vizazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli atabaki msingi mzuri wa mabadiliko makubwa ya kiuchumi na kijamii kwa vizazi vijavyo.

    Kwa ambao hatukubahatika kuuona uongozi wa Mwalimu Nyerere tukiwa na uelewa na ufahamu timamu tunajivunia kupata fursa ya kuuona, kuushuhudia na kuuelewa utawala wa Hayati Magufuli ambao kulingana na simulizi mbalimbali toka kwa wazee waliobahatika kufanya kazi na Mwalimu wanasema unafanana kwa...
  2. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Mimi ndio Rais, ninajua siri zote za nchi

    HOTUBA YA JPM ITAKAYOISHI MILELE NA KUREJEWA NA VIZAZI VIJAVYO Nanukuu Mimi ndio Rais ninajuwa siri zote za Nchi hii. Linisingeweza kuzungumza haya kama haya ninayozungumza siyajui,ni kuguswa tu na roho mtakatifu nashindwa kuwataja, tumechezewa mno ndiyo maana nayasema haya hadharani ndugu...
  3. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Kila viongozi wetu wawapo nje, wanaomba wageni waje kuwekeza na siyo kutuombea tukawekeze. Hii ni hatari kwa vizazi vikavyo

    Ukweli usemwe sasa,ukichelewa tumekwisha. Ni nini kimetipata sisi Watanzania? Hasa viongozi wetu? Nimemsikia Raisi akiwa Scotland, Kenya, Misri nk. Nimemsikia Makamu wa Rais majuzi hapa akiwa nje, nimemsikia Waziri Mkuu akimkaribisha na kumweleza mcheza filamu maarufu wa India aje kuwekeza...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kupasua Chungu na kufunga kwaajili ya kesi ya Ugaidi ya Mbowe kuna madhara kwa wasiotenda haki na vizazi vyao?

    Kuna Jambo linasambaa kwa Kasi Sana kwamba wenzetu huko Kaskazini wanapasua vyungu pale wanapoona Jambo limekaa kinyume Cha haki ili miungu yao iangaike na wale walioshiriki aidha kuua, kuiba, kudhulumu au kumnyanyasa mtu mwingine. Kwa wasimavyo Chungu uangaika na kizazi na hakichagui kabila...
  5. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Vijana, wafanyakazi, wanafunzi na vizazi vijavyo vinaangamia kwakushindwa kuelewa maana halisi ya neno "Elimu"

    Nawasalimu wana jamiiforums, haswa jukwaa hili pendwa la "stories of change" naimani nyote ni wazima. Ujumbe huu unalenga kusaidia jamii yote hususani vijana, wafanyakazi, wanafunzi na vizazi vinavyo kuja.Ili kujua maana halisi ya neno "elimu" na kuacha upotoshwaji mkubwa unao toka kwa wazazi...
  6. Matendo Andrew

    JamiiForums Tanzania Serikali za Mitaa tungeni Sheria kuokoa vizazi hivi

    Mkoa wa Dar es Salaam nimoja kati ya mikoa yenye kitu kinaitwa shughuli Hii kitu hua ni familia fulani inaamua kuweka sherehe maalumu hua zina majina mfano beseni, arobaini, kumtoa mwali na majina mengine wazaramo wanajua sana hii kitu. Ukiangalia maudhui ya matukio haya hua sio mabaya...
  7. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Ni vitabu vyenye maudhui gani vinatakiwa kuandikwa ili kuweka historia ya nchi sawa na kufunza vizazi vijavyo?

    Nafikiri kuna mambo yanatakiwa kuwekwa katika vitabu ili kuweka historia sawa. Tunahitaji vitabu vidivyo kuwa kna muegemeo wowote, vitakavyotoa fact tu. Unafikiri vitabu kuhusu nini? Mimi nafikiri. 1. Kitabu kuhusu kashfa ya Lowasa na kujiuzulu kwake. 2. Kitabu kuhusu maisha ya JP Magufuli...
  8. Abrianna

    JamiiForums Tanzania Dhana ya Kumuinua Mtoto wa Kike ni bomu kwa Vizazi vijavyo

    Note: Andiko hili lilitolewa May 16, Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kiume Duniani. Kuanzia mwaka 2018, Dr Jerome wa Trinidad and Tobago alifanikiwa kuitambulisha tarehe 16 May ya kila mwaka kama siku maalum ya kutambua mchango wa mtoto wa kiume katika jamii. Tangu mwaka 2012 UN ilipotambulisha...
Back
Top Bottom