Kwa idadi ya wamechinga 7000 kwa 20,000 kwa mwaka ni kiasi gani hapo sasa mlikurupuka na mipango yenu ikaishi ukingoni ,kama mngeendelea kusanya buku 20 leo mngekuwa nazo ngapi zisingetosha hata kununua kununua panadol
Naomba muendeleze mambo ya Magufuli mnyonge mnyongeni haki yake mpeni .
Baada ya kuwepo kwa malalamiko ya wananchi wengi kudai kuwa vitambulisho vyao vya NIDA vimefutika, Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ilijitokeza kujibu kuwa changamoto hiyo imetokana na uzembe wa mzabuni aliyekuwa na tenda ya uchapishaji, aliyesababisha uzalishaji wa vitambulisho vyenye...
Mimi kama mtanzania mzalendo nasikitishwa sana na taasi za umma ambazo zinatumia fedha za umma katika kazi zinazotekelezwa kwa viwango vya chini hatimaye kutumia fedha nyingi za wananchi katika jambo moja mara kwa mara wakati pesa inayopotea ingeweza kufanikisha utekelezaji wa masuala ya msingi...
Serikali imeanza mpango wa kuunganisha kitambulisho cha Taifa na Huduma nyingine za kiserikali ikiwemo Bima ya Afya,Leseni ya udereva na Masuala ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii ili kuepusha utitiri wa vitambulisho pale mwananchi anapohitaji huduma mbalimbali.
Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa...
Kama unaelekea Kigamboni au Posta Mkoani Dar es Salaam, Polisi waliovaa Kiraia na wengine Sare wanadai Vitambulisho. Wannapick rondomly. Wanasema kuna watu kutoka Nchi jirani wenye nia ovu kwamba wanaharibu taswira ya Tanzania.
Eti kufahamiana sio vibaya wanasema.
Wao hawaoni kama wanasumbua...
Hili jambo lipo kwa Kasi sana. Nimejaribu kuwasiliana na watu wa mikoa tofauti wamekili kwamba wanapita na kufanya hilo zoezi.
Wanajua wazi kwamba mwaka huu watu hawana hamu na uchaguzi na hawatapiga kura in numbers.
Wanatengeneza kura za kufikirika. Na mtashangaa idadi ya kura...
Ukuta wa Mirerani ulijengwa kulinda tanzanite – mali adimu ya taifa. Leo hii, kila anayetaka kuingia ndani ya ukuta huo analazimika kuwa na kitambulisho maalum kinacholipiwa.
Lakini maswali muhimu bado hayajajibiwa:
🔹 Kwa nini kitambulisho cha taifa kisitoshe kuthibitisha uraia na uhalali wa...
Wakuu nimeshangaa sana mamlaka ya NIDA kukanusha kuwa CCM Haina access na taarifa zetu za NIDA,huu ni uhuni na uongo wa Hali ya juu,au kwakuwa watanganyika wengi hatufatilii mambo!?
Ni ukweli usiopingika kuwa CCM wamepewa access ya taarifa zetu muhimu na NIDA ili kufanya chochote wakitakacho...
Hadi kufikia Juni 2025, mkoa una jumla ya viwanda 4,117 vilivyosajiliwa, ambapo viwanda vidogo na vidogo sana ni 4,013, viwanda vya kati ni 69, na viwanda vikubwa ni 35. Hili ni ongezeko kubwa kutoka viwanda 2,441 vilivyokuwepo mwaka 2020. Kwa viwanda vikubwa, kumekuwa na ongezeko kutoka viwanda...
Ni jambo la kusikitisha kuona mwananchi wa kawaida analazimika kubeba kadi takribani 10 kila siku ili kupata huduma mbalimbali.
Kuanzia Kitambulisho cha Taifa (NIDA), kadi ya mpiga kura, kadi ya benki, ya ajira, ya bima ya afya, hadi kadi za usafiri au zile za klabu zaa michezo, mzigo huu wa...
Bashungwa nakupongeza .
Kwa sasa utartibu uliopo Nida umekaa kisomi Sana .
Ikiwa MTU jina lake lilikosewa n.k anafata utaratibu ambao ndani ya wiki mbili mpaka tatu majina yanakuwa yamebadilika.
Ule usumbufu wa Kutangaza katika Gazeti haupo.
Ule utartibu wa kwenda ardhi na mambo na viapo...
Siku hizi hata ukitaka kurudisha laini haikubali eti kisa sijachukua kitambulisho cha NIDA wakati namba ninayo hii sio sawa kabisa
Binadamu huwa tunahama sehemu moja kwenda sehemu nyingine sasa unakuta nimejiandikisha Songea kisha nikabadili makazi kuja Tanga bado nilazimike kwenda Songea...
Habari wanajukwaa.
Natangaza kupotelewa na vitambulisho vilivyopotea tarehe 14/05/2025 Safarini kutoka jijini Mwanza kuelekea jijini Dar es Salaam.
Vitambulisho hivyo vina majina ya FRANCES SANGA.Donge nono litatolewa.
Mawasiliano 0752838728.
Natanguliza shukran.
Hawa matapeli wapo sana maeneo ya kariakoo na kinondoni!
Wanatumia bajaji au boda na wakati mwingine wanavaa na sare feki!
Popote ukikutana nao piga Kelele za mwano ni wezi hao!
Kila siku watu wanabuni mbinu mpya za wizi.
YAH: MALALAMIKO DHIDI YA KAULI NA AGIZO BATILI LA MKUU WA MKOA WA MJINI MAGHARIBI - UNGUJA, NDUGU IDRISA KITWANA MUSTAFA
Tafadhali ninaomba uhusike na mada tajwa hapo juu kama inavyojieleza.
Chama cha ACT-Wazalendo kinawasilisha rasmi malalamiko dhidi ya kauli na agizo lililotolewa na Mkuu wa...
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Bodi ya Ithibati ya Wanahabari haitasita kuwafutia usajili waandishi wa habari watakaokwenda kinyume cha kanuni na maadili ya kazi zao.
Msigwa ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari, ambapo ametangaza ujio wa vitambulisho vipya...
Wanaume wanne wawili raia wa Ubelgiji, mmoja wa Vietnam na Mkenya mmoja wanashikiliwa nchini Kenya kwa tuhuma za kumiliki na kufanya biashara ya kusafirisha Malkia wa Siafu walio hai.
Washtakiwa hao wamekiri makosa yao mbele ya Hakimu Mwandamizi Njeri Thuku katika Mahakama ya Uwanja wa Ndege...
Nasikitishwa na hii tabia ya nida kutaka kufuta vitambulisho ambavyo havijachukuliwa unakuta mtu alijiandikisha Tarime halafu yupo Dar kitambulisho kinachapwa Dar halafu kinapelekwa tarime wakati mhusika yupo dar!!
Yaani nichukue laki2 kufatilia kitambulisho kweli kichekesho!!
Hivi nida ni...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuelezea changamoto zinazojitokeza kwenye mchakato wa Wananchi kujiandikisha kwa ajili ya kupata Vitambulisho vya Taifa (NIDA) katika Wilaya ya Uyui, Mkoani Tabora, ufafanuzi umetolewa na Mamlaka hiyo.
Awali mdau alilalamikia changamoto ya foleni kubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.