vvu

The Valley View University is a private university located in Oyibi, Accra in the Greater Accra Region of Ghana. It forms part of a worldwide system of over 100 tertiary institutions operated by the Seventh-day Adventist Church.It is a part of the Seventh-day Adventist education system, the world's second largest Christian school system.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Kuzorota kwa huduma za Tiba na Matunzo kwa WAVIU mkoa kwa Kagera kuanzia January 2026

    Habari, Ninaishi na VVU na ninatumia ARV tangu 8 February 2015 katika Kituo cha Afya Katoro Bukoba vijijini. Kwa taaluma ni Mwalimu wa shule ya Msingi Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba Vijijini. Kuanzia mwezi wa pili mwaka 2026, sisi WAVIU tumeanza kupata shida ya kuzorota kwa huduma. Kwa mfano...
  2. VVU bado upo: Kujilinda na Kupima ni Silaha ya Pekee Katika Karne ya 21

    Katika muongo mmoja uliopita, ulimwengu umeshuhudia mabadiliko makubwa katika sekta ya afya. Tumepambana na magonjwa ya milipuko na kuimarisha mifumo yetu ya matibabu. Hata hivyo, katikati ya mabadiliko haya, kuna hatari moja inayozidi kusahaulika machoni mwa watu: Virusi vya UKIMWI (VVU). Licha...
  3. Ifahamu mikoa yenye ushamiri mkubwa wa maambukizi ya VVU Tanzania 2025

    Tanzania inakadiriwa kuwa na watu 1,700,000 wanaoishi na virusi vya Ukimwi. Amesema kati yao, zaidi ya watu 1,500,000 wako kwenye huduma za matibabu na matunzo. Dkt. Sumba amesema hayo katika mahojiano kwenye Kipindi cha Jambo Tanzania cha TBC1 leo Desemba Mosi 2025, siku ambayo pia ni Siku...
  4. Y

    Mrejesho baada ya kulala na muathirika wa VVU

    Habari Wana JF siku tatu nyuma nilileta thread ya kulala na muathirika. Watu wengi walinishauri nikapime na wengine walinishauri nianze kuchimba kaburi, Kwa siku ya Juzi nilifanya dhiara kwenye mochwar Moja na kupata mafunzo ya vitendo jinsi yakumuosha maiti na kumvalisha sanda lengo...
  5. Propaganda ya vita baridi: kwa nini kgb ilituhumu marekani kuunda na kusambaza VVU

    Katika miaka ya 1980, dunia ilikuwa katikati ya mvutano mkubwa wa kisiasa unaojulikana kama Vita Baridi—mapambano ya kiitikadi, kiuchumi, na kijeshi kati ya Marekani na Umoja wa Kisovyeti. Katika mazingira haya ya mashaka na ushindani wa kimataifa, kila upande ulitumia mbinu mbalimbali za...
  6. Wanangu wa TMK, dawa za VVU zimerejeshwa bure

    Msemaji Mkuu wa Serikali ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa, ameeleza kuwa dawa za Virusi vya Ukimwi (VVU) zipo na zinatolewa bure nchini. Soma pia: Nchi 10 za Afrika zenye idadi kubwa ya watu wanaoishi na vvu
  7. Waziri mkuu: Vijana wanaopata VVU ni takriban 34.3%

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa,amewataka Watanzania kuendelea kuchukua tahadhari kwa kuwa ugonjwa wa UKIMWI bado ni tishio na kuongeza kuwa kiwango cha maambukizi mapya ni watu 60,000 kila mwaka ambapo vijana wanaopata VVU maambukizi ni takribani asilimia 34.3...
  8. Uongozi wa Mgodi wa Dhahabu wa Bulyanhulu waahidi kuelekeza nguvu kusaidia Jamii inayozunguka mgodi kupambana na maambukizi ya VVU

    UONGOZI wa mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu uliopo Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga umeihakikishia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya Ukimwi kwamba mbali na kushiriki kuchangia miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo ya afya, pia itaelekeza nguvu katika kusaidia jamii inayozunguka...
  9. Katimba: Serikali Itawafikia Vijana Wapate Elimu ya Kudhibiti Maambukizi ya VVU

    KATIMBA: SERIKALI ITAWAFIKIA VIJANA WAPATE ELIMU YA KUDHIBITI MAAMBUKIZI YA VVU Naibu Waziri, Ofisi ya Rais – TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amesema Ofisi hiyo itaendelea kushirikiana na Ofisi ya Waziri Mkuu na wadau wa maendeleo kuhakikisha inawafikia vijana na kutoa Elimu ya tahadhari na...
  10. Mimi ni VVU, mtoto pekee wa kiume wa mzee UKIMWI

    HOTUBA YA VIRUSI VYA UKIMWI (MTOTO PEKEE WA KIUME WA MZEE UKIMWI) VVU amesimama jukwaani mbele ya wanadamu, anasema; "Najua mnanijua ila leo nataka mnijue zaidi. Watu wengi huko mitaani wamenipachika majina ya utani wananiita miwaya, taa, ngoma, kisiki, gonjwa kubwa, na majina mengine...
  11. Nchi 10 za Afrika zenye idadi kubwa ya watu wanaoishi na vvu

    Hizi ni nchi 10 za Afrika zenye idadi kubwa ya watu wanaoishi na VVU; 1. Afrika Kusini: 7,700,000 2. Msumbiji: 2,400,000 3. Nigeria: 1,700,000 4. Uganda: 1,500,000 5. Kenya: 1,400,000 6. Zambia: 1,300,000 7. Zimbabwe: 1,300,000 8. Malawi: 980,000 9. Ethiopia: 610,000 10. DRC: 520,000
  12. Njombe: Baba abaka watoto na kuwaambukiza Virusi Vya UKIMWI (VVU)

    Watoto wawili wa familia moja ambao ni wanafunzi wa shule ya msingi katika halmashauri ya mji wa Makambako mkoani Njombe wanadaiwa kubakwa na kuambukizwa virusi vya ukimwi (VVU) na baba yao wa kufikia. Victor Nyato ambaye ni mwenyekiti wa mtaa wanapoishi watoto hao na mama yao, ambao mmoja...
  13. Waziri Mhagama: Maambukizi ya VVU Kutoka kwa Mama Kwenda kwa Mtoto yamepungua Nchini

    Na WAF - Ruvuma Waziri wa Afya Mhe. Jesnista Mhagama amesema kiwango cha maambukizi ya Virusi vya UKIMWI kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto yamepungua kutoka asilimia 18 mwaka 2010 hadi asilimia 8.1 mwaka 2023. Waziri Mhagama amesema hayo Novemba 29, 2024 wakati wa ufunguzi wa kongamano la...
  14. Nimeuza mechi alfajiri ya leo, nahisi nimeambukizwa VVU naombeni PEP

    PEP nasikia ni maalum kwa watu ambao wanahisi wameambukizwa VVU kwa dharura. Hata mimi kisa changu ni cha dharura naombeni PEP. Kisa chenyewe kuna binti nilikutana naye mtandaoni. Picha zake alizokuwa ananionyesha kwakweli ni binti mzuri ambapo nwanaume yeyote lazima angehitaji atue mizigo...
  15. J

    Usugu wa dawa za VVU waibua changamoto mpya za matibabu

    Asilimia 5.8 ya watu wanaoishi na virusi vya Ukimwi (waviu) na wanaotumia dawa, wanakabiliwa na tatizo la usugu wa vimelea dhidi ya dawa za kupunguza makali ya virusi hivyo, utafiti mpya umeonyesha. Usugu wa dawa dhidi ya vimelea vya magonjwa ni changamoto kubwa inayoikabili dunia kwa sasa...
  16. Kuna watu ambao hawapati maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (VVU)

    Lipo kundi dogo la watu duniani ambalo hawawezi kupata VVU hata waongezewe Damu yenye VVU. Watu Hawa niwachache Sana pia hapa Tanzania wapo. Group la Damu halihusiani Ila kinachohusika Ni kingamwili . Watu Hawa kimsingi Kinga mwili zao Zina udhaifu fulani hivi , wa kutokupambana na magonjwa...
  17. KWELI Mashine za Kunyolea nywele zinaweza kusambaza VVU

    Kisayansi na kibaiolojia virusi wanasifa ya kutokuwa hai pale wanapokuwa nje ya seli ya kiumbe mwingine(host) na wanaweza kukaa muda mrefu bila kuwa na dalili zote za viumbe hai mpaka pale watapoingia kwenye seli ya kiumbe. Inakuwaje sasa tunaambiwa HIV haambukizwi kwa mashine za kunyolea...
  18. I

    Ni kweli mashine za kunyolea saluni huchangia kuenea kwa VVU?

    Wazee wa kuzingatia "Angle" uzi huu unawahusu. Serikali yetu kupitia wizara ya afya imekua ikitumia jitihada kubwa sana katika kuhakikisha maambukizi ya VVU yanapungua nchini. Moja ya jitihada hizo ni utoaji wa elimu kwa jamii namna mbalimbali za kujikinga na maambukizi hayo, mfano kuepuka...
  19. SI KWELI Mtu akinywa vidonge kisha akaenda kupima VVU kipimo kitaonesha hana maambukizi

    Wakuu kumekuwa na hii dhana miongoni mwa watu wengi kuwa mtu akinywa vidonge mfano Panado kisha akaenda kupima UKIMWI atakuwa negative hata kama anao. Je, ni kweli?
  20. Kenya yaruhusu Dawa za Kuzuia VVU kuanza kutolewa kwenye Maduka ya Dawa

    Serikali ya Kenya imeruhusu Maduka ya Dawa za Binadamu kuanza kutoa huduma ya kwanza ya Dawa ya Kuzuia Maambukizi ya Virusi Vya UKIMWI (PrEP) baada ua tafiti kuonesha zitasaidia Watu kuzipata kwa haraka na kuzitumia. Imeelezwa kuwa Majaribio yaliyofanywa chini ya Mpango wa Taifa wa Kudhibiti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…