vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. Marekani Kujitoa WHO ni vita vya kiuchumi na China

    Marekani kujiondoa WHO ni kama kete ya kuiachia mzigo wa gharama China inayotaka kujipanua kiuchumi duniani. Wakati marekani ina watu milioni 400 , China ina watu 1.5 bilioni lakini inachangia kidogo zaidi katika WHO kuliko Marekani. Marekani inaona kama inabeba mzigo mkubwa pekee wakati China...
  2. A

    Aibu za Israel Hizo zinajitokeza baada ya vita

    Ujumbe ndio huo. https://youtu.be/13P5MJC41TA?si=_U25y5IajNMq_7xx https://youtube.com/shorts/tUU3xoc4lfo?si=wL7IHFe-eWhdeudq
  3. IDF Chief of Staff, Herzi Halevi atangaza kuwa atajiuzulu Machi 6, kwa kuwajibika kutokana na shambulio la Hamas la October 7

    Wanaukumbi. Mkuu wa Wafanyakazi wa IDF Lt. Jenerali Herzi Halevi amemjulisha Waziri wa Ulinzi Israel Katz kwamba anakusudia kujiuzulu mnamo Machi 6. Katika taarifa, Halevi anasema anaondoka jeshini baada ya "kutambua wajibu wangu kwa kushindwa kwa IDF mnamo Oktoba 7, na katika wakati ambapo...
  4. Putin ampongeza Trump na kusema yupo tayari kusuluhishwa na Ukraine vita iishe

  5. M

    Kwa mliokuwa mashabiki wa propaganda za Trump, yamebaki masaa machache ya yeye kutimiza ahadi ya kumaliza vita vya Ukraine

    Mojawapo ya ahadi zake na pengine iliyomuongezea kura na kupata wafuasi wengi wa Sera zake, Ni ile ya kumaliza vita vya Ukraine ndani ya masaa 24 Mara tu Baada ya kuapishwa. Trump aliapishwa Jana jioni na masaa 24 yatatamatika Leo mida ya saa mbili usiku. Je kufikia mda huo vita ya Ukraine na...
  6. Hamas ni miongoni mwa wanaoshangilia usitishwaji wa vita

    Watu wako mtaani kushangilia, you can't kill people's ambition by bombs, Palestine must be free
  7. U

    Waziri wa usalama itamar ben gvir chama chake kujitoa Serikali ya mseto Israel apinga mkataba kusitisha vita utakaoruhusu magaidi wakubwa kuwa huru

    Wadau hamjamboni nyote? Itamar ben gvir ni waziri wa usalama Israel na Kiongozi wa chama cha Otzma Yehudit Anapinga makubaliano kusitisha vita na Hamas akidai Hamas watanufaika zaidi kwani magaidi 1,700 wataachiwa huru na hivyo kwenda kujipanga upya Asema kuwa makubaliano haya yanafuta...
  8. Zuchu unatakiwa kufahamu, ukiingia kwenye mahusiano na Diamond umeingia kwenye vita

    Sina tabia ya kujadili ishu za mahusiano hapa jukwaani lakini nimeona niongee kidogo na Zuchu. Zuchu unatakiwa kufahamu ukiingia kwenye mahusiano na Diamond tayari upo vitani. Najua sasa hivi hauelewani na ndugu wa Diamond kasoro yule mpwa wa Diamond. Umegombana na wadada wa mjini na...
  9. S

    Serikali ya Israeli na Hamas wamekubaliana juu ya makubaliano ambayo yatasimamisha mapigano huko Gaza

    Serikali ya Israeli na Hamas wamekubaliana juu ya makubaliano ambayo yatasimamisha mapigano huko Gaza na kusababisha kuachiliwa kwa hatua kwa hatua kwa mateka na wafungwa wa Kipalestina, vyanzo vinaeleza CNN. Chini ya makubaliano hayo, ambayo bado hayajatangazwa rasmi, Hamas na makundi ya...
  10. Hukajawahi kuwa na vita vya uchumi Tanzania, Historia iwekwe sawa

    Kuna watu wengi waliwahi kuaminishwa Tanzania iko au imewahi kuwa katika vita vya uchumi au inafanyiwa figisu za uchumi na majirani zake, mataifa ya nje na kampuni za kimataifa. Ukweli ni kwamba hatujawahi kuingia katika vita vya uchumi nchi hii. Mabishano na kutofautiana katika sera za uchumi...
  11. Hii vita nani Angeshinda?

  12. Rais Putin akataa pendekezo la Rais mteule Donald Trump la kusitisha Vita na kuipa Ukraine uanachama wa NATO baada ya miaka 20 ijayo

    Rais Putin wa Russia amekataa pendekezo lilitolewa na Rais mteule wa marekani Bwana Donald Trump la kumtaka kusitisha mapigano kati yake na Ukraine na badala yake kuwepo na muda wa miaka 20 baadae ili Ukraine iweze kujiunga na Umoja wa za NATO. Sambamba na hilo Bwana Trump alipemdekeza pia...
  13. M

    KISAIKOLOJIA, VITA VYA UENYEKITI CHADEMA NI UTHIBITISHO KUWA HAWANA TUMAINI LA KUSHINDA NAFASI YA URAIS KTK UCHAGUZI MKUU 2025. KINYUME CHAKE WANGEACH

    Siasa ni mchezo mchafu. Vita vya kiti cha Uenyekiti chadema kati ya chawa wa pande mbili ni vita vilivyotengezwa na Tiss. Wakiwatumia vijana wao kuna yeriko. Ni vita vya kupigania pesa za rushwa kutoka kwa chama mtaala. Wakati mbowe akiwatumia vijana wake akina wenje, yericko kupoza nguvu ya...
  14. Vita ya kumaliza vita vyote umewahi sikia?

    Wandugu wote tunashabikia vita ndio ila madhara ya vita ni zaidi ya tujuavyo sisi kimwili na kiroho. Wewe Muislam mimi Mkristo hatupendani hakika nasema kuwa kuna vita inakuja kumaliza vita vyote na vita hii sio ya ma bomu au nyuklia ila ni vita ya Jehovah God and christ. Tungekuwa tunajua...
  15. A

    DOKEZO Responded Sijalipwa malipo yangu ya Vita ya Kagera, kila nikifuatilia naambiwa hakuna anayedai

    Nikirejea tamko la Waziri wa Ulinzi katika Bunge la Tanzania tarehe 13 -06-2024, siku ya Alhamisi. Bunge la 12 kikao cha 15. Taarifa ya Waziri ya Ulinzi katika taarifa yake moja ni wanajeshi wote waliopigana katika vita vya Kagera wote wameishalipwa. CPL NGUSSA GULINJA 692 DET ni mmoja wa...
  16. BBC: Wanajeshi 100 wa Korea Kaskazini wauawa katka vita vya Ukraine

    Takriban wanajeshi 100 wa Korea Kaskazini wameuawa katika mapigano katika vita vya Ukraine tangu waingie kwenye mapigano upande wa Urusi mapema mwezi huu, mbunge wa Korea Kusini amesema. Lee Sung-kwon, akizungumza na waandishi wa habari baada ya bunge kupewa taarifa na Idara ya Kitaifa ya...
  17. Hatimaye TLS yamjibu Waziri Ndumbaro juu ya kauli ya "Kukurupuka" vita ni vita Muraaa.

    Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kimekosoa kauli ya Dk. Damas Ndumbaro, Waziri wa Katiba na Sheria; na kusema chama hicho kiko imara na kitaendelea kuishauri Serikali, Bunge na Mahakama katika masuala anayohusu sheria, kukosoa kwa maslahi ya umma bila woga, hofu wala upendeleo, Aidha...
  18. Vita imekuwa Kali, Lissu apewe Ulinzi

    Wadau salaam.. Baada ya Mh Tundu A. Lisu kuonyesha nia ya kuwania nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa tumeona mambo mengi na matamko mbalimbali, matamko mengi ambayo hayakutegemewa ni namna Lisu anvyopigwa vita na kukatishwa tamaa, Siyo ndani ya CHADEMA Tu Bali hata kwa Vyama vingine kama CCM...
  19. Vita Kati ya Wakatoliki na Ndugu zao Charismatic

    Kwa Muda mrefu nimekuwa nikiona shida Kati ya Jamii hizi mbili yaan ni Bonge la ugomvi Kanisa limeweka zuio la Mkarismatic yoyote kutokuingia ndani ya Jengo Kupishana kwao kupo wazi. Kanisa linadai lipo sahihi kwa kile wanachosimamia na kukifuata Kama maagizo toka Ufalmeni Charismaz wanapindua...
  20. Zitto Kabwe achekelea, asema Bundi ametua kwa majirani, ahaidi kusuluhisha vita

    Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X. Zitto Kabwe amesema bundi ametua kwa majirani na kuahidi kusuluhisha vita.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…