The Tanzanian Honours System consists of orders and medals awarded for exemplary service to the nation. It is presented by the President of Tanzania on national holidays.
Israel na Iran si Maadui Bali Tatizo viongozi
Tena Israeli halisi inapaswa kuwashukuru na kuwaenzi Wairani. Maana zamani hizo za wakati wayahudi wanatawaliwa na babeli (Iraq), mfalme wa Persia/Iran kwa Jina la Cyrus alivamia na kuwatwanga wababeli/Iraq na kuwashinda. Wakati huo Babeli ilikuwa...
Kutoka makala yenye episode ya arusha one radio, chanzo cha vita ni mwanajeshi wa uganda kufungwa tanzania, however katika makala za encyclopedia kuna taarifa kwamba, Nyerere alifadhili mapinduzi ya obote kurejea madarakni ambayo yalishindwa hivo amin akaamua kulipua kagera ikiwemo kiwanda cha...
Kwa chombo cha Habari au Mwandishi yeyote wa habari atayakefanikiwa kutengeneza documentary ya harakati ambazo Chadema imekuwa ikizifanya tangu mwaka 2005 katika kulikomboa Taifa hili kutoka Uongozi mbovu na wa kidhalimu wa Chama cha Mapinduzi, hakika napenda kusema Chombo hicho cha Habari au...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax ametoa ufafanuzi kuwa Veterani waliopigana Vita ya Kagera wanatarajiwa kuanza kulipwa Julai 2025 na sio Julai 2026 kama alivyoeleza awali wakati alipokuwa Bungeni, Juni 23 katika Bunge la 12 Mkutano wa 19 na Kikao cha 51...
waziri wa ulinzi Stergomena Tax amesema kuanzia mwezi julai wale waliopigana vita vya kagera wataanza kulipwa pensheni ameyasema hayo akiwa bungeni leo June 23 katika bunge la 12 mkutano wa 19 na kikao cha 51.
“Ninayo furaha kulitaarifu bunge lako tukufu kuwa serikali ya awamu ya sita ambayo ni...
Kipindi wanajeshi wa uganda wakifanya uvamizi na kuumiza watu ila mkuu wa mkoa muhamed kisoki aliwaita wanahabari na serikali kusema kinacho endelea mpakani ni mambo tu ya kutoelewana.
Wakati wananchi wanaona mpaka ndege za kivita zikishambulia.
Usishangae mbunge babu tale kusema utekaji...
MASHUJAA VITA YA KAGERA WANAENDELEA KULIPWA PENSHENI
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Tax amesema mashujaa wote waliopigana Vita ya Kagera na waliostahili malipo ya viinua mgongo na pensheni walikwishalipwa na wengine wanaendelea kulipwa kwa mujibu wa Sheria ya...
Inside story of why President Kikwete deployed Tanzanian troops in DRC
———
At an urgent summit of the International Conference on the Great Lakes Region (ICGLR) in Kampala in late September 2012, Tanzania's President Jakaya Kikwete spoke passionately of how Tanzania was eager to end the...
Nikirejea tamko la Waziri wa Ulinzi katika Bunge la Tanzania tarehe 13 -06-2024, siku ya Alhamisi. Bunge la 12 kikao cha 15. Taarifa ya Waziri ya Ulinzi katika taarifa yake moja ni wanajeshi wote waliopigana katika vita vya Kagera wote wameishalipwa.
CPL NGUSSA GULINJA 692 DET ni mmoja wa...
Prof Kabudi pamoja na Harrison Mwakyembe waliwahi kuwa waandishi wa habari wa magazeti ya uhuru na mzalendo(if I am not mistaken). Hii ilikuwa kabla, wakati na baada ya vita vya kagera.
Kwa maneno mengine, walikuwa wanajeshi walioongoza mapambano dhidi ya nduli Idd Amin kwa silaha ya kalamu...
Wallah hili lilikuwa ni moja ya jaribu zito maishani mwangu. Baada ya kukata ile simu nlikuwa kama nimemwagiwa maji ya baridi. Nlinywea.... Nakumbuka mshenga na mjomba wangu walikuwa wa kwanza kuniuliza "Yusuf umepatwa na nini ?"
Nlianza kuwaza ina maana sasa yule binti nitamwoa au inakuaje...
Binafsi, nimekuwa nikijiuliza, Mfano uvamizi ule wa Idd Amin Tanzania ungeisha kwa Idd Amin kuvishinda vikosi vya Tanzania, hali ingekuwaje? Leo 2024, tungekuwa na nchi ya Namna gani kisiasa, kijamii na kiuchumi? Tungekuwa na kanda ya ziwa sehemu ya Uganda?
Au Tanzania yote ingekuwa ni sehemu...
Akizungumza Bungeni, leo Juni 13, 2024, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax amesema Wanajeshi wastaafu walioshiriki katika Vita ya Kagera wote wameshalipwa na hakuna anayedai.
Pia Soma:
~ Miaka 45 tangu Majeshi ya Tanzania yashinde vita Uganda dhidi ya...
Juni 9, mwaka 1979 Kamanda aliyeongoza Vita vya Uganda dhidi ya Iddi Amin alitamka kuikamata Ngome ya mwisho ya adui. Haikupita muda Amiti Jeshi Mkuu, Julius Kambarage Nyerere akatangazia Taifa na Dunia kuwa ngome ya mwisho ya adui imeanguka.
Ikiwa ni miaka 45 sasa tangu ushindi wa Vita hii...
Uganda tayari ilikuwa fractured kuanzia serikalini hadi kwenye jamii. Watu wa Uganda waliishi kwa kumuogopa dadaa ila hawaku muheshimu.
So vita kutoka Tz ilikuwa ni fursa kwao kwa maana wanajeshi wa Tz walikuwa wanapata support kwa kila kituo walichokuwa wanafikia na naamini jeshi letu...
Vita ya Kagera ya mwaka 1978/79 iliyopiganwa ili kuokoa mipaka yetu ilikuwa ya aina yake.
Tulifanikiwa kushinda lakini ilituachia maumivu pengine mpaka leo.
Moja ya vivutio ilikuwa ni uzalendo mkubwa wa wapiganaji wetu kutoka JWTZ.
Palikuwa na Majenerali walioongoza brigedi mbalimbali...
Wakuu kuna swali Moja la Msingi sana, kila inaposemwa Vita ya Kagera utasikia. Mayunga, Msuguli,Tumainiel Kihwelu ,Nyilenda, hata kwa wale ambao walikuwa na kazi za kuratibu Kama Makamba, Kikwete, Kinana, Makongoro Nyerere,
Sijasikia Mwanamke akitajwa popote! Ni kwamba hawakushiriki au historia...
Wale wahenga mnakumbuka tulizishuhudia zile silaha pale uwanja wa Uhuru baada ya wapiganaji wetu mashujaa kurejea kutoka vitani huko Mutukula.
Vita ni uimara na ujasiri wa mioyo na akili za wanajeshi na siyo wingi wa zana za kivita japokuwa nazo ni muhimu.
Mungu wa mbinguni ibariki Ukraine...