Nimeona Heche, Sugu, Mbowe, Mnyika na Zitto wakitoa hotuba kali kwa serikali bila kupepesa macho, kiasi cha kumuacha Mwigulu akikenua tu asijue la kufanya.
Nataka kuamini hiki ndio kilimfanya Samia apate ugumu wa kuja huko msibani. Mwigulu amepigwa suprise hakujibu hata moja.
Venue zinazotumiwa na VITASA ni mbovu mno kuna mda unajiuliza hii itaendelea mpaka lini
Fahamu watanzania wengi sana wanapenda haya mashindano ya ngumi ila venue zake ni mbovu sana ziko local, na hazivutii kabisa watu wanapigania vichochoroni
KATIKA MAMBO NTAKAYOYAFANYA NI KUHAKIKISHA...
Mahakama Kuu ya Tanzania imeipa ushindi Azam Media dhidi ya Bondia, Amos Mwamakula aliyetakiwa kulipwa fidia ya Tsh. milioni 250 baada ya kushinda kesi ya uvunjifu wa haki miliki ya wazo lake ambayo ilitolewa na Mahakama ya Kivukoni.
Ushindi huo wa Azam unakuja baada ya kukata rufaa kupinga...
Wadau naomba kwa yeyote anaejua brand nzuri ya vitasa vya mageti ya mlangoni ambavyo ni imara na havina changamoto.
Ukiwa na picha na bei zake itapendeza zaidi. Viwe visivyo na mikono, yani kuna sehemu ya ufunguo tu.
SMART LOCK.
Vitasa hivi ni matokeo ya ukuaji WA TEKNOLOJIA ikapelekea kutengenezwa Kwa vitasa vya milango vinavyo tumia mfumo maalum ili kufungua( password,finger,card na app ya simu).
VITASA hivi havitegemei umeme WA Tanesco. Ndani ya kitasa Kuna battery nne ambazo hufanya KAZI Kwa takribani...
Mambo vipi?
Kuna sehemu nimepanga ghetto room Moja vyumba vya nje ya nyumba kubwa ila Kuna uzio na nyumba kubwa wenyewe hawaishi wapo Tanga mjini ila uwa wanafikia wakija uku Bush
Mimi nipo chumba Cha nje ya nyumba kubwa Leo bhana mida ya saa 3 nikiwa nimetulia ghetto tulii nikawa naskia kama...
Bondia wa zamani ameshinda kesi dhidi ya Azam media kutumia utambulisho wake wa neno "vitasa" na kudai fidia ndefu
Azam wakaamuliwa kutukutumia ID ya vitasa hadi kumlipa fidia zake, ambazo ni haki yake kimsingi.
Azam Sasa wameususia mchezo ati kwakuwa wamefikishwa mahakamani na Sasa wanaotafuta...
Bondia Twaha Kiduku amethibitisha kuwa Azam Media haitarusha michezo ya masumbwi tena kutokana na mashtaka yaliyofunguliwa. Amepongeza Azam Media kwa mchango wake mkubwa katika kukuza michezo na sanaa nchini, akitaja kwamba kupitia Azam TV, michezo na vipaji vya vijana vimeimarika na kuleta...
ANGALIA PICHA ya gari yako unichek kwa hitaji la spea.
WhatsApp 0712 148001.
Pia nanunua magari chakavu .
Ukiniunganisha nikanunua gari posho MLIMA.
Pia nitakua natoa vocha mara moja moja kwenye uzi huu.(simu ziite jamani).
Mods uzi usiunganishwe.
benz
bmw
carina
escudo
gx100
harrier
ist
kioo
landcruiser
magari
mark2
mazda
noah
pajero
picha
premio
raum
rav4
side mirror
spea
steelring
suzuki
taa
toyota
used
vitasa
vitz
voxy
wish
wishbone
ANGALIA PICHA ya gari yako unichek kwa hitaji la spea.
WhatsApp 0712 148001.
Pia nanunua magari chakavu .
Ukiniunganisha nikanunua gari posho MLIMA.
Pia nitakua natoa vocha mara moja moja kwenye uzi huu.(simu ziite jamani).
benz
bmw
carina
escudo
gx100
harrier
ist
kioo
landcruiser
magari
mark2
mazda
noah
pajero
picha
premio
raum
rav4
side mirror
spea
steelring
suzuki
taa
toyota
used
vitasa
vitz
voxy
wish
wishbone