vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Uchumi wa Ukraine kuporomoka kwa 45.1% kutokana na vita

    Kwa mujibu wa Tathmini mpya ya athari za kiuchumi za vita ya Urusi na Ukraine, Uchumi wa Ukraine unatarajiwa kuporomoka kwa 45.1% Mwaka 2022 Tathmini hiyo ya Benki ya Dunia (WB) inasema uvamizi wa Urusi umelazimisha biashara kufunga, kupunguza mauzo ya nje na kuharibu mifumo ya uzalishaji...
  2. JamiiForums Tanzania Mussa Zungu: Tutegemee mengi magumu yatakuja. Asema kupanda kwa bei hakujatengenezwa na Serikali

    Mussa Zungu: Dunia ina matatizo makubwa, bei za bidhaa zimepanda huko zinapotengenezwa na kwakuwa zinapotengenezwa huko, zikija kwetu zinapanda vilevile. Kwahiyo kupanda kwa bidhaa hizi sio suala la Tanzania, limetengenezwa na watanzania au limetengenezwa na Serikali ya Tanzania, ni suala...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ukraine kufikia hapa, Pigo kubwa kwa Urusi na Madhwalimu wote

    Kwa hakika haijali gharama ila udhwalimu kushindwa ni jambo la kujivunia kwa kila mpenda haki: Nani alitegemea kutembea kwa miguu mitaani leo Kyiv na Mrusi akiwa 20km tokea mjini kati majuzi juzi tu? Kwani kwetu si barabara na mitaa hufungwa? Chopper juu Kwamba tukujiridhisha? Kama warusi...
  4. JamiiForums Tanzania Vita ya Urusi na Ukraine vyaendelea kuwa vikali baada Putin kubadili kamanda

    Raisi Putin amemteua generali Alexander dVOrNIKOV kuwa kamanda mpya wa kuongoza jeshi lake katika nchi ya Ukraine.Generali Alexander ndiye aliyekuwa kamanda wa mwanzo wa Urusi nchini Syria katika kumsaidia raisi Assad kupambana na wapinzani wake walioungwa mkono na Marekani na Israel. Masaa...
  5. JamiiForums Tanzania Kijana anayeutaka Urais 2030 na kujiona ana uwezo mkubwa wa kuongoza na pesa, ndiye anayeleta vita ya Mpina na Makamba

    January Makamba anahofiwa na wanaoutaka Urais 2030 kwakuwa 2015 alifika 5 bora..na katika wote walioingia 5 bora yeye ndio 2030 pekee atakuwa na umri usiozidi miaka 60 hivyo wenzake wanne ni wazee tayari kwa urais wa 2030. Kuna kijana anautaka sana urais 2030 na anajiona ana uwezo mkubwa sana...
  6. JamiiForums Tanzania Vita ya Ukraine; Waafrika tuamke, ni ubeberu wa Magharibi dhidi ya walimwengu

    Waafrika tuamke wenzetu asia amerika latino wanaelewa nini kinaendelea. Ukiangalia vita vya ukraine ni kwamba hapo pamekua tu uwanja wa mapambano. Ni kati ya nchi za kibeberu za marekani na ulaya ya magharibi wakiongozwa na marekani wakipigania hati miliki kudhibiti uchumi wa dunia. Utaona...
  7. JamiiForums Tanzania Msemaji wa Putin, Mr. Peskov anakiri wamepoteza kwenye vita na Ukraine

    Msemaji wa Putin, Mr. Peskov anakiri wamepoteza kwenye vita na Ukraine, amesema wamekiri kutofanikiwa Kwa kasi Kama walivyodhani, na hii ni kutokana na wageni kuingilia operation yao huko Ukraine. Peskov kasema Mrusi anayenuka jasho hapo Sinza Kwa Remmy anabisha Britanicca
  8. JamiiForums Tanzania Kwa vita vya Urusi na Ukraine vilipofikia ni muda mwafaka kwa Tanzania kuchagua upaande wa wengi (Westerns) maana Kuna Jambo linaenda kutokea

    Mie sina neno, Ila mrusi amekosea sana kufanya Mambo ya kishamba ya kuvamia sovereign state tena bila sababu za kueleweka. Tanzania tuache unafiki tusimame na HAKI tuwaambie warusi waziwazi tena mbele ya dunia kuwa wamekosea na wanapaswa kuwajibika. Kuendelea kujiita nutral state wakaki...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ukraine sasa iko katika vita kamili vya kujikomboa

    Hali ya vita vya Ukraine sasa iko wazi kwa kila mshirika. NATO na Ukraine kwa upande mmoja na Russia kwa upande mwingine. Uwanja wa vita rasmi unaeleweka kwa wote kuwa ni Ukraine. Russia kama Nduli Amini, sasa anatakiwa kufurushwa kutoka katika ardhi zote za Ukraine zikiwamo Donbas, Lohansk...
  10. JamiiForums Tanzania Bwawa la umeme la JNHP lingekamilika mapema hizi athari za vita vya Ukraine visingetuathiri kwa kiasi kikubwa. Uzembe wa January Makamba unatugharimu

    January Makamba kama waziri mwenye dhamana ya nishati hapa nchini alipaswa kukomaa kwa hali na mali kuhakikisha JNHP inakamilika kwa wakati na ikiwezekana hata kabla ya wakati. Kwa nini bila sababu za msingi alileta mizengwe juu ya ujazaji maji na kuchepusha maji? Leo hii tungekamilisha JNHP...
  11. JamiiForums Tanzania Kabla ya vita raia wanaambiwa shikeni silaha teteeni nchi yenu,baada ya vita wanasema war crime mbona siwaelewi hawa mabeberu

    Nato wamechanganyikiwa na sasa wanajiandaa kuwapa silaha zaidi hivi hawa watu wana akili sawasawa ,havi raia gani huyo anakufa pembeni ya kifaru ??????
  12. JamiiForums Tanzania Thread number 2 Hassara Ya Urusi kwenye Vita Ya Ukraine

    Uzi wa awali ulieleza jinsi Urusi alivyopoteza, Vitani ila huu utaangalia Uchumi na uwekezaji MAUZO Mauzo nje yameshuka kwa asilimia 30 tokea amewekwa vikwazo Hungary imesitisha uingizaji wa mafuta Ya Urusi kwa asilimia 20% Ufaransa imepunguza utegemezi wa mafuta ya Urusi Kwa asilimia 30%...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Katika wakati huu wa hali ya uchumi duniani kuwa mbaya ni kuwa muangalifu sana

    Mzuka wanajamvi, Katika hali hii ya uchumi wa duniani kudorora na city kupanda bei kupitia maelezo ni kuwa muangalifu Sana katika matumizi, kusave na usalama wako na familia yako. Uhalifu umeshamiri na vitendo viovu kama umalaya n.k. Huu siyo wakati wakujionesha kwenye umma una pesa nyingi au...
  14. JamiiForums Tanzania Watumishi tunapoelekea Mei Mosi tumwambie nini Rais Samia?

    Shime shime shime watumishi wenzangu ...asiye na mwana aeleke jiwe. Tunapoelekea Mei Mosi ya kwanza ya Rais Samia S. Hassan akiwa katimiza mwaka mmoja kazini si vibaya tukatanguliza yale tunayotarajia kusikia toka kwake. Kama alivyotuahidi nyongeza ya mshahara mwaka huu bila shaka hilo...
  15. JamiiForums Tanzania Vita ya UKRAINE ukilinganisha na IRAQ inaonyesha Ukatili wa US/NATO na upendo wa Urusi

    Kipigo cha Iraq wakuu kilikuwa ni cha kikatili sana. Ziliruka ndege mamia juu ya Anga Siku ya kwanza zikadondosha mabomu kama mvua Baghdad. Hata sisimizi wa Iraq walijua kuna wanadamu katili. Uchunguzi wa UN ulipuuzwa. Anapigwa MTU bila kuonyesha uhalali wa upigwa. Na dunia nzima...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Kauli ya vitu kupanda bei kisa vita ya Ukraine inapindishwa na walioielewa wanafunga mikanda kimyakimya

    Imenibidi kwa mara nyingine nijiridhishe kwa kurejelea kusikilizwa hotuba ya Mhe.Rais iliyokuwa inazungumzia kupanda bei kwa vitu kunakosababishwa na vita vya Ukraine na Russia na mapokeo ya kauli hiyo. Sio kwamba nimetumia muda kusikilizwa tena sikusikia vizuri ila nilifanya hivyo kuongeza...
  17. JamiiForums Tanzania Simba ikipigwa Vita vya Ukraine vimechangia!

    Sina maneno hivi vita ni hatari sanaa hivyo Mnyama akiondolewa tusilaumiane mana hata Mama anajua hilo!
  18. JamiiForums Tanzania Ni namna gani vita vya RUSSIA na UKRAINE vimeathiri utalii?

    Tumejionea athari za kiuchumi hususani kupanda kwa bei ya mafuta nchini. Swali langu ni Je sekta ya utalii Tanzania imeathirika au inatarajiwa kuathirika vipi katika kipindi hiki? Ni kwa namna gani tunaweza kukabili mtikisiko huo?
  19. JamiiForums Tanzania Ni sawa kiongozi wa dini kubariki vita au wanajeshi wanaoenda kupigana?

    Katika nchi hii, watu wananen kati ya kumi sawa na (78%) wanajitambulisha kuwa Waorthodox. Lakini uvamizi ulioongozwa na Vladimir Putin - ambaye, kwa bahati mbaya, ameharibu mamia ya makanisa kwa mashambulizi yake ya angani - ultikisa nguvu ya UOC-MP. Hali ilikuwa tete baada ya mzalendo wa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Vita Ukraine kuikosesha Liverpool Ubingwa

    Mzuka wanajamvi! Uvamizi wa Urusi nchini Ukraine na kusababisha vita vikali baina ya Urusi na Ukraine kujilinda. Huenda ikasababisha Liverpool FC isichukue ubingwa wa EPL msimu huu wa 2021-22. Ukizingatia uingereza ni mshirika wa karibu na Ukraine akimsaidia kwa silaha , hela, chakula na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…