhuru, ni tiba ya kila ugonjwa wa taifa. Afrika...
Back
Top Bottom