Niaje waungwana
Raisi wa Marekani ndugu Donald Trump ameitishia NATO na EUROPE kwamba hivi punde wajiandae kukikabidhi kisiwa hicho katika mikono yake, kabla hawajakumbana na vifo vya kujitakia kutoka kwenye jeshi la Marekani.
Hapo chini ni vitisho vya raisi Trump huku Iran ikiahidi kusimama...
Kwa wale ma low IQ ambao bado hawaelewi why niko nyuma ya Rais wangu POTUS on this Iran war mtanielewa in due time…….
Kwenye hii vita ya Iran kila mtu anaangalia manufaa ya nchi yake.
1. Wa-Iran wanaotaka nchi yao ipigwe mabomu ili Islam Republic itoke madarakani bila kujali damage...
Vita yoyote iliyofanikiwa duniani hutokana kwa kiasi kikubwa na upangaji wa mashambulizi unaofanywa na makamanda kimedani. Marekani iliingia vita ya Vitenama ikiwa haina plani za kivita ikitegemea kupiga mabomu tu, njia ambayo pia imetumiwa na Urusi kuivamia Ukraine; mbinu hiyo huwa haifanikiwi...
MAOMBI YA USIKU
MAOMBI YA KUOMBA AMANI NA UTULIVU KATIKA [TAJA HIZO NCHI]LI KUSIWEKO NA MAGOMVI.
KWENYE FAMILIA TAJA HIZO NCHI
MUNGU AKUBARIKI NAIONA IKIISJA KWA.AMANI NA UTULIVU
---
UTANGULIZI
Familia ni mpango wa Mungu na msingi wa jamii imara. Shetani, adui wa roho zetu, hulenga familia...
Kufuatia vita iliyoibuka kati ya Iran, Marekani na Israeli kumeibuka video mbalimbali kuhusu mashambulizi yaliyofanyika huko lakini nyingine si halisi bali zimetengenezwa kwa kutumia Teknolojia ya Akili Unde (AI).
Ukitizama uchambuzi wa mitandaoni sasa ni habari za Iran na Marekani na Israel.
Hakuna uchambuzi au kelele au shamlashamla kuelekea mechi ya derby itakayopigwa jioni.
Hakuna habari yoyote ya Bongo inayotrend kwa sasa
Hakuna malipo au?
Kulikoni yupo kimya kuposti video na picha za watoto na akina mama waliofumuliwa mafuvu kwenye vita inayoendelea hapo Sudani, lakini pia ile ya Iran dhidi ya Israel na Marekani?
Artificial intelligence imemshinda kuungaunga na kutengeneza picha na video za mchongo za maafa ya...
Trump ametishia tariff kwa mataifa yatakayofanya biashara la Iran.
Sasa check pesa ya Iran Ilivokula msamba.
1USD = 998, 925 IRR
Halafu kuna mshangazi unapayuka who are you!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.