vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. Z

    JamiiForums Tanzania Irani yazionya USA, UK na Ufaransa kuacha kuisaidia Israeli kwenye vita

    Iran imezitahadharisha Marekani, Ufaransa na Uingereza kwamba atashambulia kambi zao za kijeshi pamoja na meli zao iwapo zitatoa msaada wowote wa kijeshi kwa Israel. Donald Trump ametangaza kuwa Marekani itaisaidia Israel kujilinda, huku vuongozi mbalimbqli wa Marekani wamenukuliwa katika...
  2. JamiiForums Tanzania Tech and AI battle kati ya USA na China, Makampuni Mengi ya USA yanaongozwa na wachina (Battle ni China vs Chinense diaspora) - USA vita hawezishinda

    Watu wengi hufikiri vita ya teknolojia ni kati ya USA na China… Lakini ukichunguza kwa undani, kuna vita isiyo rasmi kati ya China ndani ya china na diaspora yake Wachina walioko Marekani wanaoongoza makampuni makubwa ya AI ya Marekani. 1. Vita ya Teknolojia: USA vs China (Kiwango cha Serikali)...
  3. JamiiForums Tanzania Nataka kwenda kupigana vita Iran niwasaidie kijeshi.

    Mimi sio mwanajeshi ila nataka kuwasaidia Iran dhidi ya Israel...! Nataka kufa nikiwasaidia watoto wazee na wanawake wajawazito.. nitumie njia gani kisheria kutambulika kutoa msaada huu wa kijeshi..??
  4. JamiiForums Tanzania Unatabiri nini mwisho wa vita hii Iran vs Israel

    Moja ya kiumbe mwepesi kumuangusha katika vita ni mwarabu. Kwa sababu ni Rais kumnunua na kumtumia KUWA Adui wa NDUGU zake. Hii ndio maana maagents wa mossad walikuwa kwenye kazi maalumu KWA miaka mingi kufanikisha HIKI kinachofanyika ndani ya Iran. Iran itapigwa kirahisi sana kisha itafuatia...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Je, Israel Imezuia Vita vya Nyuklia au Kuianzisha?"

    ISRAEL NA IRAN 2025 KUCHOKOZA FUKUTO LA VITA KUBWA ZAIDI MASHARIKI YA KATI Je, Israel Imezuia Vita vya Nyuklia au Kuianzisha?" Na MALEKOGJ Katika saa za giza alfajiri ya Ijumaa, jeshi la anga la Israel lilianzisha kile kinachoitwa Operation Rising Lion shambulizi la anga kubwa zaidi...
  6. JamiiForums Tanzania Tuendelee kupata matamko ya Hayatollah Khomein kuhusiana na vita ya Israel vs Iran. Toka Al Jazeera

    Wakati Makobazi yanasema Israel imepiga upepo. Khayatolla aanza kutoa Milio. Tupate habari toka Al Jazeera. Nuclear Sites zimepigwa na Makamanda kuuawa. Na Nuclear scientists wameuawa pia.
  7. JamiiForums Tanzania TFF: Zawadi ya CRDB kwa Yanga ilikatwa kufidia madeni yao kwetu kama walivyoomba. Sisi ndio tunaidai Yanga

    Taarifa kutoka TFF -- TAARIFA Tunapenda kuuthibitishia umma kuwa Benki ya CRDB ndiyo Mdhamini Mkuu wa mashindano ya Kombe la Shirikisho la TFF, na inatekeleza ipasavyo majukumu yake ya kimkataba. Kwa msimu wa 2023/2024 wa mashindano ya Kombe la Shirikisho la Benki ya CRDB (CRDB Bank...
  8. JamiiForums Tanzania Haya yote ni Nyerere ile sera yake “Kidumu cha Mapinduzi “. Kumbe mpaka kwenye jeshi inatumika mfano vita vya Kagera

    Ukifatilia makala ya vita vya kagera kuna video zinaonyesha wanajeshi wanataamka kidumu cha mapinduzi. Ni jambo la kujiuliza kwa nini hii sera kidumu chama cha mapinduzi hipo mpaka kwenye vyomba vya ulinzi.
  9. JamiiForums Tanzania Haya ndiyo yanayoikuta Israel kuelekea kushindwa vita na Hamas

    Yale yaliyotabiriwa awali na wachambuzi mahiri wa vita kati ya Hamas na jeshi la Isael sasa ndio yanakaribia kuwa kweli. Msemaji wa jeshi lsrael kwa mdomo wake wakati wa mahojiano na kipindi cha televishei ya BBC amesema kwa sasa jeshi lake lina upungufu wa askari 10,000 ili kuendelea na vita...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Tupige Vita Roho ya Yezebeli

    Tupige Vita Roho ya Yezebeli Yezebeli ni Nani Yezebeli alikuwa ni mwanamke mwenye asili ya nchi ya Lebanoni, mahali pajulikanapo kama Sidoni (1Wafalme 16:31), karibu sana na mji wa Tarshishi, ule mji ambao Nabii Yona alienda kuhubiri (akaacha kwenda mji wa Ninawi alioagizwa na Mungu). Alikuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Je, matibabu ya Kitanzania (Tanzania Treatment) ni utamaduni wa Kitanzania? Kwanini tunapiga vita ushoga?

    Watanzania wote waliotendewa vitendo viovu kama hivi kwa kawaida hukaa kimya na kwa aibu hawathubutu kusimulia kwa undani yaliyowakumba kwenye kinachodaiwa matibabu ya Kitanzania? Je kuna uwezekano kwamba watekaji pamoja na viongozi wanaowatuma kufanya hivi vitendo nao hupitia hayo matibabu ya...
  12. JamiiForums Tanzania Uamuzi wa Rais Kufungia Makanisa ni Tusi kwa Katiba, Unajisi kwa Demokrasia na Vita Dhidi ya Mungu Mwenyewe

    Ni jambo la kutisha na la kuumiza kuona Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kutumia mamlaka ya ofisi ya juu kabisa ya utawala, akiamua kufungia nyumba za ibada kana kwamba ni maeneo ya kihalifu. Huu ni ushahidi wa wazi wa kuporomoka kwa heshima ya mamlaka ya dola, na zaidi ni dalili ya...
  13. JamiiForums Tanzania Jasusi la mbinguni Gwajima aanzisha vita na Watekaji kwa kiingereza waitwa "Henchmen". Viongozi wao wakuu mmoja ni kivuli na mwingine ni msukule wake

    Jumapili, Mchungaji Gwajima alitumia sehemu ya mahubiri yake kufafanua masuala kadhaa kuhusu kilichojiri baada ya mkutano wake na waandishi wa habari tarehe 28 mwezi ulopita. Akafafanua kuhusu hoja hiyo kwamba Gwajimanisation ni ujasiri wa kusema ukweli hata ama ukweli huo utawaudhi wenye...
  14. JamiiForums Tanzania Ukraine yaharibu ndege vita za Urusi

    Habari zilizopo kwa sasa na uthibitisho wa video ni kuwa Ukraine imefanikiwa haribu ndege vita zaidi ya 40 ndani ya Urusi. Haijulikani wamefanikiwa vipi kwani umbali huo FPV drone haziwezi fika Siku ya jana pia wamefanikiwa lipua madaraja mawili ndani ya Urusi SSB chini ya Budanov ni habari...
  15. JamiiForums Tanzania Ukraine yaharibu ndege vita 40 za Urusi leo

    Ukraine imesema imekamilisha shambulio lake kubwa zaidi la masafa marefu tangu vita na Urusi kuanza, baada ya kutumia droni zilizosafirishwa kwa siri kushambulia kwa pamoja ndege za kivita takriban 40 katika kambi nne za kijeshi nchini Urusi siku ya Jumapili. Rais Volodymyr Zelensky alisema...
  16. JamiiForums Tanzania Silaha mpya ya kutisha inayobadilisha vita nchini Ukraine

    Harufu kali imetanda kwenye mji wa Rodynske. Dakika chache baada ya kuingia mjini, tunatazama inatoka wapi. Bomu lenye uzito wa kilo 250 liliharibu jengo kuu la utawala la jiji hilo na kutandaza vyumba vitatu vya ghorofa. Tumewasili eneo hilo siku moja baada ya bomu kupigwa, lakini moshi bado...
  17. JamiiForums Tanzania Next sesson NBC itakuwa ni vita kubwa ya timu pamoja na Mashabiki

    1.Bodi ya Ligi ni mkosa namba moja kwa kuacha kukemea maovu dhidi ya timu. 2.Namba 2 watakuwa ni viongozi(hususani wasemaji) itajihirisha vita ya Mashabiki na ndipo hapa serikali isipoingilia kati Mkunyugano utahamia kwenye Siasa. Mark my word.
  18. JamiiForums Tanzania Joseph Kabila Ajitangaza Rasmi kama M23 vita Mpya inakuja DRC

    https://www.youtube.com/watch?v=IntpG2fhmAE
  19. JamiiForums Tanzania Ni rasmi Sasa Vita ya Urais 2025 imeanza

    Vita ni Kali mno watu hawalali Sasa wanaseti mitandao. Yule Unguja Yule Singida Yule Kigoma Yule Mara Yule Ruvuma Yule Tanga Tutasikia kila aina ya milio na miguno Nani kuibuka Rais wa Tanzania baada ya uchaguzi? Ogopa Sana nyoka alijificha chumbani. No reform no Election Ubaya ubwela!!
  20. JamiiForums Tanzania FARDC yatakiwa kujiandaa vita dhidi ya M23

    Lt Gen Masunzu, amelitaka jeshi la serikali ya Congo, kujiandaa vita vipya, kuhakikisha M23 inapoteza maeneo iliyo nayo kwa sasa, mashariki mwa DRC. M23 na yenyewe haiko tayari kuachia. Huku ikisemekana inapata msaada toka Rwanda, upande wa serikali ya DRC, msaada wao wanapata kutoka Burundi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…