vitu

Vitus (), according to Christian legend, was a Christian saint from Sicily. He died as a martyr during the persecution of Christians by co-ruling Roman Emperors Diocletian and Maximian in 303. Vitus is counted as one of the Fourteen Holy Helpers of medieval Roman Catholicism.
Saint Vitus' Day is celebrated on 15 June. In places where the Julian Calendar is used, this date coincides, in the 20th and 21st centuries, with 28 June on the Gregorian Calendar.
In the late Middle Ages, people in Germany celebrated the feast of Vitus by dancing before his statue. This dancing became popular and the name "Saint Vitus Dance" was given to the neurological disorder Sydenham's chorea. It also led to Vitus being considered the patron saint of dancers and of entertainers in general.Vitus is considered the patron saint of actors, comedians, dancers, and epileptics, similarly to Genesius of Rome. He is also said to protect against lightning strikes, animal attacks and oversleeping. Vitus is the patron saint of the city of Rijeka in Croatia; the towns of Ciminna & Vita in Sicily, Forio on the Island of Ischia, in Campania, Italy; the contrada of San Vito, in Torella dei Lombardi, in Avellino, Italy; the town of Rapone, Italy; the town of Winschoten and the Gooi region in the Netherlands, the Italian colony of San Vito in Costa Rica, and the town of St. Vith located in Belgium.
Various places in Austria and Bavaria are named Sankt Veit in his honour.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hivi wanafunzi mbona hawana exemption kwenye vitu kama nchi nyingine?

    Kwanini mfano Shirika la nyumba lisiweke nyumba kwa ajili ya wanafunzi mfano kwa Dar es Salaam? Mwanafunzi anapanga nyumba sawa na mfanyakazi au mfanyabiashara Kariakooo? Yaan Mwanafunzi anapanga karibu na danguro ? Hostel za magufuli zimeokoa maisha ya wanafunzi wengi kuongeza idadi ya...
  2. JamiiForums Tanzania Mafanikio Halisi: Watu au Vitu?

    Swali: mbona watu husahau umuhimu wa watu na kuvipa vitu umuhimu mpaka waafikiapo mwisho wa safari? Watu wengi wakifika mwisho wa maisha hasa wazee.. Huwa na tabia flani hivi za kuthamini sana upendo... Wengi wao huwa kama watoto tena... Yaani the ego looses control and the pure human nature...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tunaposema elimu imeboreka tunaangalia vitu gani?

    Mara nyingi utasikia watu hasa viongozi wakisema elimu ya Tanzania imeboreka.Kipi kinaangaliwa?
  4. JamiiForums Tanzania Katambi: Tusitetee vitu ambavyo hatuvijui hasa kwenye mashauri ambayo yako mahakamani

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi akitoa ufafanuzi Julai 29, 2026 Visiwani Zanzibar baada ya kuwepo kwa malalamiko ya kukamatwa kwa watuhumiwa 130 wa makosa mbalimbali nchini. “Hakuna mtu ambaye anaweza kulengwa wala hakuna kusudio lolote linalokusudia kumlenga mtu au taasisi...
  5. JamiiForums Tanzania Vitu hivi hakika ukivijua mwanaume utakuwa umeepuka mengi katika maisha

    MWANAUME Sheria no 1 Kamwe usi ruhusu mwanamke aka ku control ww usipokua tu kama akisema kazime taa kwanza au aki sema nifungue brazia vunja iyo Sheria uraendelea nayo badae! Sheria no 2 Dada wa rafiki yako ni dada yako pia usi thubutu Wala kujaribu ku mgusa! Sheria no 3 Adui wa rafiki...
  6. JamiiForums Tanzania Vitu gani vinavyotupa raha?

    Swali hili lina majibu mengi kwa sababu "raha" inaweza kuwa ya mwili, akili, moyo au roho. Kwa mtazamo wa sayansi, raha hutokea pale ubongo unapotoa kemikali kama dopamini, serotonini, oksitosini na endorphins ambazo hutufanya tuhisi vizuri. Baadhi ya vitu vinavyotupa raha ni: Upendo na...
  7. JamiiForums Tanzania Kwenye hii picha vipo vitu vitano wanaume wengi tunavipenda, vitaje

    MUWE NA ASUBUHI NJEMA
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania inaelekea sehemu mbaya kama tunaruhusu vitu hivi

    Inashangaza!! Kuna video inamuonesha jamaa mmoja ambaye mwanzo nilimpuuza lakini katika pita pita zangu mtandaoni,nakutana na clip moja ikimuonesha huyu jamaa anayejiita Shehe Mwaipopo akijigamba kuwa ana kikundi ambacho kitapambana na watakao andamana. Kwanza nieleweke kwamba siungi mkono...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Na nyie vitu vya ndani huwa vinaisha kwa wakati mmoja kwa kufuatana?

    Kuna hili jambo la vitu kuisha kwa wakati mmoja, tena huwa vinaanza pale ambapo hata akiba ya pesa ipo kidogo. Mara Gesi imeisha, hujakaa sawa unga unakata, mchele, sukari yaani ni kama vinapeana taarifa ya kuisha unakuta ndani ya wiki moja vitu vitatu vinaisha ila ukiwa na hela vipo tu Hii...
  10. JamiiForums Tanzania Ananiambia kuna vitu namfanyia ambavyo hajawai fanyiwa tangu aanze mahusiano

    Wakubwa hamkosei......... Aisee ee bana hapa juzi kati nilipewa miadi na shemeji yenu. Mtoto alikuja mpaka ghetoni kwangu bila choyo. Kifuatacho nilijipigia mbususu kama baba yangu Rickboy. Yaani Ilikuwa ni bandika bandua. Baada ya nginja nginja tulioga pamoja na kuachana. Yaani tangu siku hiyo...
  11. JamiiForums Tanzania Jumapili unamalizia vipi mi napiga vitu

    Week Mzima unakula kazi ila weekend vyombo niende kuongeza uchangamfu
  12. JamiiForums Tanzania Je ni kweli mwanaume anatakiwa kumzidi mwanamke vitu hivi ili mahusiano yadumu?

    Wasalaam wakuu Kuna hili jambo nimelisikia kwa muda sasa kuwa ili mwanamke amtii mwanaume kwenye mahusiano; iwe ni urafiki wa mwanzo,uchumba ama ndoa inabidi mwanaume amzidi mwanamke hivi vitu;- UMRI PESA ELIMU/AKILI
  13. M

    JamiiForums Tanzania Weka hapa vitu ambavyo huwa unajiamini utaweza kuvitunza kichwani lakini unavisahau haraka

    Naanza mimi, Misemo / quotes - nimeona au kusikia maneno ya hekima au sentensi nzuri, najiambia "nitaitumia baadaye", lakini naisahau kabla sijapata nafasi. Namba ngeni za simu, huwa nasema nitasevu baadae ila muda unapita nakumuka sikuisevu hasa nikiwa nataka kumtafuta napoingia youtube...
  14. JamiiForums Tanzania SIMU ZA MKOPO MAKAMPUNI MMEZUIA VITU VINGI MNO MTAKULA HASARA

    Simu za mkopo zimezuiwa features nyingi mno za muhimu ambapo kibongo bongo ni ngumu mtu kutumia simu bila kuzigusa. Njia kuu wanayotumia wakiona mtu analazimisha kufikia features hizo ni kuzuia kabisa simu yenyewe isitumike Kinachotokea ni kwamba mtu anatumia simu siku chache akiivuruga inakuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Trump kavurugwa. Vitu gani anapost bila caption?

    Nani anamchanganya huyu mzee? Ni AI generated lakini hadi rais wa nchi kubwa hivi anapost? Tf? Source: https://truthsocial.com/@realDonaldTrump/posts/116591901587847680
  16. JamiiForums Tanzania Wapenda Kunukia .. nipen nafasi niwasanue vitu vizuri

    Najua huku kuna watu wengi, wanapenda kunukia vizuri.. Sasa hapa tutofautishe brand names na manukato mazuri ya bei ya kiTanzania.. Kama unataka brand kubwa kubwa wewe inbox unapata mzigo wako saafi kamili.. Lakini wale ndugu zangu mnaopenda uturi kama mimi Njpe jina nikupe bei.. nauza Namba...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Waafrika tunajivunia tulivyoumbwa mfano nguvu za mwili au vitu tulivyovikuta kama mito, milima na madini, kwanini hatujisifii vitu tulivyotengeneza ?

    Unajua, sehemu kubwa ya fahari ya jamii yoyote duniani hutokana na vitu walivyovibuni au kuviumba wao wenyewe. Waarabu walitoa mchango mkubwa kwenye mfumo wa namba, wazungu wameunda teknolojia na uvumbuzi usiohesabika, Wachina na Wahindi nao wameacha alama kubwa kupitia kazi na ubunifu wao...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna vitu 7 ukivipuuzia sasa, baadaye utajilaumu sana:

    Kuna vitu 7 ukivipuuzia sasa, baadaye utajilaumu sana: 1. Mahusiano na Familia Ukiwa na pesa zote duniani lakini familia yako imevunjika, nyumba yako ni tupu. Weka muda kwa mke/mume, watoto, wazazi sasa. Baadaye watoto wanakua na wanasahau wewe. 2. Afya Kula hovyo, kulala kidogo, kufanya...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Vitu gani vinasababisha Injini za magari kufa haraka?

    Wakuu, ni makosa gani mtu akiyafanya yatashusha umri wa injini ya gari yake yaani itawahi kufa kwa haraka? Kagari kangu haka ka mkopo nataka kukalinda kwa namna sahihi ili injini isiwahi kufa maana ikifa sina namna ya kuweka injini mpya kwa haraka hivyo naomba mnipe kabisa tahadhari ya vitu vya...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Wakuu tuwe makini sana na vitu tunavyoandika humu

    Hapa google wame suggest maoni binafsi ya bwashehe, pia wame suggest kichwa cha habari cha mada niliyoiandika professa Fikiria kwamba ukiandika ujinga humu Jukwaani, je baadae mtoto akienda google ku search au mtu mzima anaeamini google kwa 100% akienda akakutana na ujinga fulani ulioandika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…