Kimya kina mshindo, Watu wanasema Mlimwengu huoni? Mbona husemi? Mlimwengu nilichagua kutumia milango yangu ya fahamu vizuri kutathmini yanayofanyika.
Baada ya dhiki ni faraja. Tulipata msiba wote, tukahuzunika wote na ikawa hakuna wa kumfuta machozi mwenzake.Baba yetu Hayati Magufuli...