vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Vita iliyo anzishwa kumuangusha Ayotullah imegeuka na wenda kumnufaisha kisiasa

    Vita iliyo anzishwa na Netanyau kwa lengo la kumuangusha Ayatollah imekuwa kinyume chake na inaenda kumnufaisha kisiasa. Nadhani ulimwengu wa kimagharibi utakuwa umeshangazwa,kufadhaishwa na kutamaushwa sana na raia wa Iran kwa kuungana na serikali yao hali yakuwa wamekuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Drone za Mwisho kurushwa na Iran asubuhi kabla ya usitishaji wa Vita hatimae za karibia kufika Israel zadunguliwa

    28m ago Israel claims intercepting drones ‘apparently from Iran’ Live Update From the Liveblog of Tuesday, June 24, 2025 IDF downs 2 drones likely launched from Iran before ceasefire By Emanuel Fabian Today, 11:24 pm Two drones launched from Iran at Israel were intercepted by the Israeli...
  3. JamiiForums Tanzania Vita ina hasara pande zote mbili

    Tuliongopewa sana na wayahudi kutoka Msomela, Kazulamimba, mto wa mbu kwa taifa teule haliwezi kupigwa. Naona mambo yamekuja muda muafaka ambao kila mmoja wetu alijaliwa uhai amejionea mwanaume mmoja kuchakaza kichaka kinasomwe, kinachoimbwa kwamba hakiwezi kupigwa kwakuwa wao taifa teule...
  4. JamiiForums Tanzania Naungana na netanyau Israel imefikia malengo yake ya vita dhidi ya iran

    Israel imefanikiwa kuuwa viongozi wa kijeshi wa iran sio wote ila wengi imewaua kuwapata watu wenye uzoefu kama hawa itachukua mda sana Israel imefanikiwa kuwauwa baadhi ya wataalamu wa nyuklia hii ni achievement kubwa sana fahamu kuwapata watu kama hawa itachukua mda mrefu sana Hii inakupa...
  5. JamiiForums Tanzania Breaking: Netanyahu akubali kusitisha vita baada ya shambulio la Iran asubuhi ya Leo 24.06.2025

    Ofisi ya waziri mkuu wa Israel imetangaza kuwa waziri mkuu Benjamin Netanyahu amekubali kusitisha mapigano na kwamba eti Israel imekamilisha malengo yote muhimu ya vita Hii kauli imekuja baada ya Iran kufanya mashambulizi makubwa asubuhi ya Leo kusini mwa Israel katika mji wa Beersheba na...
  6. JamiiForums Tanzania Vita vimefika tamati

    MAREKANI IMETENGENEZA MPANGO WA KUMALIZA VITA VYA IRAN NA ISRAEL Baada ya saa 24 In Shaa Allah vita baina ya Iran na Israel In Shaa Allah vita kuwa vimemalizika. Vita vimedumu kwa siku 12. Hizi siku 12 mimi binafsi nimejifunza mengi na si kwa mwalimu kunisomesha darasani bali kwa kushinda...
  7. JamiiForums Tanzania Siamini kama ayatollah khamei anaongoza vita na israel

    Ayatollah ana miaka 86,kwa umri huo sijui kama ana uwezo wa kujua nini kinatokea.Ahhh ni khamenei sio khamei,kumradhi
  8. JamiiForums Tanzania Makubaliano ya ISRAEL/IRAN kusitisha vita hayawezi kumaliza vita kama lengo ni kuuangusha utawala wa Serikali ya Iran

    1. Kuendelea Kuishi = Ushindi Katika vita vinavyolenga kubadilisha utawala, kuendelea kuwepo madarakani ni ushindi. Licha ya kushambuliwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran bado ipo madarakani. Viongozi wa Iran (kama Kiongozi Mkuu na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi - IRGC) bado wapo kazini. Hii...
  9. JamiiForums Tanzania TRUMP Atangaza kusimamishwa kwa muda wa saa 12 vita Israel na Iran. - Baada ya Masaa sita yajayo war will stop

    Trump in dramatic announcement: Israel and Iran have agreed on a ceasefire US President Donald Trump announces that Israel and Iran have agreed to a 12-hour ceasefire, beginning in six hours: This is a War that could have gone on for years, and destroyed the entire Middle East, but it didn’t...
  10. JamiiForums Tanzania Stergomena Tax: Waliopigana vita ya Kagera kuanza kulipwa pensheni kuanzia Julai 2026

    waziri wa ulinzi Stergomena Tax amesema kuanzia mwezi julai wale waliopigana vita vya kagera wataanza kulipwa pensheni ameyasema hayo akiwa bungeni leo June 23 katika bunge la 12 mkutano wa 19 na kikao cha 51. “Ninayo furaha kulitaarifu bunge lako tukufu kuwa serikali ya awamu ya sita ambayo ni...
  11. JamiiForums Tanzania Vita vya Nuclear vinakuja toeni watoto wenu EMS muwarudishe Kayumba

    Vita vya nuclear vyaja. .. mfumo wa maisha unaenda kubadilika. Yanini kulipa hela EMS wakati vita ya dunia yanukia? .. Kama elimu unayo lipia haina uwezo wa kutengeneza maarifa yatakayo saidia kuzuia athari za Vita vya nuclear au at least kuzuia Vita vya nuclear au at least kuzuia Vita, una...
  12. JamiiForums Tanzania Mechi ya Leo Jumapili, Tarehe 22/06/2025 Kuelekea Kilele Cha Maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya

    Mchezo wa mpira wa miguu – hatua ya fainali unatarajiwa kufanyika kwa shamrashamra kubwa katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Makatifu John (St. John’s University), jijini Dodoma. saa tisa Jioni. Tukio hili ni sehemu ya kampeni endelevu ya kuhamasisha jamii, hususan vijana, kuhusu madhara ya...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Je, USA kuivamia Iran ili kumuunga mkono Israel kwenye vita inayoendelea ni mwanzo WW3

    Binafsi ninaona kitendo cha USA kuipiga Iran km sehemu ya kuungana na Israel ni mwanzo wa vita kuu ya 3 ya dunia. Kwanza Washirika wote wa Iran akiwemo Russia ilishaonya mapema mpango wowote wa USA kuingia moja kwa moja ktk hiyo vita. Pili, kwa mjibu wa sera za Iran nchi yoyote ikiivamia...
  14. JamiiForums Tanzania Hakuna vita Afrika iliyoanzishwa na chama Cha upinzani

    Kuanzia mapambano ya Biafra Nijeria, UNITA Angalo, RENAMO Msumbiji, POLISARIO Shahara na kwigineko kokote kule Afrika, vurumai huanzia ndani ya chama tawala ama kuanzishwa na chama tawala. Hakuna ushahidi wowote wa kuonesha kuwa vita vya wenyewe kwa wenyewe Afrika kuanzishwa na vyama vya...
  15. JamiiForums Tanzania Ndani ya miezi takribani 19, Israel imepigana vita na nchi tatu zenye jumla ya watu 103,855,658. Wakati Israel ina watu 9,523,978 tu

    Tangu shambulizi la Hamas kule Israel October 7, 2023. Israel imepigana vita na takribani nchi tatu zenye jumla ya watu 103,855,658. Nchi ni: 1. Palestine yenye jumla ya watu 5,589,623 2. Lebanon 5,848,354 3. Iran 92,417,681. Wakati Israel yenyewe Ina jumla ya watu 9,513,978. Yaani ni sawa...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya utatu wa tai,dubu na dragon ya wajumbe vivuli wa amani/wa vita

    Naomba niwahabarishe kidogo tulichoamua na wenzetu tangu juzi ili kufikia makubaliano yatakayookoa pande zote. Mimi nikiwa kiungo wa kati niliweza kushiriki na wenzangu kwenye kikao cha siri kilichoanzia kwenye simu mwisho tukakutana kwenye nchi moja ndogo ya ulaya. Nikiwa kama mwakilishi wa...
  17. Z

    JamiiForums Tanzania Kwa shambulio hili la Marekani kwenye vinu vya nyuklia vya Irani limehitimisha rasmi vita kati ya Israeli na Irani

    Amesikia Rais wa Marekani Donald Truph akisema hivyo mara baada ya kukamilisha zoezi, na kusema kuwa sasa ni muda wa amani, vita imeisha. Binafsi nimefarijika kusikia hivyo, maana vita sio kitu kizuri. Wananchi wa Irani na Israeli walikuwa wanahaha. Bora vita imeisha.
  18. JamiiForums Tanzania Karne hii bado kuna nchi zinapigana vita?

    Katika karne ya watu waliostaarabika na welevu wa Mambo mipaka ya nchi iliyogawanywa kila nchi na mipaka yake na itikadi au falsafa zake vita zanini? Kama ni kigezo cha dini kila nchi au taifa Lina utaratibu wake wa kuabudu katika mipaka yake bila kuingiliwa na taifa lingine vita zanini? Vita...
  19. JamiiForums Tanzania Urusi yajitolea kuchukua madini ya uranium yaliyopo Iran ili vita viishe

    Rais Putin ametoa hilo wazo maana hayo madini ndio chanzo cha Israel kutembeza kichapo Iran, hivyo yakiondolewa huko Iran basi ugomvi utapungua, vinginevyo Israel itaendelea kuwinda vinyu vyote vya nyuklia na kivichakaza..... Vladimir Putin is willing to store uranium from Iran’s nuclear...
  20. JamiiForums Tanzania Vita za Iraq vs. Iran na Gulf War

    NOTE: Nitapitia baadaye kurekebesha typos pole pole; ukikutana nazo usizitilie maanani. Miaka takriban 45 iliyopita, Iraq ilipitia wakati mgumu sana. Kwanza, mwaka 1979 ulikuwa na matukio mawili makubwa ndani ya Iraqi na Iran. Mwaka huo, mwezi July huko Iraq, Saddam Hussein alimpindua rais...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…