vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Sikiliza hadi mwisho vita kati ya GSM na Mo, Simba wanapoteana

    Mo na Mangungu wanataka kupinduana, lakini mo ameshaanza kuvuta punzi ya moto ya GSM kibiashara. Baada ya Simba kufungwa mara 5 mfululizo bidhaa za mo zimeingizwa chaka na bidhaa za GSM; kunywa maji ya masafi badala ya maji ya GSM ni kichekesho siku hizi. Mangungu anataka kumuondoa mo kutoka...
  2. JamiiForums Tanzania Maandalizi ya vita Kivu kusini(M23 yasemekana kujiandaa kikamilifu)

    Baada ya serikali ya DRC kuongeza wanajeshi na mercenaries kutoka Marekani na Ulaya, taarifa za awali, zinasema AFC/M23 imeshazingira Uvira. Rais wa DRC amesema atahakikisha Kivu zote zinarudi kwa gharama yoyote.
  3. JamiiForums Tanzania War zone: Chambuzi mbalimbali za silaha na vifaa vita

    Tuzichambue hizi ndege mashuhuli na maalum kwa kazi maalum katika uwanja wa vita. Nazileta kwenu BOMBERS: Tu-160M & B-2 Spirit. ~( Bila ushabiki wala upendeleo wa upande wowote) lets beginning. KATEGORI Tu-160M B-2 Spirit KASI mach 2+ (over supersonic) mach 0.9 ( subsupersonic)...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali ya DRC yajiandaa kwa vita tena

    Kwa kinachoonekana, ni kuwa serikali ya DRC imejiandaa kuanzisha mashambulizi mapya kwa AFC/M23. Hapo jana, kundi la wanajeshi na mamluki, walitua uwanja wa ndege wa Kalemie, na Badae kuelekea Uvira. Uvira bado ilikuwa mikononi mwa FARDC,Wazalendo na jeshi la Burundi. Hapo, Doha, nchini Qatar...
  5. JamiiForums Tanzania Kremlin haioni dalili ya kusitisha vita kidiplomasiaSaumu Njama

    Kremlin ilisema haioni njia ya haraka na ya kidiplomasia ya kumaliza vita dhidi ya Ukraine, saa chache baada ya kuzindua mashambulizi makubwa zaidi ya ndege zisizo na rubani na makombora.SiasaUkraine Kremlin haioni dalili ya kusitisha vita kidiplomasia Saumu Njama Kremlin ilisema haioni njia...
  6. JamiiForums Tanzania Analysis reports ya kitaalam nani kashinda Vita Iran vs Israel

    https://www.youtube.com/watch?v=SqJvJ4Yv8Xw Kila Mmoja ameshinda kivyake ila faida amepata Israel malengo yote 100% Iran kwake kupona kwa Ayatollah na kuendelea kutawala Iran ni Ushindi kwake 100%
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 CCM vita ya kuwania kuteuliwa kugombea ubunge inaweza kuwafanya wakaumizana sana

    Hali ni ngumu sana ndani ya ccm kwenye vita ya kinyang'anyiro cha kuteuliwa kugombea ubunge ma sidhani kama majeraha yatapona baada ya uchaguzi kama utakuwepo bila kujali kama watashinda ama la Vita vyao wenyewe kwa wenyewe vinafunua siri nyingi sana za huko nyuma .. Ni faida ya baadae huko...
  8. JamiiForums Tanzania Wanawake wangekuwa na uwezo wa kuumba wanaume wao wangewaumba. Ulimwengu wa sasa kuna vita kali sana kati pesa na mwanamke

    Wasaalam wanajukwaa nina imani mna afya njema. Kadri miaka inavyoenda, karne, kizazi kubadilika ndivyo binadamu hubadilika. Nirudi kwenye mada..... Wanaume wanazidi kupungua sana duniani kutokana na sababu mbalimbali kv; magonjwa, kazi ngumu, mawazo, vita ajali, migogoro, malezi n.k. nimeandika...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 No Reforms, No Election imekuwa ikipigwa vita na CCM kwasababu inahamasisha ususiaji wa uchaguzi

    1. Inatilia shaka uhalali wa uchaguzi Kauli mbiu hii inaashiria kuwa mazingira ya uchaguzi siyo huru wala ya haki bila marekebisho ya kisiasa na kisheria. Hii ni changamoto kubwa kwa CCM ambayo ndiyo chama tawala na huhesabiwa kuwa mratibu mkuu wa mazingira ya kisiasa. 2. Inahamasisha...
  10. JamiiForums Tanzania Naishauri Iran Kama vita vikianza tena waanze kupiga base za Marekani zilizopo karibu naye

    just what I see ni kuwa zinapull back much effort wanatkiwa wagonge target na kuspusha uzuizi mkubwa kutoka Nchi jirani,Iran inapwa kujilinda kama nchi nyengine zinavyojilinda. Hapo middle east Israel kapandikizwa,wakristo mtanisamehe.
  11. JamiiForums Tanzania Awamu ya pili vita israel na Iran inanukia

    Ndani ya wiki moja baada ya kusitisha mapigano, israel imepokea zaidi ya tani 800 za silaha toka marekani, ujerumani na nchi za magharibi,bila shaka na makombora ya udunguaji ya iron dome Pakiwa na taarifa kwamba awamu ya pili ya mashambulizi itakua mzito zaidi na kuenea zaidi ndani ya iran...
  12. JamiiForums Tanzania Ukiondoa wazee ambao wanadhani nchi bila CCM itazuka vita wengine wote ndani ya CCM wanafuata au wanalinda maslahi yao

    Hili liko wazi kabisa. Wana CCM halisi ni wazee wale waliokosa elimu ya jamii ya kutosha. Wale wazee waliokosa/ kunyimwa elimu wanadhani amani ni CCM na siku wapinzani wakichukua nchi watashika bunduki na mabomu na kuanza kuua wananchi. Wengine wote ndani ya CCM wapo kutafuta ugali au kulinda...
  13. JamiiForums Tanzania Vita ya Teknolojia: Toyota wamegundua injini inayoendeshwq na maji, hamna haja ya battery wala umeme. Maji TU yatosha

    In a move that will shake up the global auto industry, Toyota has just unveiled a water-powered engine powered by hydrogen created through electrolysis — emitting only water vapor! No lithium. No charging stations. Just pure disruption. With this bold move, Toyota isn’t just competing with EVs...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini Biblia imewapiga vita wenye Pepo wa Utambuzi? Na tofauti yao na wachawi ni ipi?

    Kwenye biblia agano la kale utaona ya kwamba Bwana alitukataza kuambatana na wenye pepo ya utambuzi na akatukataza pia kuambatana na wachawi, ili tusipate unajisi. Kwa maisha ya sasa, tumeona ya kwamba bado tuna watu wenye pepo ya utambuzi (sasa sijui hawa ndo waganga?) Na si kuna hawa manabii...
  15. JamiiForums Tanzania Vita nchini Ukraine: Droni yapiga jengo la orofa nyingi Odessa

    Meya wa Odessa Gennady Trukhanov amethibitisha kuwa "shahed" za Urusi ziliingia katika jengo la makazi la ghorofa nyingi. Waokoaji wamepata miili ya wanandoa waliokufa wakati ndege isiyo na rubani ya Urusi ilipogonga - jengo la ghorofa nyingi, Meya wa Odessa Gennady Trukhanov aliripoti...
  16. JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya madawa ya kulevya yapamba moto Afrika mashariki

    Polisi katika Kaunti ya Migori mnamo Alhamisi walimkamata mshukiwa wa ulanguzi wa dawa za kulevya mwenye umri wa miaka 32 na kunasa shehena kubwa ya bangi yenye thamani ya takriban Ksh.13.7 milioni. Wakipokea taarifa, maafisa wa Kituo cha Polisi cha Oruba walinasa gari nyeusi aina ya Toyota...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Tuliwasaidia israel kwenye vita tulizuia drones kadhaa za Iran-"Ufaransa

    Naweza nikathibitisha ya kwamba jeshi la ufaransa lilizuia drones 10 zilizorushwa na jeshi la Iran katika operesheni yao ya kushambulia Israel siku kadhaa zilizopita kupitia mifumo yetu ya ulinzi na Rafael fighter jet -Sebastian Le cornu
  18. JamiiForums Tanzania Tunasitisha Vita ila Kuna Mabomu Tuliyatuma Yako njiani ngoja yafike Kwanza

    watajuta kutuchokoza. Angeendelea kupiga mpaka waondoke GAZA hao Wayahudi.
  19. JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Iran na Israel: Chimbuko la kihistoria, wahusika na sababu halisi za vita baridi na vita vya kivuli

    Katika sura ngumu ya siasa za Mashariki ya Kati (Middle East), hakuna mgogoro uliojaa migongano ya kiitikadi, kijeshi, na kijasusi kama ule baina ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Taifa la Kiyahudi la Israel. Vita hii isiyo rasmi – proxy war – imedumu kwa zaidi ya miongo mitatu, ikiendeshwa kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Vita iliyo anzishwa kumuangusha Ayotullah imegeuka na wenda kumnufaisha kisiasa

    Vita iliyo anzishwa na Netanyau kwa lengo la kumuangusha Ayatollah imekuwa kinyume chake na inaenda kumnufaisha kisiasa. Nadhani ulimwengu wa kimagharibi utakuwa umeshangazwa,kufadhaishwa na kutamaushwa sana na raia wa Iran kwa kuungana na serikali yao hali yakuwa wamekuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…